Duru za Siasa: Matokeo ya Uchaguzi Marekani

Duru za Siasa: Matokeo ya Uchaguzi Marekani

Beef la Chris Christie na Jared & Charles pia ilikuwa ni kwasababu Murray alikuwa na urafiki na Christie na alikuwa treated tofauti kisheria ukilinganisha na Christie alivyowa-treat Jared na Charles.
Well umetuonyesha mahusiano ya watu hao, jambo jema kabisa.

Hukutueleza kwanini nimeuliza mahusiano hayo

Ni hivi ndugu yangu, Jared ni right handman wa Trump kuanzia maamuzi ya kutangaza , kampeni hadi ushindi. Ni son in law wa Trump anayemwamini sana.
Kuna habari Trump anataka Jared apewe security clearance kama washauri wengine

Jared hamtaki Christie Christ kwasababu Gavana Christ alimfunga baba yake anayeitwa Charles Kushner, real estate mogul wa New Jersey

Christ ni mmoja wa loya member wa Trump team kuanzia mwanzo.

Hata Trump alipokwenda fyongo Christie alisimama naye.
Aliongoza kipindi cha matarajio ingetokea wakashinda licha ya ukweli haikutarajiwa

Baada ya ushindi, Christie aliongoza timu ya transition.
Hapo ndipo Jared akaamua ku hit back kwa kumshauri Trump amuondoe.

Kuna mtafaruku kwani inner cycle ya Trump sehemu kubwa inamuunga mkono Christie

Kitendo cha kumuondoa ni kama demotion kwa influence ya Jared.
Hilo limeleta sintofahamu kubwa katika transition team.

In fact kutangaza kuwa Trump anakutana na Romney na Nick Hailey ilikuwa ku divert attention ya media kwani suala la Jared na Christ lilionyesha udhaifu wa timu ya Transition

Hadi sasa kuna mtafaruku wa ndani kwa ndani ambao chanzo chake ni Jared Kushner,

Christie na makundi husika ingawa Christie ana kundi kubwa

Sasa unapokuja kutuleza transition is good so far, sijui unatuonaje !
 
"
Unjua ukiongelea jambo ni muhimu sana ukawa na background.
Unaweza kuitenga Fox na New York post au Wall street journal?

Pili, vyombo vya habari havitengenezi habari , vinapata habari na kuzifanyia kazi
Ulitegemea nini wakati mkanda wa Hollywood ulipotoka hadharani na Trump kukubali?

Ukiangalia e-mail leak ya John Podesta (kwa hisani ya Wikileaks) utagundua kwamba katika media organizations kubwa za US, ni Fox peke yao ndio hawakuitwa kwenye Dinner nyumbani kwa Podesta ili kupewa maagizo kabla kampeni za Urais hajizaanza.

Vyombo vya habari vina uwezo wa kutengeneza habari hasa pale vinapochukua kilichosemwa au walichokisikia na kuki-twist kwa namna inavyowapendeza wao.

Mfano, Trump hakusema waamiaji wote kutoka Mexico ni wezi na wabakaji lakini iliripotiwa hivyo.

Kuna mifano mingi sana ya Media kutwist habari za Trump.

Jiulize kwanini kampeni ilimzuia Trump katika tweets?

Sio kweli kwamba Trump alizuiwa ku-tweet

Campaign Denies Trump Stopped From Tweeting

Kama unasema kamati zitaendelea kumchunguza, Obama atamsamehe kwa kosa gani au tuhuma gani na kutoka wapi? Please!

Unasema anachunguzwa halafu hitimisho anamakosa na kutoa suluhisho Obama amsamehe!

''Yaani kamati zitaendelea na uchunguzi kwa congress ijayo'' halafu Obama amsamehe hata uchunguzi wa kamati unazosema haujaanza.

Mkuu, unafahamu kitu gani kinatokea kama US President akim-pardon mtu?

Muhimu pia ukajiuliza kwanini Obama hakuweza kumzuia Comey na unadhani anaweza kuzuia house committee. Aisee !

Comey hakumpa taarifa hata Loretta Lynch (AG) kuwa ataandika barua Congress kwa ajili ya ku-ssuplement records.

Ina maana hata Rais Obama alipata taarifa baada ya barua kwenda Congress. Rais Obama asingezuia kwa kuwa hakuwa na taarifa.

Obama on FBI: We don't operate on innuendo - CNNPolitics.com

Sijui kama una taarifa kuwa waliojiandikisha Obamacare kwa mwaka huu katika kipindi kama hiki mwaka jana ni 1Million more, 100,000 post election. Unaweza kujiuliza kwanini imetokea hivyo

Trump alisema ata repeal Obamacare siku ya kwanza. Sasa hivi hilo halipo, na amesema atafanyia amendment na kuacha conditions kama za pre existing conditions

Sasa kama ni kitu kibaya kwanini hata repeal day one in the office kama unavyodhani wewe pia? Hebu tueleze ubaya wa Obamacare kwa mtazamo wako ni upi?
Kuna vitu huwezi kufanya Day One. Hata Rais Obama alivyoingia madarani Day One akasema anafunga Guantanamo Bay lakini anaondoka awamu mbili gtmo bado ipo.

Kuongezeka kwa waliojiandikisha inaweza kusababishwa na watu kuhitaji baadhi ya vitu kwenye ObamaCare

Atakachokifanya Trump na Congressional Republicans ni ku-repeal na kui-replace ObamaCare na Health Care Savings Account kwa namna ambayo watu hawapotezi coverage na wenye pre-conditions kuendelea kuwa covered.

