Duru za siasa: Matukio nchini na duniani kwa ujumla

 
 
Last edited by a moderator:
Hili ni tukio lililotokea Geneva wakati Viongozi wa Houthi (wanaoitwa wanamgambo wa Yemen) walipokuwa wanatoa maelezo kwa wahandishi wa habari.



http://m.deseretnews.com/photo/765675725

Melee Erupts at Yemen Peace Talks | Al Jazeera America


http://www.dailymail.co.uk/wires/af...-Yemen-talks-slipper-hurled-rebel-leader.html



Yemen iko kwenye mgogoro mkubwa baina ya wanamgambo hawa na serikali ya zamani ya nchi hiyo inayosaidiwa na saud arabia. Wanamgambo hawa inasemekana wanasaidiwa na Iran. Saud Arabia imesababisha maafa makubwa ya kibanadamu na makazi kwa kuishambulia nchi hiyo kwa ndege za kivita huku ikidondoshea raia mabomu yaliyokatazwa ....!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…