Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,617
- 24,269
Mkuu mimi ni Simba, ingawa nilikua nasupport mwanzo kwa sasa hapana wana madai mengi na wanataka kuipelekesha Taasisi!wewe unaonaka simba
Mkuu mimi ni Simba, ingawa nilikua nasupport mwanzo kwa sasa hapana wana madai mengi na wanataka kuipelekesha Taasisi!wewe unaonaka simba
Kiufupi ....soka linatumika na serikali kuleta tranquility/ balance/utulivu .....Chajabu kwenye soka ndo kimeumana,[emoji23][emoji23]Hili lazima liende na watu bodi ya ligi.... Wao wanajifanya kupenda simba bila kufuata kanuni.
#HATUCHEZI
#NO REFORM NO ELECTION.
[emoji23] Huku bodi ya ligi wanajambiana, kule tume huru na ccm wqanakojoleana [emoji2960]
Ungekua unajua maana ya neno "maadili/ethics" ndio ungeelewaSas
kwahiyo mkuu, mtu akiwa anadai haki yake anakua amekosa maadili? Amesema wameandika sana barua lakini hakuna majibu, wangefanya nini sasa?
Kwa hili tungetumia busara kidg[emoji23]Hichi kitu kikibwa kuliko wengi wanavyofikiri kwa uchache 1.Serikalo.kuingilia mpira ni kinyume cha taratibu za FIFA 2.Pesa ya wadhamini haifiki kwa walengwa 3.Sheria hazifuatwi bali busara
Vyote ulivyoongea hapo anaongoza mama yako nafuata mimi na ukiona nafaidi njoo unisaidieKadange *** wewe, hapo kusini na mashavu vyeusii,kusuguliwa na dhakari kila aina miksa magovi, nywele kisogoni huna kisa kulazwa chali mchana kutwa usiku kucha
Kuna nyuzi nyingi nyingi zimeyataja mkuuNi matakwa gani hayo mtujuze na sisi tusioyajua
Nikiwaza washawahi kugoma kucheza mechi na hawakufanywa chochote hapana wanadeka sana YangaCha kushangaza walishashindwa madai yao CAS ambayo ni mamlaka ya juu ya uamuzi..sasa kilasiku wanakuja na madai mapya tena madai ya kushindana na mamlaka.Wenzao Simba tangu sakata limeanza wametulia kimya ila Yanga wameshatoa "press release" zaidi ya kumi😂😂. Tunajiuliza katika timu zote 16 zinazoshiriki ligi kuu yaani eti itokee timu moja ianze kutoa amri kwa mamlaka za soka ....wakati ligi inaanza walisaini sheria na taratibu za kuheshimu mamlaka.
Mwafrika ni nyani aliyechangamkaHii kitu lazima mmoja hapo akubali kuumia, kama sio yanga Bali hao tff, maana naona wameamua kuonyeshana ubabe.....
Cha ajabu Simba ndo alianzisha huu upuuzi yeye sa hivi yupo kando kama hamna kitu vile
Hawa Yanga wanadeka mno utafikiri ni watoto wa kikeNapenda kuwajuza waandishi wa Habari, yasipofanyiwa kazi matakwa yetu matatu kwa uharaka, Young Africans SC hatutakuwa tayari kucheza mchezo namba 184, mechi zote mbili za Ligi zilizobaki na hatutashiri Ligi Kuu Msimu ujao.
Huu ndio msimamo wetu na hatutayumba kwa lolote lile”. Ally Kamwe - Meneja Habari na Mawasiliano Yanga SC.
#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko
NB Yanga Kwa hili ni too much .hata kama ungekua wewe baba uambiwe na mtoto wako uondoke ( ustaafu) utakubali ??
TFF wameshajifunza walikosea ....tufunike kombe .... tuendeleeee mbeleView attachment 3362388
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Piga mswaki ukalambe katikati ya makalio ya danga usiku huu,kumbuka kutibu minyooVyote ulivyoongea hapo anaongoza mama yako nafuata mimi na ukiona nafaidi njoo unisaidie
Ndo hivyo... haiwezekani mkuu...Simba na Yanga ni mifupa migumuIfike wakati nao TFF na bodi ya ligi waache kuendekeza hao wapumbavu. Hivi ingekuwa ni mtibwa sugar au mbeya city ndio inaleta huo ujinga ujinga mpaka Leo ingekuwa haijatoa mwamuzi?.
Mimi ni Yanga lakini wanachofanya viongozi wetu siafiki hata kidogo. Hata tukipewa ubingwa Kwa point za mezani siwezi kumsikia Raha yeyote.
TFF fungua uongozi wote wa Yanga na wakikataa kucheza shusha daraja ili tukae huko championship walau mwaka ndio tutajifunza mambo ya mpira. Huu upumbavu wa kuleta siasa za kiboya sipendi kabisa, kama timu yetu inauwezo unaogopa nini kumpeleka uwanjani????
Stupid
Inawezekana pia ngoja tuone
Unataka unisaidie kuramba? Haya njoo si unaona nafaidi njoo shoga angu!! Safisha vizuri bwana wetu asikutane na uchafu, sawa?Piga mswaki ukalambe katikati ya makalio ya danga usiku huu,kumbuka kutibu minyoo
Kadange, mpira achana naoUnataka unisaidie kuramba? Haya njoo si unaona nafaidi njoo shoga angu!! Safisha vizuri bwana wetu asikutane na uchafu, sawa?
Ni hatari mkuuHawa Yanga wanadeka mno utafikiri ni watoto wa kike
Mkuu sasa nipitie nyuzi moja moja kutafuta..kama unayajua si uyataje tu kwa kifupi.
Mwana FA ni Simba hawezi kutoa order mageti yasifunguliwe ili simba isifanye mazoezi. Huyo atakuwa waziri ambaye ni shabiki wa Yanga na ni MwiguluHuyohuyo
Kadange, mpira achana naomb
Nimesema safisha umletee huyu Mwanaume wa shoka hayo matacore yako, si unaona mimi nafaidi kudanga😂😂😂😂Kadange, mpira achana nao