redio
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 6,458
- 14,183
Yule aliyepiga simu Sasa kasha watosa bodi ndio maana Bodi wameona wa msanue hadharani maana jumba bovu lime waangukia.
Kabudi naye alipo pewa taarifa na bodi kuwa Kiongozi mkubwa Serikali ndie chanzo cha yote ayo kaamua atumie Busara ya kuachana nalo ilo swala maana boss wake ndio muhisika mkuu.