Duuuuh! hawa Yanga Sasa too much haya matakwa yao hayatekelezeki

Duuuuh! hawa Yanga Sasa too much haya matakwa yao hayatekelezeki

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
23,040
Reaction score
33,028
Napenda kuwajuza waandishi wa Habari, yasipofanyiwa kazi matakwa yetu matatu kwa uharaka, Young Africans SC hatutakuwa tayari kucheza mchezo namba 184, mechi zote mbili za Ligi zilizobaki na hatutashiri Ligi Kuu Msimu ujao.

Huu ndio msimamo wetu na hatutayumba kwa lolote lile”. Ally Kamwe - Meneja Habari na Mawasiliano Yanga SC.

#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko

NB Yanga Kwa hili ni too much .hata kama ungekua wewe baba uambiwe na mtoto wako uondoke ( ustaafu) utakubali ??

TFF wameshajifunza walikosea ....tufunike kombe .... tuendeleeee mbele
1749482931065.jpg


Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Hii kitu lazima mmoja hapo akubali kuumia, kama sio yanga Bali hao tff, maana naona wameamua kuonyeshana ubabe.....


Cha ajabu Simba ndo alianzisha huu upuuzi yeye sa hivi yupo kando kama hamna kitu vile
Simba Hana kosa ....aliwauzia bomu TPLB

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Napenda kuwajuza waandishi wa Habari, yasipofanyiwa kazi matakwa yetu matatu kwa uharaka, Young Africans SC hatutakuwa tayari kucheza mchezo namba 184, mechi zote mbili za Ligi zilizobaki na hatutashiri Ligi Kuu Msimu ujao.

Huu ndio msimamo wetu na hatutayumba kwa lolote lile”. Ally Kamwe - Meneja Habari na Mawasiliano Yanga SC.

#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko

NB Yanga Kwa hili ni too much .hata kama ungekua wewe baba uambiwe na mtoto wako uondoke ( ustaafu) utakubali ??

TFF wameshajifunza walikosea ....tufunike kombe .... tuendeleeee mbeleView attachment 3362388

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kumbe kuna mkubwa serikalini alipiga simu kuchangia yaliyotokea na zigo kaangushiwa bodi ya ligi, na walioipigia simu wame mute🙌🙌🙌🤣
 
Nasema hv kama bodi ya ligi Kwa linaloendelea kama wanampango wa kujiuzulu hawana haja hiyo wawakazie Hawa mwiko Nyuma mpaka mwisho tuone kiburi wanakipata wapi
 
Back
Top Bottom