Obama Care in kodi nyingi, premiums/health care costs zinapanda sana kwahiyo sio affordable kwa watu, waajiri inabidi walipe health insurance kwa wafanyakazi wao au walipe fine ndio maana small business wakawa wanaumia.

Hebu tueleze na wewe uzuri wa Obamacare kwa mtazamo wako ni upi?

Pili, hebu tueleze executive order zitakazofutwa ni zipi?

Alisema atafuta Executive Orders kwa mfano Immigration Executive Order n.k

Hapa kidogo sina kumbu kumbu, hebu nifahamishe sakata la Billy Clinton lilikuwaje kwa ufupi hadi akahukumiwa mahakamani?

Bill Clinton akiwa Governor wa Arkansas alimfuata Paula Jones katika chumba cha hoteli mwaka 1991 na kuvua suruali na kumlazimisha kufanya mapenzi.

Clinton fined $90,000 for court sex lie
 
"El Jefe, post: 18554565, member: 387168"]Ukiangalia e-mail leak ya John Podesta (kwa hisani ya Wikileaks) utagundua kwamba katika media organizations kubwa za US, ni Fox peke yao ndio hawakuitwa kwenye Dinner nyumbani kwa Podesta ili kupewa maagizo kabla kampeni za Urais hajizaanza.
Hujajibu swali, unawezaje kutenga New York Post, Wall street journal na Fox news? Unajua mahusiano ya hao watatu kwa uchache?
Sio kweli kwamba Trump alizuiwa ku-tweet Campaign Denies Trump Stopped From Tweeting
Unachosha sana, usibebe kila kitu kana unavyokumbana nacho.

Ni lazima uwe na multiple sources na weledi wa kupambanua mambo.
Hivi ulitegemea kampeni iseme nini kuhusu hilo?
Mkuu, unafahamu kitu gani kinatokea kama US President akim-pardon mtu?
Ndugu yangu Rais hasamehi mtu asiye na kosa, hata Tanzania haijatokea. Msamaha ni neno lenye maana yake

Mtu anakuwa na kosa ikithibika kwa kutumia vyombo husika

Umesema kamati nne za congression zitaendelea na uchunguzi dhidi ya Clinton ukatoa jina la maseneta wanaosema. Kwa maana nyingine kamati hazijaanza kazi unayosema

Halafu ukasema unasubiri kama Obama atamsamehe Clinton au la

Hapa ndipo kuna hoja, kama kamati hazijaanza kazi Obama anamsamehe Clinton kwa kosa gani au tuhuma gani na zilizotoka wapi na kwa uthibitisho upi.

Rais wa Marekani hawezi kutoa msamaha wa mtu asiye na kosa, non sense! non sense

Andika vitu vinavyoeleweka tafadhali, ukumbi huu ni mpana hauhitaji mambo kama haya
Comey hakumpa taarifa hata Loretta Lynch (AG) kuwa ataandika barua Congress kwa ajili ya ku-ssuplement records.

Ina maana hata Rais Obama alipata taarifa baada ya barua kwenda Congress. Rais Obama asingezuia kwa kuwa hakuwa na taarifa.

Obama on FBI: We don't operate on innuendo - CNNPolitics.com
Hivi unajua Comey wa FBI anapatikana kwa utaratibu gani na anawajibika kwa nani.

Obama hana nguvu kama tunazoona hapa kwetu.

Hapa unaongelea US tafadhali. Usibebe vtu tu bila kuwa na weledi
Kuna vitu huwezi kufanya Day One. Hata Rais Obama alivyoingia madarani Day One akasema anafunga Guantanamo Bay lakini anaondoka awamu mbili gtmo bado ipo.

Kuongezeka kwa waliojiandikisha inaweza kusababishwa na watu kuhitaji baadhi ya vitu kwenye ObamaCare

Atakachokifanya Trump na Congressional Republicans ni ku-repeal na kui-replace ObamaCare na Health Care Savings Account kwa namna ambayo watu hawapotezi coverage na wenye pre-conditions kuendelea kuwa covered.

Obama Care in kodi nyingi, premiums/health care costs zinapanda sana kwahiyo sio affordable kwa watu, waajiri inabidi walipe health insurance kwa wafanyakazi wao au walipe fine ndio maana small business wakawa wanaumia.

Hebu tueleze na wewe uzuri wa Obamacare kwa mtazamo wako ni upi?
Hapa tena tunarudi katika flimsy utetezi.

Tunasema hivi Trump alisema ata repeal day one. Hilo halitatokea kutokana na ugumu wa suala zima. Watu 22M wana insurance halafu unaamka asubuhi bila kuwa na plan na kufuta. Huo si wendawazimu na wendawazi walidhani ataweza

Pili, ku repeal kwa tafsiri ni revoke au annul. Kwa lugha ya congressional ni ku revoke act
Replace ina tafsiri ya kubadilisha kwa maana ya kuondoa kwa kuziba (tafsiri isyo sahihi)

Trump alisema ata repeal hakusema ata replace, unless tulimsikia tofauti.

Hivyo huwezi kusema ata replace ukimaanisha ana repeal. Hapa mkuu ni lugha tu

Tatu, kama kuna vitu unavyosema ni vizuri, uliwezaje kusema Obamacare ni mbaya?

