Duterte: Sitotuma wanajeshi wangu kuisaidia Marekani kama Marekani ikijiingiza vitani Ukraine

Fursa za kiuchumi NATO sio kipaumbele kuliko usalama?
 
Zamani niliamini sana mbabe ni mwenye mashine. Niliiadmire mno Russia lakini kwa sasa naanza kutambua hakuna mbabe zaidi ya aliye na pesa.

Ushawishi alionao US sio silaha ila ni pesa.
 
Ana wanajeshi au migambo wale WA kukamata mateja........anafiri Vita kama migambo wake wanavowakimbiza mateja ........hili kweli kiazi mbatatata
 
Lini alishawahi kutuma Majeshi kuisaidia Marekani?
Kwa sababu Marekani alikua anapigana na vi nchi dhaifu kama Iraq,Somalia na vikundi kama Taliban,Al qaeda.hivyo hakua katika hatari ya kuzidiwa.
Lakini Sasa kama USA atajaribu kuiingiza jeshi kukabiliana na Urusi Hali yake itakua dhofuli Hali.
Na hilio ndio Dutertte ndio hataki kujiingiza katika janga la kumsaidia USA maana a ajua TU huko mbele Kuna kuombwa msaada na USA.
Kwa kifupi Dutertte kashasoma mchezo,
Kaweka akina ya maneno kabisa kuwa kama USA akijiingiza yeye Dutertte hayumo.hataki maneno.
 
Huo ndio Ukweli wenyewe.
Na baada ya vita hii,mifumo mingi sana ya kidunia itabadilika.
Putin kamchapa mtoto mbele ya baba yake na kaka zake nyumbani kwao Huku wakubwa zake mtoto huyo wakiangalia TU bila kumsaidia.
Kibaya zaidi mtoto analia na anaomba msaada kwa uchungu na maumivu wanamwngalia TU,yaani hata majirani wanatazama wakiwa madirishani bila msaada wowote.
Da inasikitisha sana aisee.
 
Kama USA alivyotumia atomic bomb huko Japan au?
 
Fursa za kiuchumi NATO sio kipaumbele kuliko usalama?
Fursa za kiuchumi unaweza kuzi-access hata ukiwa kwenye EU pasi na kuwa NATO. Finland na Sweden zina access na soko la EU lakini hazijajiunga na NATO.

Ila Sweden na Finland huwa zataka kujiunga na NATO ili kujilinda dhidi ya Russia



 
Ukweli huu mchungu watu hawapendi kuukubali.
 
Ahaa kwa hiyo Marekani anasifika na anajulikana kwa kupeleka machafuko kwa nchi nyingine.Aisee.
Kama ambavyo amepeleka vita ukraine.na bado anataka kupeleka silaha ili vita iwe ya mda mrefu.
Bila kujali kama ulaya itajaa wakimbizi na Ukraine itakua jangwa?
 
Hizi ni akili za Wafuasi wa Jiwe waliokuwa wakimwita eti ni Shujaa wa Africa,ukiwauliza ushujaa gani hao alioufanya wanaanza kukwambia wewe si Mzalendo.
 
Mbona walishampelekea waasi kusini mwa Philippines kwenye wailsam wengi,pale Philippines ilipoanza kupiga kelele eti majeshi ya Marekani yaondoke nchini kwake U.S akawaundia kikundi cha Abu Sayyaf Group kikaanza kuleta vurugu kudai Uhuru wa Wailsam au Philippines Mindanao baadae ikabidi aite jeshi la Marekani kuwasaidia.
 
Kwahiyo wewe ndio msemaji wa NATO
 
Mbona huitaji Afghanistan Mrusi alipokimbia kwa miguu hata kabla hajateka Nchi kama inavyomkuta leo hii hapo Ukraine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…