Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 15,773
- 32,431
- Thread starter
- #261
Katika mjadala huu mwanzoni kuna bandiko la !Mchambuzi alilosema waraka una matatizo katika 'contents, context na intent'. Wengi wanakwepa ukweli huo na kutafuta mahali pa ku balance.
Waraka umeandikwa na Kitila, uliopo ni wa Kitila balance inawezekanaje? hakuna waraka mwingine?
Siangalii upande, naangalia waraka kwa alichosema Mchambuzi 'contents, context na intent'
Kuna hoja zitokanazo na waraka zinazopaswa kujadiliwa, mengine yajadiliwe kama yalivyo si sehemu ya waraka. Huwezi ku dilute madhara ya waraka kwa CDM kwa kutumia kosa la mtu mwingine.
Pasco tupo duru tangu mgogoro wa Arusha. Wewe ni shahidi wa maandishi yangu kuwaasa viongozi wa CDM tena kwa lugha nzito kuwa lipo tatizo la uongozi.
Niliandika CDM inaelekea kwa NCCR na CUF na kwamba upo mgogoro mkubwa.
Nilikazia wakati wa sakata la Juliana tena nikionya kulikuwa na kundi kubwa nyuma ya Juliana, leo tunalijua.
Katika uzi huu niliandika na kuungwa mkono kuwa uongozi ulichukua hatua kwa njia jazba.
Nilisema kabla ya CC kukaa,iwepo neutral organ kuangalia tatizo linalohusu pande mbili na ni kubwa.
Maana halisi ilikuwa ni kuona kama kuna makosa yanayostahili adhabu na iweje , wakati huo kukiwa na nafasi ya arbitration.
Nilisema kuwa kuwaondoa wadhifa na kuziba nafasi hizo ilikuwa jazba na kwamba kama ni hivyo kwanini hawajaziba nafasi ya makamu mwenyekiti.
Kuhusu waraka, nawashangaa wanaosema madai yaliyotolewa hayajajibiwa.
Huu waraka ulikuwa wa siri, sasa ungejibiwa vipi wakati ulikuwa haujulikani?
Nafasi ya kujulikana ilikuwa katika nfasi zifuatazo
1. Kuzungumza katika vikao hata kama wangefukuzwa
2. Kujiuzulu nafasi zao kama kupinga hatua hiyo
3. Kushawishi wajumbe waone tatizo
4. Kutumia mikutano kusema wazi kile wanachokiona sahihi.
Hawakufanya hivyo, leo eti wapo wanaosema tuhuma zijibiwe.
Ni maandazi yaliyokuwa mitaani leo mnataka yawekwe kwenye mifuko safi ili kuyapa uhalali
Nimekuuliza Pasco kama njia zilizotumika zilikuwa sawa. Ukweli ni kuwa waraka ulikuwa unavuja kipengele kimoja hadi kingine hapa JF kila siku. Nimeweka ushihidi hakuna aliyepinga.
Kuvuja kwa waraka kwa njia za makudi kulilenga kuleta vurugu, ndicho kinaitwa 'malicious intent'.
Kwa upande wa contents waraka hauna kitu cha maana cha kusema ulikusudia kuisadia CDM.
Ni majungu ambayo ninaona aibu kujaribu kyatetea. Najisikia soni aibu,tahayari na fadhaa kusikia umeandikwa na wasomi. Shame!
Kwa upande wa context huko nako hakuna afueni ni aibu tu.
Watu hawaangalii hayo wanaangalia ZZK kwa jicho la upenzi.
Na ili kufunika uvundo wa waraka watu wanasema pande zote zijadiliwe! haa zijadiliwe kwanini kuna waraka mwingine.Mapenzi yamefunika fikra za watu katika kuungalia waraka.
Kwa kujua kuwa watu wana mapenzi Kitila na ZZK wanachomeka hoja ya uenyekiti na watu wanaamini kabisa kuwa hilo ndilo tatizo.
Wamesahau kuwa hii coalition ndio chanzo cha Kafulila, Masalia na Juliana ikiwa imejicficha kwa unafiki. Mnaogopa kusema hawa ni wanafiki kwasababu ya mapenzi. Eti kusema hivyo mtu anachukua upande.
Huwezi kupinga maamuzi ukiwa ndani ya vikao. Hawa ni wahujumu. Yangefanywa na Juliana tungeyapuuza, kwa wasomi wa PhD kuyapaka marashi na utuli ni kupuliza perfume katika samadi
Asichosema Kitila, ni kuwa alikuwa nyuma ya Juliana wakaisadiana na ZZK kuleta mtafaruku.
Mbona Juliana alipotimuliwa hamkusema jambo? Kitila peke yake alisimama na kuseama 'aachwe abalehe'
Mnasahau kuwa nyuma ya migogoro 4 ZZK yupo.
Mkuu Mkandara kaeleza kuwa ZZK alitumainiwa na kuaminiwa na hakuweza kupokea imani hiyo. Natamani watu wangejua uzito wa kauli hiyo ya Mkandara.
Ukiuangalia waraka kwa fikra huru utaona matatizo makubwa sana.
Ukiuangalia kwa jicho la mahaba waraka ni safi saaana.
Swali la nyongeza, ule waraka uliandikwa lini?