Unaona tatizo la kubeba vitu bila kufikiri. Baada ya swali langu ndipo ukaelewa si suala la ku repeal kuna vitu vizuri. Vitu hivyo ndivyo vimevutia wengi kujiunga

Sasa unapozungumzia small business mbona huongelei wale waliokuwa hawana insurance kabisa nao wanasemaje? Hapa ni ku strike balance na Obamacare ililenga hilo

Hizi kauli za small business ni za kubeba ndiyo maana huwezi kuzitetea kwasababu umesikia tu. Ungeangalia kwa mtazamo mpana ungegundua kuwa akina Paul Ryan na Trump wameshaliona tatizo kwasababu hawana mbadala utakaokidhi haja ya kilichofikiwa hadi sasa.
Alisema atafuta Executive Orders kwa mfano Immigration Executive Order n.k
Mkuu hakuna kitu kinachoitwa ''executive order n.k.'' ni ima ueleze au ukae kimya

Executive orders ni nyingi sana kuhusu immigration. Single out moja unayoijua

Kwa maneno mengine, uliingia tu katika mkumbo, watafuta exec order ambalo ni kweli walisema. Hukuelewa watafuta nini.
kwasababu wao walisema watafuta ukabeba kama ilivyo.

Mkuu narudia tena, ukumbi huu ni mpana nilimweleza '' magode ' kama unakumbuka
 
Well umetuonyesha mahusiano ya watu hao, jambo jema kabisa.

Hukutueleza kwanini nimeuliza mahusiano hayo

Ni hivi ndugu yangu, Jared ni right handman wa Trump kuanzia maamuzi ya kutangaza , kampeni hadi ushindi. Ni son in law wa Trump anayemwamini sana.
Kuna habari Trump anataka Jared apewe security clearance kama washauri wengine

Jared hamtaki Christie Christ kwasababu Gavana Christ alimfunga baba yake anayeitwa Charles Kushner, real estate mogul wa New Jersey

Christ ni mmoja wa loya member wa Trump team kuanzia mwanzo.

Hata Trump alipokwenda fyongo Christie alisimama naye.
Aliongoza kipindi cha matarajio ingetokea wakashinda licha ya ukweli haikutarajiwa

Baada ya ushindi, Christie aliongoza timu ya transition.
Hapo ndipo Jared akaamua ku hit back kwa kumshauri Trump amuondoe.

Kuna mtafaruku kwani inner cycle ya Trump sehemu kubwa inamuunga mkono Christie

Kitendo cha kumuondoa ni kama demotion kwa influence ya Jared.
Hilo limeleta sintofahamu kubwa katika transition team.

In fact kutangaza kuwa Trump anakutana na Romney na Nick Hailey ilikuwa ku divert attention ya media kwani suala la Jared na Christ lilionyesha udhaifu wa timu ya Transition

Hadi sasa kuna mtafaruku wa ndani kwa ndani ambao chanzo chake ni Jared Kushner,

Christie na makundi husika ingawa Christie ana kundi kubwa

Sasa unapokuja kutuleza transition is good so far, sijui unatuonaje !
Uki-assume sijui utakuwa unashindwa kuona maelezo yangu kwa upana wake.

Kwa mfano hapo juu umeeleza kwamba "Jared hamtaki Chris Christie kwasababu Gavana Christ alimfunga baba yake anayeitwa Charles Kushner, real estate mogul wa New Jersey"

Ila beef kati ya Chris Christie na Jared ni zaidi ya kufungwa kwa baba yake Jared, inaenda mbali zaidi.

Kuna suala la ukaribu kati ya Murray Kushner (Kaka yake Jared) na Chris Christie. Murray Kushner na Jared Kushner walikuwa hawaelewani na Murray alikuwa mchangiaji na aliendelea kumchangia Christie katika kampeni zake hata pale kaka yake Charles alipokuwa gerezani.

Mashtaka yaliyopelekea Charles kufungwa yalitokana na malalamiko ya Murray kwa wasimamizi wa uchaguzi.

Kufungwa kwa Charles Kushner kulimuharibia nafasi ya kuwa mwenyekiti wa Bandari ya New York na New Jersey.

Kutokuelewana baina ya Christie na Jared kumepelekea Jared kutotaka kufanya kazi na washirika wa Christie hata wale ambao pengine wangeteuliwa na Trump.

Lakini kutokuelewana baina ya Jared na Christie sio sababu pekee iliyomuondoa Chris Christie kwenye ukuu wa Transition team.

Zaidi ya wiki mbili zilizopita washirika wawili wa Chris Christie walipatikana na hatia kwenye sakata la Bridgegate New Jersey. Ndio maana media hawakupata ugumu kumeza hiyo habari.

Nilivyosema 'so far so good' ni kwa sababu kuondolewa kwa Chris Christie kama mwenyekiti wa timu ya Transition sio habari sasa hivi. It is a non issue. Sitashangaa Trump akichagua washirika wa Christie kwenye Serikali yake.
 
Unachosha sana, usibebe kila kitu kana unavyokumbana nacho.

Ni lazima uwe na multiple sources na weledi wa kupambanua mambo.
Hivi ulitegemea kampeni iseme nini kuhusu hilo?

Weledi wangu wa kupambanua mambo ulinionyesha Trump atashinda mda mrefu kabla ya uchaguzi. Ningekuwa nabeba tu habari ninazokutana nazo ningebaki naamini Hillary anashinda hadi tarehe 8.

Hiyo habari ya Trump kuzuiliwa kutweet hebu tafadhali TUPATIE source yake?

Ndugu yangu Rais hasamehi mtu asiye na kosa, hata Tanzania haijatokea. Msamaha ni neno lenye maana yake

Mtu anakuwa na kosa ikithibika kwa kutumia vyombo husika

Umesema kamati nne za congression zitaendelea na uchunguzi dhidi ya Clinton ukatoa jina la maseneta wanaosema. Kwa maana nyingine kamati hazijaanza kazi unayosema

Halafu ukasema unasubiri kama Obama atamsamehe Clinton au la

Hapa ndipo kuna hoja, kama kamati hazijaanza kazi Obama anamsamehe Clinton kwa kosa gani au tuhuma gani na zilizotoka wapi na kwa uthibitisho upi.

