"El Jefe, post: 18554565, member: 387168"]Ukiangalia e-mail leak ya John Podesta (kwa hisani ya Wikileaks) utagundua kwamba katika media organizations kubwa za US, ni Fox peke yao ndio hawakuitwa kwenye Dinner nyumbani kwa Podesta ili kupewa maagizo kabla kampeni za Urais hajizaanza.
Hujajibu swali, unawezaje kutenga New York Post, Wall street journal na Fox news? Unajua mahusiano ya hao watatu kwa uchache?
Unachosha sana, usibebe kila kitu kana unavyokumbana nacho.
Ni lazima uwe na multiple sources na weledi wa kupambanua mambo.
Hivi ulitegemea kampeni iseme nini kuhusu hilo?
Mkuu, unafahamu kitu gani kinatokea kama US President akim-pardon mtu?
Ndugu yangu Rais hasamehi mtu asiye na kosa, hata Tanzania haijatokea. Msamaha ni neno lenye maana yake
Mtu anakuwa na kosa ikithibika kwa kutumia vyombo husika
Umesema kamati nne za congression zitaendelea na uchunguzi dhidi ya Clinton ukatoa jina la maseneta wanaosema. Kwa maana nyingine kamati hazijaanza kazi unayosema
Halafu ukasema unasubiri kama Obama atamsamehe Clinton au la
Hapa ndipo kuna hoja, kama kamati hazijaanza kazi Obama anamsamehe Clinton kwa kosa gani au tuhuma gani na zilizotoka wapi na kwa uthibitisho upi.
Rais wa Marekani hawezi kutoa msamaha wa mtu asiye na kosa, non sense! non sense
Andika vitu vinavyoeleweka tafadhali, ukumbi huu ni mpana hauhitaji mambo kama haya
Comey hakumpa taarifa hata Loretta Lynch (AG) kuwa ataandika barua Congress kwa ajili ya ku-ssuplement records.
Ina maana hata Rais Obama alipata taarifa baada ya barua kwenda Congress. Rais Obama asingezuia kwa kuwa hakuwa na taarifa.
Obama on FBI: We don't operate on innuendo - CNNPolitics.com
Hivi unajua Comey wa FBI anapatikana kwa utaratibu gani na anawajibika kwa nani.
Obama hana nguvu kama tunazoona hapa kwetu.
Hapa unaongelea US tafadhali. Usibebe vtu tu bila kuwa na weledi
Kuna vitu huwezi kufanya Day One. Hata Rais Obama alivyoingia madarani Day One akasema anafunga Guantanamo Bay lakini anaondoka awamu mbili gtmo bado ipo.
Kuongezeka kwa waliojiandikisha inaweza kusababishwa na watu kuhitaji baadhi ya vitu kwenye ObamaCare
Atakachokifanya Trump na Congressional Republicans ni ku-repeal na kui-replace ObamaCare na Health Care Savings Account kwa namna ambayo watu hawapotezi coverage na wenye pre-conditions kuendelea kuwa covered.
Obama Care in kodi nyingi, premiums/health care costs zinapanda sana kwahiyo sio affordable kwa watu, waajiri inabidi walipe health insurance kwa wafanyakazi wao au walipe fine ndio maana small business wakawa wanaumia.
Hebu tueleze na wewe uzuri wa Obamacare kwa mtazamo wako ni upi?
Hapa tena tunarudi katika flimsy utetezi.
Tunasema hivi Trump alisema ata repeal day one. Hilo halitatokea kutokana na ugumu wa suala zima. Watu 22M wana insurance halafu unaamka asubuhi bila kuwa na plan na kufuta. Huo si wendawazimu na wendawazi walidhani ataweza
Pili, ku repeal kwa tafsiri ni revoke au annul. Kwa lugha ya congressional ni ku revoke act
Replace ina tafsiri ya kubadilisha kwa maana ya kuondoa kwa kuziba (tafsiri isyo sahihi)
Trump alisema ata repeal hakusema ata replace, unless tulimsikia tofauti.
Hivyo huwezi kusema ata replace ukimaanisha ana repeal. Hapa mkuu ni lugha tu
Tatu, kama kuna vitu unavyosema ni vizuri, uliwezaje kusema Obamacare ni mbaya?
Unaona tatizo la kubeba vitu bila kufikiri. Baada ya swali langu ndipo ukaelewa si suala la ku repeal kuna vitu vizuri. Vitu hivyo ndivyo vimevutia wengi kujiunga
Sasa unapozungumzia small business mbona huongelei wale waliokuwa hawana insurance kabisa nao wanasemaje? Hapa ni ku strike balance na Obamacare ililenga hilo
Hizi kauli za small business ni za kubeba ndiyo maana huwezi kuzitetea kwasababu umesikia tu. Ungeangalia kwa mtazamo mpana ungegundua kuwa akina Paul Ryan na Trump wameshaliona tatizo kwasababu hawana mbadala utakaokidhi haja ya kilichofikiwa hadi sasa.
Alisema atafuta Executive Orders kwa mfano Immigration Executive Order n.k
Mkuu hakuna kitu kinachoitwa ''executive order n.k.'' ni ima ueleze au ukae kimya
Executive orders ni nyingi sana kuhusu immigration. Single out moja unayoijua
Kwa maneno mengine, uliingia tu katika mkumbo, watafuta exec order ambalo ni kweli walisema. Hukuelewa watafuta nini.
kwasababu wao walisema watafuta ukabeba kama ilivyo.
Mkuu narudia tena, ukumbi huu ni mpana nilimweleza ''
magode ' kama unakumbuka