Veteran Sailor
JF-Expert Member
- May 28, 2025
- 2,042
- 4,416
Me hata uniamshe asubuhi mbungi inapigwaWe unayo wakati unakimbia mechi
Me hata uniamshe asubuhi mbungi inapigwaWe unayo wakati unakimbia mechi
We mama kuna muda unatakiwa ufiche uchi wa akili yako mbele za watu. Hizi comments zako zinafunua sana tupu ya kichwa chako. Unaweza thibitisha kuwa wale mabanda ni wa Yanga? Je una mkataba wa ajira kati ya Yanga na hao Mabaunsa?Kwahyo huyo kiongozi alietoa ujumbe geti lisifunguliwe ni wa nyuma mwiko? Maana aliwaandaa na mabaunsa kabisa wakae mkao wa zuia zuia
Dunia hii haipo fair kabisa. Kuna ng'ombe moja inasema hapa ana mke na amezaa naye watoto kabisa.Sikutegea kuona kumbe na wewe ni mwehu
Tatizo hawa wakubwa huwa hawatajwi kabisaKumbe kuna mkubwa serikalini alipiga simu kuchangia yaliyotokea na zigo kaangushiwa bodi ya ligi, na walioipigia simu wame mute🙌🙌🙌🤣
Kimsingi hakuna mwanamke mwenye heshima zake anashangilia mpira. Haya ni Manyang'au tu.Nyi wengine nafikiri mngeendelea kudanga tu, mpira waachieni wenyewe
Wewe ficha makalio yako mwehu ww tusipangiane cha kuongea..We mama kuna muda unatakiwa ufiche uchi wa akili yako mbele za watu. Hizi comments zako zinafunua sana tupu ya kichwa chako. Unaweza thibitisha kuwa wale mabanda ni wa Yanga? Je una mkataba wa ajira kati ya Yanga na hao Mabaunsa?
Inasikitisha sana. Yaani kuna ling'ombe limoja linasema hapa ana mke na amezaa naye watoto 4.
Inasikitisha sana. 😁😁😁😄
Ni hatariSimple tu,sijui hawana kazi nyingine!!
Nyie utopolo hamuwezi nitoa humu hata mje na greda wehu hyieDunia hii haipo fair kabisa. Kuna ng'ombe moja inasema hapa ana mke na amezaa naye watoto kabisa.
Na inawezekana mkuuYanga wahamie zenji mwakani
Halafu mbona wivu sana unataka huyo ngo'mbe akuoe wewe ngo'mbe jike?Kimsingi hakuna mwanamke mwenye heshima zake anashangilia mpira. Haya ni Manyang'au tu.
Nakuona msukuma ajendaNapenda kuwajuza waandishi wa Habari, yasipofanyiwa kazi matakwa yetu matatu kwa uharaka, Young Africans SC hatutakuwa tayari kucheza mchezo namba 184, mechi zote mbili za Ligi zilizobaki na hatutashiri Ligi Kuu Msimu ujao.
Huu ndio msimamo wetu na hatutayumba kwa lolote lile”. Ally Kamwe - Meneja Habari na Mawasiliano Yanga SC.
#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko
NB Yanga Kwa hili ni too much .hata kama ungekua wewe baba uambiwe na mtoto wako uondoke ( ustaafu) utakubali ??
TFF wameshajifunza walikosea ....tufunike kombe .... tuendeleeee mbeleView attachment 3362388
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Ndo hivyo mkuu.... lawama ni Kwa TFFWaziri wa michezo alipiga simu uwanja usifunguliwe,meneja wa uwanja ni muajiriwa wa wizara ya michezo, maana yake mpango wa simba kugomea mechi ulihusisha wengi
Noma sanaHaoo haooo haooo haooo....mnajitekenya na kujicheka...
Msyuuu hatuchedhiii mpk mitisheti
Ngoma nzitoKazeni hapo hapo kuna kitu kuhusu ukubwa wa timu tunataka kuona.
Ila haya makolo yamebarikiwa midomo aseeNasema hv kama bodi ya ligi Kwa linaloendelea kama wanampango wa kujiuzulu hawana haja hiyo wawakazie Hawa mwiko Nyuma mpaka mwisho tuone kiburi wanakipata wapi
Uzuri wa politicians....kikinuka wanarudi mstari wa nyumaKumbe kuna mkubwa serikalini alipiga simu kuchangia yaliyotokea na zigo kaangushiwa bodi ya ligi, na walioipigia simu wame mute[emoji119][emoji119][emoji119][emoji1787]
Mambo siyo simple unavyodhaniNatamani wanayotaka yasifanyiwe kazi ili wasicheze hiyo mwakani, wanataka kuiendesha Mamlaka mwanzo walikua na pointi ila sasa hivi wanaleta ujuaji
Noma mkuuNasema hv kama bodi ya ligi Kwa linaloendelea kama wanampango wa kujiuzulu hawana haja hiyo wawakazie Hawa mwiko Nyuma mpaka mwisho tuone kiburi wanakipata wapi
Sio rahisi mzeeHawa kenge wasitupotezee muda, acha wasuse kanuni itajulikana