Rais wa Marekani hawezi kutoa msamaha wa mtu asiye na kosa, non sense! non sense

Mkuu, soma taratibu. Unazungumza hivyo kwa sababu unaona hana hatia, hujafikiria akipatikana na hatia itakuwaje.

Hata Mchungaji Jesse Jackson na Dems wengi wanamuomba Obama atoe Presidential Pardon. Pardon anaitoa ni pre-emptive, kwamba Hillary asije kuwa indicted.

Kumbuka Pardon ya Federal crimes inatolewa na Rais tu. Trump atafungwa na maneno yake kama Hillary akipatikana na hatia baada ya January 20th na yeye ndiye Rais kwa mda huo.

Andika vitu vinavyoeleweka tafadhali, ukumbi huu ni mpana hauhitaji mambo kama haya Hivi unajua Comey wa FBI anapatikana kwa utaratibu gani na anawajibika kwa nani.

Obama hana nguvu kama tunazoona hapa kwetu.

Hapa unaongelea US tafadhali. Usibebe vtu tu bila kuwa na weledi

Kumbe kuongelea US politics ni kitu cha ajabu?

Hapa tena tunarudi katika flimsy utetezi.

Tunasema hivi Trump alisema ata repeal day one. Hilo halitatokea kutokana na ugumu wa suala zima. Watu 22M wana insurance halafu unaamka asubuhi bila kuwa na plan na kufuta. Huo si wendawazimu na wendawazi walidhani ataweza

Pili, ku repeal kwa tafsiri ni revoke au annul. Kwa lugha ya congressional ni ku revoke act
Replace ina tafsiri ya kubadilisha kwa maana ya kuondoa kwa kuziba (tafsiri isyo sahihi)

Trump alisema ata repeal hakusema ata replace, unless tulimsikia tofauti.

Hivyo huwezi kusema ata replace ukimaanisha ana repeal. Hapa mkuu ni lugha tu

Trump alisema he will "repeal and replace" ObamaCare. Yaani maana yake anaondoa ObamaCare na ku-replace na Health Care Savings Account. Na hiyo ndio plan ya Republicans kwa mda mrefu.

Tatu, kama kuna vitu unavyosema ni vizuri, uliwezaje kusema Obamacare ni mbaya?

Unaona tatizo la kubeba vitu bila kufikiri. Baada ya swali langu ndipo ukaelewa si suala la ku repeal kuna vitu vizuri. Vitu hivyo ndivyo vimevutia wengi kujiunga

Issue sio watu watu wengi kujiunga pekee, kuna watu wengi wanaumia na walijiunga pia kama hao wengine wanavyojiunga.

Kwa maana hiyo kuvutiwa na vitu vizuri sio guarantee ya kupata hivyo vitu vizuri, aliyejiunga anaweza kuishia kuumia kama ambavyo wengi waliojiunga kabla yake wanavyoumia.

Sasa unapozungumzia small business mbona huongelei wale waliokuwa hawana insurance kabisa nao wanasemaje? Hapa ni ku strike balance na Obamacare ililenga hilo

Hizi kauli za small business ni za kubeba ndiyo maana huwezi kuzitetea kwasababu umesikia tu. Ungeangalia kwa mtazamo mpana ungegundua kuwa akina Paul Ryan na Trump wameshaliona tatizo kwasababu hawana mbadala utakaokidhi haja ya kilichofikiwa hadi sasa.

Congressional Republicans wanayo Health Care Plan yao inaitwa Health Care Savings Account na wao ndio waliomwambia Trump kuhusu hiyo alternative.

Congressional Republicans walianza kupiga vita ObamaCare toka 2009.

Ugumu wa ObamaCare kwa Small Businesses wala sio complicated ni kwamba wewe ni muajiri umeajiri watu unatakiwa uwalipie health insurance (hiyo ya serikali) kila mwezi ili wawe covered usipowalipia unapigwa fine. Na hizo health care costs za kila mwezi ndizo zinazoumiza Small Businesses ukizingatia sasa Health care premiums zimepanda more than 25% nationwide na States zingine ni zaidi ya 60%.

Wale waliokuwa hawana health insurance kabla wengi wao wameajiriwa kwenye Small Businesses.

Na kuna wengi tu waliambiwa wakibadilisha insurance coverage wakahamia kwenye Affordable Care wataendelea kuhudumiwa na madaktari wao na walijikuta wakitaka kurudi kwa madaktari wao kupata matibabu wanaambia hawako covered.

Kuna mapungufu mengi kwenye Obama Care.

Mkuu hakuna kitu kinachoitwa ''executive order n.k.'' ni ima ueleze au ukae kimya

Executive orders ni nyingi sana kuhusu immigration. Single out moja unayoijua

Kwa maneno mengine, uliingia tu katika mkumbo, watafuta exec order ambalo ni kweli walisema. Hukuelewa watafuta nini.
kwasababu wao walisema watafuta ukabeba kama ilivyo.Mkuu narudia tena, ukumbi huu ni mpana nilimweleza '' magode ' kama unakumbuka

Nadhani unakumbuka Obama aliahidi Immigration Reform kwa Latinos na minority wengine lakini hakutimiza na mda wake umeisha. Immigration reform ya Obama ilikuwa na path to citizenship ambayo Congressional Republicans hawakukubaliana nayo.

