Duuuuh! hawa Yanga Sasa too much haya matakwa yao hayatekelezeki

Duuuuh! hawa Yanga Sasa too much haya matakwa yao hayatekelezeki

Hii kitu lazima mmoja hapo akubali kuumia, kama sio yanga Bali hao tff, maana naona wameamua kuonyeshana ubabe.....


Cha ajabu Simba ndo alianzisha huu upuuzi yeye sa hivi yupo kando kama hamna kitu vile
Simba ndiyo chanzo cha yote haya.
 
Tuliza kiwewe zuzu pori wee....hivi mnawaona Simba wametulia unawachukulia poa ee...eti kwa tarehe mtakayoamua ....sasa ndo mtajua nguvu ya Nguvu moja.
Nguvu ya Nguvu Moja Haina nguvu bila ya nguvu ya KARAI na wahuni wenzake.
 
Back
Top Bottom