Duterte: Sitotuma wanajeshi wangu kuisaidia Marekani kama Marekani ikijiingiza vitani Ukraine

Hakuna mfumo wowote wa Dunia utakaobadilika,Russia hana pesa wa Ushawishi wa kubadili mfumo wa Dunia. Huyo China mwenye Uchumi mkubwa na ushawishi kuliko Russia alipigwa vikwazo vya hatari mpaka akaomba poo lakini hakuna mfumo wowote wa Dunia uliobadilika.
 
Ila marekani bwana yani kaingia mkataba eti ikitokea vita mmoja amsaidie mwenzake.
Hiyo ndio mikataba anayolilia Ukraine huku Putin akiipinga kwa nguvu zote. Unadhani Ukraine angekuwa member wa NATO Mrusi angethubutu kumfanyia huu utopolo au ni sawa na Taiwan mwenye Mkataba na Marekani kuwa endapo Taiwan itavamiwa U.S ataingia Vitani moja kwa moja kumsaidia Taiwan zidi ya mvamizi.
 
Basi naamini rais putin anayo akili mingi mno.
 
Basi naamini rais putin anayo akili mingi mno.
Mziki wa US sio wa kitoto broh, harafu pesa ipo. Bajeti yw jeshi ya US ni mara 100 ya Russia. Chukua nchi zote za Asia ktk bajet ya jeshi kisha compare na US uone balaa lake.
 
Watoto wa kibongo ambao ni waoga hata wa virungu vya polisi wa ccm wanadhani vita ni sawa la game la kwenye simu, kazi yao kuleta ushabiki wa kitoto usio na tija yoyote.
 
Akina URUSI walikuwa na umoja wao ulioitwa Warsaw Pact. Ukasambaratika ,njaa kali ikiwa ni moja ya sababu. Wengi wao wakahamia NATO akiwemo Poland
Wengi historia hawajui, wamebaki kushabikia mambo wasiyoyajua.
 

Huyo mtoto ni mdogo wake Urusi kinasaba. Marekani anaweza kumezea tu ndugu wamalizane. Hakuna ushujaa kumchapa ndugu yako kwa vile kaonyesha dalili za kushirikiana na mbaya wako. Mgonge mbaya mwenyewe.

Urusi wafanye la maana; wadondoshe mabomu angalau kwa memba jirani wa NATO hasa Poland zinakopitishwa silaha za Marekani kuingia Ukraine waone kama Marekani atakohoa.
 
Embu tupe mifano ya ushawishi wa urus bwashee maana tuongee kwa mifano
 
Busara ipi acha uongo,hiyo busara mbona hwakuitumia Syria,Afghanistan,somalia,Libya ,Vietnam , na kwingineko ,Leo Russia anamchapa mbwa wake ndo busara imemrudi!!?? NATO waoga Kama waoga wengine ,wamekutana na kidume wameufyata mkia,pumbavu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…