Mwaka 2014, kwa kutumia Executive Order, Rais Obama alitoa amnesty kwa illegal immigrants millioni 5 na kutowa-deport na Reps hawakufurahishwa na hilo.

Trump anakuja na immigration reform ambayo ina massive deportations, na alisema ataanza na illegal immigrants millioni 2-3.
 
Nilichojifunza kwenye jukwaa hili nguruvi3 na mag3 hawakubali kusikia kitu tofauti kutoka kwa wengine. Halafu sijui kwa nn wanaamini sana vyanzo vyao kuliko vyanzo vingine!!?? Ngoja niendelee kuwa msomaji...!!
Sikiliza , hatupendi habari zkatika viwango hovyo. Tunasoma sana habari za wengine na tunapenda mijadala mizuri yenye maana. Leo wewe El Jefe kama ulivyoeleza hapo juu tunajua unaongozwa na ushabiki badala ya facts na hapa si mahala pake.
Una ID mbili na tulijua hilo

Ndiyo maana huwezi kueleza uhusiano wa Wall street journal,New York post na Fox kwasababu source zako ni za kubeba habari za akina Bannon na huna background ya unachozungumzia Zaidi ya kubeba information za WikiLeaks halafu huwezi kuzi support

Unaposema Clinton anachunguzwa na kamati 4 za congressional halafu unataka asamehewe na Obama hatukubali , hoja ina adulterate mijadala

Mtu asiye na kosa hasemehewi

Hoja zako kwasababu hazina ithibati zote zinajibika na kuonekana... Please usibebe vitu na kumwaga tu, hapana! We need vitu vya ku digest

Tunaheshimu sana maoni ya wengine si ushabiki usioongeza maarifa
 
Mkuu nguruvi3 jf sijawahi kuwa na id mbili kwa wakati mmoja na sitarajii kuwa nazo kwa sababu sina haja ya kufanya hivyo. Hakuna sababu ya ku-panic me nimesema kile nnachoona na nna uhuru wangu wa kufanya hivyo. Hv km unasema source zetu ni za kishabiki kwa matokeo haya yaliyopo mshabiki ni nani hapa!!? Zile kura za maoni tulikuwa tunawaambia ni za kupika mnakuja juu tukiweka za kwetu mnazizodoa wakati ndo zimeenda km zilivyotabiri. Me nimeamua kuwa msomaji,nimerudi kujibu hilo la id mbili. Km unaweza kuthibitisha hilo npo tayari kupigwa ban ya maisha. Nilishakuwa na id yangu ya awali lkn nilipigwa ban nikaachana nayo. Halafu hizi kauli za kupuuza watu wengine ndo zilizowagharimu hao mliokuwa mnawashabikia.

Obama alikuwa anasema eti trump hana akili ya kukabidhiwa funguo ya nyuklia!!? Hiyo ilikuwa kauli ya kipuuzi mno kutolewa na kiongozi km yeye. Dunia imebadilika na wamarekani wamethibitisha hilo,watu hawahitaji tena watu wenye hotuba nzuri ahadi kedekede lkn kwenye utekelezaji ni zero. Kule kahama walimkataa James Lembeli kwa sababu hiyo hiyo. Hotuba za kuvutia sana lkn hakuna cha maana. Watu wakampa mtu asiye na elimu kubwa wala maneno mengi Jumanne kishimba. Jamaa anapiga kazi ile mbaya..!! Na humsikii kupiga kelele bungeni. siasa za kilaghai hazina nafasi Dunia ya leo...!!
 
Nilichojifunza kwenye jukwaa hili nguruvi3 na mag3 hawakubali kusikia kitu tofauti kutoka kwa wengine. Halafu sijui kwa nn wanaamini sana vyanzo vyao kuliko vyanzo vingine!!?? Ngoja niendelee kuwa msomaji...!!
Unajua magode...

  • kama unaamini kwamba Rais Obama alivyoingia WH aliwadharau sana GOP hasa baada ya kuona ana majority kwenye House na Senate kama anavyodai El Jefe,
  • Kama huamini kwamba siku Obama anaapishwa baadhi ya Republicans hawakuhudhuria kwani walikuwa wanapanga namna ya kumkwamisha asifanikiwe kama El Jefe
  • Kama unaamini Obama ka sign executive orders nyingi kuliko MaRais waliomtangulia kama El Jefe
  • kama unaamini Hillary Clinton ni mhalifu anayehitaji msamaha wa Obama kama El Jefe anavyodai,
  • kama unawaamini waropokaji mfano wa Rep. Jason Chaffetz wa Utah kuhusu tuhuma kwa Clinton kama afanyavyo El Jefe
  • kama unaamini transition kwenye kambi ya Trump inaendelea smoothly bila matatizo kama El Jefe anavyodai,
  • El Jefe inaonekana hajui hata sababu za mtu kama Ben Carson kasita kuungana na timu ya Trump baada ya kuombwa kufanya hivyo.
  • Kama unaamini Donald Trump atawafungulia kesi wanawake anaodai walitumwa na Clinton Machine kumchafua kuwa aliwakamata kwa nguvu...!
  • Kama unaamini Donald Trump katika siku yake ya kwanza ofisini ataifuta (repeal and replace) Obama Care...Affordable Care Act
  • kama unaamini ukuta wa zege utajengwa kati ya Mexico na US kama alivyoahidi Trump kwenye kampeni zake akitafuta kura,
  • Kama unaamini Donald Trump atawafukuza immigrants kama alivyoahidi kufanya ndani ya siku zake mia ofisini kama anavyoamini El Jefe...!
  • kama huamini kwamba kuna wakati washauri wa Trump ilibidi wamzuie kuandika kwenye twitter kama asivyoamini El Jefe,
  • Kama huamini kwamba ushindi wa Trump umeamsha hisia za kibaguzi ambazo zilikuwa dormant mioyoni mwa white supremacists.
  • Kama una imani na Steve Bannon aliyekuwa mwenyekiti mtendaji wa wa gazeti la kibaguzi la Breitbart news sauti ya alt-right.
  • kama source ya habari unayoiamini ni FoxNews na watangazaji wake kama Sean Hannity kama El Jefe ,
  • kama...

