Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,593
- 46,759
Wanatafuta jepesi zaidi linalotekelezeka.Hawa jamaa nilikuwa naona wana point ila sasa wanatoka nje ya mstari.
Wao wangebakia na ile ile ishu yao ya awali...hatuchezi mpaka sababu muhimu ya mchezobuliopangwa kutofanyika iwekwe wazi.
Kesho watakuja na jipya tena, hii game ipo ni vile hawawezi kutoka kikaoni na hapohapo wakasema watacheza, kupunguza aibu basi watapanga tarehe nyingine na matakwa yao yatatimizwa kawa hata 70% kuuhadaa umma.