Duuuuh! hawa Yanga Sasa too much haya matakwa yao hayatekelezeki

Duuuuh! hawa Yanga Sasa too much haya matakwa yao hayatekelezeki

Kwahyo huyo kiongozi alietoa ujumbe geti lisifunguliwe ni wa nyuma mwiko? Maana aliwaandaa na mabaunsa kabisa wakae mkao wa zuia zuia
Huo mchezo wa simba, maana simba wachezaji tegemeo walikua majeruhi,so mwana fa simba damu akahusishwa kwenye mpango
 
Napenda kuwajuza waandishi wa Habari, yasipofanyiwa kazi matakwa yetu matatu kwa uharaka, Young Africans SC hatutakuwa tayari kucheza mchezo namba 184, mechi zote mbili za Ligi zilizobaki na hatutashiri Ligi Kuu Msimu ujao.

Huu ndio msimamo wetu na hatutayumba kwa lolote lile”. Ally Kamwe - Meneja Habari na Mawasiliano Yanga SC.

#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko

NB Yanga Kwa hili ni too much .hata kama ungekua wewe baba uambiwe na mtoto wako uondoke ( ustaafu) utakubali ??

TFF wameshajifunza walikosea ....tufunike kombe .... tuendeleeee mbeleView attachment 3362388

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hawa kenge wasitupotezee muda, acha wasuse kanuni itajulikana
 
Back
Top Bottom