...basi nimesalimu amri.
 
Obama alikuwa anasema eti trump hana akili ya kukabidhiwa funguo ya nyuklia!!? Hiyo ilikuwa kauli ya kipuuzi mno kutolewa na kiongozi km yeye.
magode, usipotoshe ukweli, kama kuna mtu amekuwa akimtukana mwenzake kwamba hana akili ni Trump...kila siku, pamoja na Obama kuwa na IQ maradufu ya Trump, amekuwa akimwita stupid leader na si mara moja ama mbili. Alichosema Obama ni kwamba Trump hana temperament (ni mkurupukaji) kwani kama twitter tu inaweza inamtibua na kuanza kukurupuka hovyo, atazuiaje vidole vyake kwenye funguo za nyuklia?
Dunia imebadilika na wamarekani wamethibitisha hilo,watu hawahitaji tena watu wenye hotuba nzuri ahadi kedekede lkn kwenye utekelezaji ni zero.
Si ajabu ukurupukaji umekuwa fesheni...hata hapa Tanzania tunaushuhudia kwa kiwango kikubwa sana tu. Bahati mbaya Marekani atazimwa tu, zipo checks and balances, na upuuzi kama tunavyoushuhudia hapa kwetu wa ulevi wa madaraka hauna nafasi. Hivi mpaka sasa Trump katekeleza kitu gani? Uzoefu wa kufilisika...bankruptcy? Na kwa habari zaidi ni kwamba, kwa siasa za Marekani, Trump mwenyewe ndiye atarajie kunyoshwa.
 
Dunia imebadilika na wamarekani wamethibitisha hilo,watu hawahitaji tena watu wenye hotuba nzuri ahadi kedekede lkn kwenye utekelezaji ni zero. Kule kahama walimkataa James Lembeli kwa sababu hiyo hiyo. Hotuba za kuvutia sana lkn hakuna cha maana. ...!!
Sina shaka una refer Obama
Kwa wakati tulio nao Obama ana 'approval' above 50%. Hiyo inapatikanaje??

Na ahadi ipi alitoa unadhani hakutekeleza?
 
Popular votes update: as of Saturday November 19th, 2016.
  • Hillary Clinton: 63,390,669
  • Donald trump: 61,820,845
  • Difference: 1,569,824
Kazi kweli kweli...haikuwahi kutokea.
 
Wakati hapa mag3 na nguruvi3 kwa kutumia mainstream media,wakiaminisha watu kuwa trump ni mbaguzi, Barack obama alipoulizwa sababu za Democrat kushindwa amekiri democrat walifanya makosa kufanya kampeni za makundi badala ya Taifa zima. Hapa wachambuzi wetu walikuwa hawaoni tatizo clinton kukumbatia walatino,weusi na akina mama. Yaani kampeni ya chuki hapa ndo ilielezewa zaidi km jambo muhimu kumuwezesha mama kushinda. Me nawasihi kitu kimoja tu,wakati tunajadiliana tujitahidi kuvumiliana. Wote hapa kila mmoja ana maoni na mitazamo yake,tofauti hizi ndo zinaifanya Dunia iwe hivi ilivyo leo.
 
magode, usipotoshe ukweli, kama kuna mtu amekuwa akimtukana mwenzake kwamba hana akili ni Trump...kila siku, pamoja na Obama kuwa na IQ maradufu ya Trump, amekuwa akimwita stupid leader na si mara moja ama mbili. Alichosema Obama ni kwamba Trump hana temperament (ni mkurupukaji) kwani kama twitter tu inaweza inamtibua na kuanza kukurupuka hovyo, atazuiaje vidole vyake kwenye funguo za nyuklia?

Si ajabu ukurupukaji umekuwa fesheni...hata hapa Tanzania tunaushuhudia kwa kiwango kikubwa sana tu. Bahati mbaya Marekani atazimwa tu, zipo checks and balances, na upuuzi kama tunavyoushuhudia hapa kwetu wa ulevi wa madaraka hauna nafasi. Hivi mpaka sasa Trump katekeleza kitu gani? Uzoefu wa kufilisika...bankruptcy? Na kwa habari zaidi ni kwamba, kwa siasa za Marekani, Trump mwenyewe ndiye atarajie kunyoshwa.
Je,baada ya Ushindi wa Donald Trump nini matarajio ya wengi?
Na nini madhara ya hulka binafsi za Donald Trump Kwa mustakbali wa Dunia?
 
Leo wewe El Jefe kama ulivyoeleza hapo juu tunajua unaongozwa na ushabiki badala ya facts na hapa si mahala pake.
Una ID mbili na tulijua hilo

Nguruvi3, mawazo yanaweza kufanana lakini hiyo haimaanishi moja kwa moja kuwa ID mbili au tatu ni za mtu mmoja.

Nina ID moja, naongozwa na facts na sipo biased.
 
