Duterte: Sitotuma wanajeshi wangu kuisaidia Marekani kama Marekani ikijiingiza vitani Ukraine

Duterte: Sitotuma wanajeshi wangu kuisaidia Marekani kama Marekani ikijiingiza vitani Ukraine

Huo ndio Ukweli wenyewe.
Na baada ya vita hii,mifumo mingi sana ya kidunia itabadilika.
Putin kamchapa mtoto mbele ya baba yake na kaka zake nyumbani kwao Huku wakubwa zake mtoto huyo wakiangalia TU bila kumsaidia.
Kibaya zaidi mtoto analia na anaomba msaada kwa uchungu na maumivu wanamwngalia TU,yaani hata majirani wanatazama wakiwa madirishani bila msaada wowote.
Da inasikitisha sana aisee.
Hakuna mfumo wowote wa Dunia utakaobadilika,Russia hana pesa wa Ushawishi wa kubadili mfumo wa Dunia. Huyo China mwenye Uchumi mkubwa na ushawishi kuliko Russia alipigwa vikwazo vya hatari mpaka akaomba poo lakini hakuna mfumo wowote wa Dunia uliobadilika.
 
Ila marekani bwana yani kaingia mkataba eti ikitokea vita mmoja amsaidie mwenzake.
Hiyo ndio mikataba anayolilia Ukraine huku Putin akiipinga kwa nguvu zote. Unadhani Ukraine angekuwa member wa NATO Mrusi angethubutu kumfanyia huu utopolo au ni sawa na Taiwan mwenye Mkataba na Marekani kuwa endapo Taiwan itavamiwa U.S ataingia Vitani moja kwa moja kumsaidia Taiwan zidi ya mvamizi.
 
Basi naamini rais putin anayo akili mingi mno.
 
Basi naamini rais putin anayo akili mingi mno.
Mziki wa US sio wa kitoto broh, harafu pesa ipo. Bajeti yw jeshi ya US ni mara 100 ya Russia. Chukua nchi zote za Asia ktk bajet ya jeshi kisha compare na US uone balaa lake.
 
Russia hana ubavu hata robo wa kupambana na NATO. sema NATO wameamua kutumia busara tuu ili dunia ibaki salama maana urusi anajua kupambana na NATO hawezi atakimbilia kutumia nyuklia sasa akiitumia tuu na wenzanke pia wanazo nao watatumia mwisho wa siku dunia itapitia kipindi kigumu na watu wengi sana kufaaa.

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
Watoto wa kibongo ambao ni waoga hata wa virungu vya polisi wa ccm wanadhani vita ni sawa la game la kwenye simu, kazi yao kuleta ushabiki wa kitoto usio na tija yoyote.
 
Akina URUSI walikuwa na umoja wao ulioitwa Warsaw Pact. Ukasambaratika ,njaa kali ikiwa ni moja ya sababu. Wengi wao wakahamia NATO akiwemo Poland
Wengi historia hawajui, wamebaki kushabikia mambo wasiyoyajua.
 
Ana wanajeshi au migambo wale WA kukamata mateja........anafiri Vita kama migambo wake wanavowakimbiza mateja ........hili kweli kiazi mbatatata
Kamuulize Marekani ambaye aliiomba Ufilipino waingie nae mkataba wa kusaidiana kijeshi.
SmartSelect_20220318-111436_Chrome.jpg
 
Huo ndio Ukweli wenyewe.
Na baada ya vita hii,mifumo mingi sana ya kidunia itabadilika.
Putin kamchapa mtoto mbele ya baba yake na kaka zake nyumbani kwao Huku wakubwa zake mtoto huyo wakiangalia TU bila kumsaidia.
Kibaya zaidi mtoto analia na anaomba msaada kwa uchungu na maumivu wanamwngalia TU,yaani hata majirani wanatazama wakiwa madirishani bila msaada wowote.
Da inasikitisha sana aisee.

Huyo mtoto ni mdogo wake Urusi kinasaba. Marekani anaweza kumezea tu ndugu wamalizane. Hakuna ushujaa kumchapa ndugu yako kwa vile kaonyesha dalili za kushirikiana na mbaya wako. Mgonge mbaya mwenyewe.

Urusi wafanye la maana; wadondoshe mabomu angalau kwa memba jirani wa NATO hasa Poland zinakopitishwa silaha za Marekani kuingia Ukraine waone kama Marekani atakohoa.
 
U.s.a ushawishi wake wakijeshi umeshaanza kuporomoka ,putin kaleta heshima duniani, putin ndio kiumbe pekee baada ya miaka mingi kupita kutoa kauli moja tu ya kupiga mwenye mbwa na mbwa wake wote endapo watavuka mstari mwekundu na wote wakatii amri wakibaki wanabweka hovyo kwenye vyombo vya habari...
Embu tupe mifano ya ushawishi wa urus bwashee maana tuongee kwa mifano
 
Russia hana ubavu hata robo wa kupambana na NATO. sema NATO wameamua kutumia busara tuu ili dunia ibaki salama maana urusi anajua kupambana na NATO hawezi atakimbilia kutumia nyuklia sasa akiitumia tuu na wenzanke pia wanazo nao watatumia mwisho wa siku dunia itapitia kipindi kigumu na watu wengi sana kufaaa.

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
Busara ipi acha uongo,hiyo busara mbona hwakuitumia Syria,Afghanistan,somalia,Libya ,Vietnam , na kwingineko ,Leo Russia anamchapa mbwa wake ndo busara imemrudi!!?? NATO waoga Kama waoga wengine ,wamekutana na kidume wameufyata mkia,pumbavu!!
 
Back
Top Bottom