Mtafanya nini?Kama hao TFF ni wakubwa wajarubu kukata hata nusu point ya Yanga waone
Mtafanya nini?Kama hao TFF ni wakubwa wajarubu kukata hata nusu point ya Yanga waone
MwiguluMwana FA
Sikutegea kuona kumbe na wewe ni mwehuMatakwa yapi waweke hadharani...
Hizo zote ni porojo za ponjoro...
Yani aibuuuu mpk basii hahahahah
Nishakwambia mbumbumbu utaijua nguvu ya YangaTuliza kiwewe zuzu pori wee....hivi mnawaona Simba wametulia unawachukulia poa ee...eti kwa tarehe mtakayoamua nyie sheeiznyyyy taipu....sasa ndo mtajua nguvu ya Nguvu moja.
Mwigulu...michezo ya uto hyo..ndo mseme nani aliwatuma hao mabaunsa...hyo ya wachezaji mtajua wenyeweHuo mchezo wa simba, maana simba wachezaji tegemeo walikua majeruhi,so mwana fa simba damu akahusishwa kwenye mpango
Hamna nguvu mmebakiwa na mate tuu ya kutoka mkiwa mnasema hatuchedhiiiNishakwambia mbumbumbu utaijua nguvu ya Yanga
Ngoja Sasa tusafishe pale TFF na bodi ya ligi yenu
Baada ya hapo ndo tuje kuwafunga Kwa tarehe tutakayoamua sisi
Hiyo tarehe 15 June hakuna mechi
Waziri wa fedha hawezi kufanya huo upuuziMwigulu
Hukutegemea kwani tuliahidiana?Sikutegea kuona kumbe na wewe ni mwehu
Ila mkeo anaweza...Waziri wa fedha hawezi kufanya huo upuuzi
Tusafishe hiyo Bodi ya ligi na shoga yenu Karia, baada ya hapo TUTACHEZAHamna nguvu mmebakiwa na mate tuu ya kutoka mkiwa mnasema hatuchedhiii
Zuzu we
Mtacheza na mashoga zenu SBSTusafishe hiyo Bodi ya ligi na shoga yenu Karia, baada ya hapo TUTACHEZA
Nani alikwambia mke wangu ni kiongozi serikalini?Ila mkeo anaweza...
Wewe huna hojaLabda kubwa jinga, kama Yanga ni kubwa kuliko TFF kwanini inacheza ligi ya TFF si ianzishe yake ya GSM
TUTACHEZA ili tuwafunge vizuri 5imba mara ya 5 mfululizoMtacheza na mashoga zenu SBS
Tuache tucheze na pacha wetu kwani dhambi??Mtacheza na mashoga zenu SBS
Wewe huna hoja
Aje mwingine....
Umeniandama ndugu yangu ubuyu ubwela ... unataka mechi una timu??Kusema yanga ni kubwa kuliko TFF ni akili za bangi
We unayo wakati unakimbia mechiUmeniandama ndugu yangu ubuyu ubwela ... unataka mechi una timu??
Ndo atawajibika mwaka huu
Simba amekuwa mpenzi mtazamajiHii kitu lazima mmoja hapo akubali kuumia, kama sio yanga Bali hao tff, maana naona wameamua kuonyeshana ubabe.....
Cha ajabu Simba ndo alianzisha huu upuuzi yeye sa hivi yupo kando kama hamna kitu vile