Wakati hapa mag3 na nguruvi3 kwa kutumia mainstream media,wakiaminisha watu kuwa trump ni mbaguzi, Barack obama alipoulizwa sababu za Democrat kushindwa amekiri democrat walifanya makosa kufanya kampeni za makundi badala ya Taifa zima. Hapa wachambuzi wetu walikuwa hawaoni tatizo clinton kukumbatia walatino,weusi na akina mama. Yaani kampeni ya chuki hapa ndo ilielezewa zaidi km jambo muhimu kumuwezesha mama kushinda. Me nawasihi kitu kimoja tu,wakati tunajadiliana tujitahidi kuvumiliana. Wote hapa kila mmoja ana maoni na mitazamo yake,tofauti hizi ndo zinaifanya Dunia iwe hivi ilivyo leo.
Kwanza, nikufahamishe kuwa hujafuatilia mabandiko ya nyuma kuona kilichojadiliwa katika uchaguzi mzima

Pili, kama unakumbuka tulisema kuwa Michigan na Wisconsin ni za kuangalia hata kabla ya matokeo

Tatu, tulionyesha hesabu za Clinton ambazo ni playbook ya Obama 2008

Nne, tukaeleza factors zitakazoingia katika play.

Tano, tulieleza kuhusu walatino na weusi tukihoji mengi kuhusu ushiriki wao

Kama utakumbuka tulisema hivi ' Michigan' itakuwa tatizo kwa Clinton kwasababu hata akiwa na Sanders ilikuwa tatizo. Je, sivyo ilivyokuwa?

Na orodha kubwa tu kuonyesha mtiririko mzima. Hukufuatilia habari hizo na mabandiko yapo

Kuhusu Trump kuwa mbaguzi, hilo si suala la kujadili kwani rekodi zipo kuanzia miaka 40 iliyopita
Hivyo kutuhumu kuwa tuliaminisha watu ni makosa , ni fact

Juzi New York , katika hafla inayojulikana kama Hamilton, Mike pence VP aliambiwa wazi kuhusu wasi wasi wa minority. Mjadala huo unaendelea hadi sasa. Je, huoni tatizo hapo?

Lengo la nyuzi tatu kuhusu uchaguzi ilikuwa kuonyesha na kufuatilia mtiririko wa matukio, kuyaanisha katika lugha rahisi na kutoa ufafanuzi kwa mengi. Nakumbuka uliuliza mengi tu kutaka kujua

Tofauti yetu na wewe ni moja, wewe upo katika siasa za simba na Yanga, wakati kinachojadiliwa hapa ni siasa za duniani kwa ukubwa wake hasa tukijua influence ya Marekani

Kama utakumbuka, ulisema kuwa Session anakubalika kwa Democrat bila kuwa na hoja isipokuwa anakubalika kwa maono yako. Tulikupa shule nzima ya historia ya Session, matatizo, faida, na nini kinamsubiri akiwa AG. Hiyo ndiyo mijadala endelevu

Lakini pia tulikueleza kuhusu Clinton unayetaka asamehewe pasi na kosa, ukieleza jukumu la Obama kumsamehe. Tukakueleza kwa Marekani hilo halipo na kwasababu gani

Kwahiyo wewe ni beneficiary wa mijadala hata ulipokwenda kombo tulikusihi uujifunze
 
Sina shaka una refer Obama
Kwa wakati tulio nao Obama ana 'approval' above 50%. Hiyo inapatikanaje??

Na ahadi ipi alitoa unadhani hakutekeleza?
Kuna hizi hoja tungependa kusikia maoni yako
 
Wakati hapa mag3 na nguruvi3 kwa kutumia mainstream media, wakiaminisha watu kuwa trump ni mbaguzi...
Labda tuanzie hapa, hizo unazoita mainstream media ni zipi na ambazo si mainstream ni zipi unazozisikiliza wewe? Je ni katika jamii zipi na wasikilizaji na wasomaji wake ni nani? Je ni mainstream tu ndani ya Marekani ama nje ya Marekani? Nadhani utafiti kidogo utaonesha ipi media inasikilizwa na kusomwa kwa wingi na Watanzania?

Tukiacha hilo tukija kwenye social media hakuna aliyesakamwa kwa kiasi kikubwa kama Hillary Clinton na kama ni kuaminishwa ni hapo Trump alipata pass. Asilimia zaidi ya 80% zilimponda kulinganisha na asilimia 20% zilizomponda Trump. Nitaeleza baadaye kuhusu hili.
Je,baada ya Ushindi wa Donald Trump nini matarajio ya wengi?
Na nini madhara ya hulka binafsi za Donald Trump Kwa mustakbali wa Dunia?
Mkuu Mgaya D.W, matarajio ya ujio wa Trump ndani ya Marekani ni tofauti kidogo na nje ya Marekani. Ndani ya Marekani tutashuhudia juhudi zaidi za kuwaleta pamoja Wamarekani pamoja bila kujali tofauti zao. Tofauti na huko nyuma juhudi hizo zitaongozwa zaidi na viongozi na hasa wa Democrats kama alivyoanza kuonesha Rais Obama. Hii ni tofauti kabisa na namna Obama mwenyewe alivyopokelewa akiingia madarakani na vituko alivyofanyiwa na Republicans kwa kuapa kutompa ushirikiano. Hali ya baadaye itategemea serikali chini ya Trump itakavyopokea orange leaf kutoka kwa Democrats ila hali inaweza kuwa tete sana kama Trump atajawa kiburi na kuwapuuza.

