Kwa sababu Marekani alikua anapigana na vi nchi dhaifu kama Iraq,Somalia na vikundi kama Taliban,Al qaeda.hivyo hakua katika hatari ya kuzidiwa.
Lakini Sasa kama USA atajaribu kuiingiza jeshi kukabiliana na Urusi Hali yake itakua dhofuli Hali.
Na hilio ndio Dutertte ndio hataki kujiingiza katika janga la kumsaidia USA maana a ajua TU huko mbele Kuna kuombwa msaada na USA.
Kwa kifupi Dutertte kashasoma mchezo,
Kaweka akina ya maneno kabisa kuwa kama USA akijiingiza yeye Dutertte hayumo.hataki maneno.