Nje ya Marekani, indiketa zimeshaonesha madhara yanayoweza kutokea na hivyo tusitarajie Trump kutekeleza aliyokuwa akiyahubiri majukwaani. Sana sana anategemewa kupunguza kwa kiasi kikubwa rhetoric zake kwa nchi ambazo zimekuwa marafiki wa Marekani. Kumbuka kwamba pamoja na kuwa Rais, Trump si kila kitu na asitegemee kuungwa mkono na Republicans wakati wote akitoka nje ya mstari. Heri yake iko katika kujenga daraja kuwaleta karibu wahasimu wake kutoka upinzani na anaweza hata kuwashirikisha wengine kwenye serikali yake. Hiyo ndiyo maana ya nchi kuitwa Republic, ukishinda huatamii kila kitu...walioshindwa nao mawazo yao hupewa kipaumbele.
 
Nguruvi3, mawazo yanaweza kufanana lakini hiyo haimaanishi moja kwa moja kuwa ID mbili au tatu ni za mtu mmoja.

Nina ID moja, naongozwa na facts na sipo biased.

Duh!

Ushabambikiwa ID ingine?

Kaazi kweli kweli.

Wasije kudhani tu kuwa wewe ndo mimi maana hawakawii hawa watu.
 
[*]kama unawaamini waropokaji mfano wa Rep. Jason Chaffetz wa Utah kuhusu tuhuma kwa Clinton kama afanyavyo El Jefe

Kwa maoni hayo inaonekana hata Rep. Trey Gowdy wa South Carolina ni mropokaji.

[*]kama unaamini transition kwenye kambi ya Trump inaendelea smoothly bila matatizo kama El Jefe anavyodai,

Chris Christie na washirika wake watakapopewa vyeo vikubwa uje urudi kubadilisha hizi statements.

Kila anaeteuliwa mnadai ni 'controversial'. Trump ni Rais independent wa kwanza katika historia ya US.

[*]El Jefe inaonekana hajui hata sababu za mtu kama Ben Carson kasita kuungana na timu ya Trump baada ya kuombwa kufanya hivyo.

Ben Carson anavyozungumza ni kwamba anaona watu wanavyoweka expectation kubwa kwake kwenye Dept. of Health and Human services na amejipima akaona atulie kwanza. Kwa kifupi anaona kuna wengine wana uwezo wa ku-perform kuliko yeye.

Mwingine ni Jamie Dimon (CEO wa JPMorgan) naye bado anajipima na anasema ikitokea kwamba ni yeye pekee ndiye anaetakiwa kuwa Treasury Secretary atakubali.

Trump anazungumza na watu wengi na nafasi ni nyingi, sio kwamba mtu akikataa ina maana kuna tatizo kwenye Transition. Hawa watu wanajipima.

Hivyi vyeo vingine ni vikubwa na wenzetu sio kama wabongo wanaokimbilia kukubali vyeo halafu matokeo yake wanabadilishwa wizara kila kukicha.

[*]Kama unaamini Donald Trump katika siku yake ya kwanza ofisini ataifuta (repeal and replace) Obama Care...Affordable Care Act

Inaweza isiwe siku ya kwanza ofisini lakini itakuwa repealed na kuwa replaced kwa namna moja au nyingine.

Hata kwa kutumia Reconcilliation Bills kuimega ACA kidogo kidogo hadi ifike hatua haina maana kuwepo.

Kwanza Reps wanaweza kuifanyia kazi ile Reconcilliation bill ya mwaka 2005 ambayo Obama ali-veto. Wana Senators zaidi ya 51. Wakiipitisha mwezi wa 12 mwaka huu ina maana Trump anaweza kuisaini January 20th 2017.

[*]kama unaamini ukuta wa zege utajengwa kati ya Mexico na US kama alivyoahidi Trump kwenye kampeni zake akitafuta kura

Ukuta utajengwa. Kama Hillary aliweza kuipigia kura Secure Fence Bill ya mwaka 2006 na baadae Rais Bush akaisaini, usidhani ni Reps tu ndio wanaoitaka hiyo Border Wall.

Wewe hukuamini Trump anaweza kuwa Rais na akawa. Hapa umetaja vitu ambayo huamini kama vitafanyika. Vikishafanyika utashikilia vingine na kuanza kudai haviwezi kufanyika.

[*]Kama unaamini Donald Trump atawafukuza immigrants kama alivyoahidi kufanya ndani ya siku zake mia ofisini kama anavyoamini El Jefe...!

Hivi unafikiri Trump atatoa amnesty kama aliyotoa Obama ya illgegal immigrants millioni 5?

[*]kama huamini kwamba kuna wakati washauri wa Trump ilibidi wamzuie kuandika kwenye twitter kama asivyoamini El Jefe,

Tupe ushahidi. Kama hauna ushahidi ina maana unaongea uongo.

[*]Kama huamini kwamba ushindi wa Trump umeamsha hisia za kibaguzi ambazo zilikuwa dormant mioyoni mwa white supremacists.

*]Kama una imani na Steve Bannon aliyekuwa mwenyekiti mtendaji wa wa gazeti la kibaguzi la Breitbart news sauti ya alt-right.

Haya ni maoni ya akina Van Jones, Anderson Cooper, Jake Tapper, Rachel Maddow, na Wolf Blitzer. Umebeba kama yalivyo umeleta huku.

[*]kama source ya habari unayoiamini ni FoxNews na watangazaji wake kama Sean Hannity kama El Jefe

Mbona Megyn Kelly humtaji? au kwa sababu alikuwa upande wa bibi?

Mkuu, Hannity amekufanyaje? Inaonekana unamkubali lakini huku mbele za watu hutaki kusema.

Nawasikiliza wengi lakini mwisho wa siku napima ukweli upo wapi.

Usiwe kama Kanye West ambaye anajuta kutompigia kura Trump. Alikuwa mshabiki wa Trump lakini hakuweza kusema publicly kabla ya uchaguzi.
 
Back
Top Bottom