Duuuuh! hawa Yanga Sasa too much haya matakwa yao hayatekelezeki

Duuuuh! hawa Yanga Sasa too much haya matakwa yao hayatekelezeki

Ungekua unajua maana ya neno "maadili/ethics" ndio ungeelewa
Nayafahamu vizuri mkuu, lakini hilo sio suala la maadili, ni watanzania tu tunajifichia kichaka hiko kukwepa kutoa haki ya mtu, kama ni maadili wangeanza wao kulipa gharama za mshindi
 
Yanga hajashindwa kesi halafu mbona mnaongea vitu ambavyo hamvijui asee muwe mnauliza muambiwe
 
Napenda kuwajuza waandishi wa Habari, yasipofanyiwa kazi matakwa yetu matatu kwa uharaka, Young Africans SC hatutakuwa tayari kucheza mchezo namba 184, mechi zote mbili za Ligi zilizobaki na hatutashiri Ligi Kuu Msimu ujao.

Huu ndio msimamo wetu na hatutayumba kwa lolote lile”. Ally Kamwe - Meneja Habari na Mawasiliano Yanga SC.

#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko

NB Yanga Kwa hili ni too much .hata kama ungekua wewe baba uambiwe na mtoto wako uondoke ( ustaafu) utakubali ??

TFF wameshajifunza walikosea ....tufunike kombe .... tuendeleeee mbeleView attachment 3362388

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kujiuzulu mtu hautekelezeki kivipi?
 
Hii kitu lazima mmoja hapo akubali kuumia, kama sio yanga Bali hao tff, maana naona wameamua kuonyeshana ubabe.....


Cha ajabu Simba ndo alianzisha huu upuuzi yeye sa hivi yupo kando kama hamna kitu vile
Simba ina Viongozi wenye akili sana kuhusu masuala ya figisu, Simba walitengeneza mtego wao na Yanga wakaingia pamoja na Bodi ya Ligi. Baada ya hapo Simba wakatulia zao sasa wamekaa kando wanachochea ugomvi kama hawakuhusika.😃😃
 
Kiburi Kimekuwa kikubwa sana yanga ana agenda gani ya pembeni?
Hii issue ya kuexpose kuwa hawajawa paid na crdb mwaka jana baada ya kutwaa ubigwa ilipaswa uwe publiced kwa sasa?

Young hakuna mtu mkubwa kuliko mamlaka ya nchi tambua fika licha ya kutoa burudani na furaha kwa umma bado mna jukumu la kuprotect interest za michezo kwa taifa hii mnacho demand kwa ngebe nyingi ni Ujuha mlifanya ivo Feisal toto mpaka Mamlaka kufanya intervention
Unaficha ili iweje? Nina uhakika CRDB kishalipa na ninauhakika CRDB lazima atalizungimzia hili sababu limemuharibia brand yake hatokubali. Huu uhuni ,sasa kama Yanga hajalipwa, ushajiuliza mchezaji bora wa hii michuano nae amelipwa? Vipi kuhusu mfungaji bora? Unaweza kuchukulia poa ila unaweza ukakuta nao wamekopwa.

Unapo sema hamna mtu kubwa kuliko mamlaka ina maana hata wakikosea ni sawa? Si ndio maana yake............ ila si shangai ngozi nyeusi na uwaibikaji ni vitu viwili tofauti, kwenye hoja wanaingiza ubabe,ila kwa wenzetu rangi nyeupe swala kama hili wanajiuzilu na kukaa pembeni. Yanga ni kubwa kuliko hizo Mamlaka na hata hao walio gomea April 8,hamna kifungu kinacho sema timu ikishindwa kufanya mazoezi igomee mechi, bali walitumia ukubwa wao. Ligi ya bongo ni timu hizi mbili za Kkoo, hizi ndizo zinaingiza hela na hata hao TFF na bodi ya ligi bila timu hizi mbili kungekuwa hamna ulaji. Azam kaingiza zaidi ya Bil 225,sababu ni timu hizi mbili bila hawa hamna biashara.

Tatizo la mpira wa bongo unaongozwa na hekima na busara na kusahau kanuni, ila mechi ya April nane kwa wanao jielewa na wanaojua mpira nchi za mbele,mechi ingechezwa na baada ya mechi uchunguzi ungefanyika then adhabu ingefuatia.
 
Nayafahamu vizuri mkuu, lakini hilo sio suala la maadili, ni watanzania tu tunajifichia kichaka hiko kukwepa kutoa haki ya mtu, kama ni maadili wangeanza wao kulipa gharama za mshindi
Kanuni za Maadili huwa zinasainiwa na wadau wote kabla ya msimu wa Ligi kuanza...Kanuni mojawapo ya kimaadili ni kutunza siri za taasisi. .Ndiomana TFF kuna Kamati ya Maadili ukifanya kosa la kimaadili unapelekwa Kamati ya Maadili
 
Sasa kufanya izo accusations public huoni ina damage reputation ya bank? au Yanga amekuwa paid kufanya ivo?
Kama ameshandika Barua kwa Wahusika kwanini akimbilie public kuja kueleza ilo swala hajui crdb ni nfanya Biashara na hulinda image yake na reputation yake Sokoni?

Tukisema yanga anatumika
Sasa nani kadamage brand? Wakati kweli hawajapewa, yaani unaidai kampuni vielelezo ya kudai hiyo kampuni unayo, ila hawakupi hela yako pamoja na kuattemp mara nyingi, hivi ukitafuta haki yako kuna makosa? Huu ujinga, haya mnasema Yanga wanatumika, ila kwa mpira wa bongo ulivyo unaweza ukakuta mgungaji na mchezaji bora wa CRDB mpaka sasa hawajapewa hela yao?
 
Ifike wakati nao TFF na bodi ya ligi waache kuendekeza hao wapumbavu. Hivi ingekuwa ni mtibwa sugar au mbeya city ndio inaleta huo ujinga ujinga mpaka Leo ingekuwa haijatoa mwamuzi?.
Mimi ni Yanga lakini wanachofanya viongozi wetu siafiki hata kidogo. Hata tukipewa ubingwa Kwa point za mezani siwezi kumsikia Raha yeyote.
TFF fungua uongozi wote wa Yanga na wakikataa kucheza shusha daraja ili tukae huko championship walau mwaka ndio tutajifunza mambo ya mpira. Huu upumbavu wa kuleta siasa za kiboya sipendi kabisa, kama timu yetu inauwezo unaogopa nini kumpeleka uwanjani????
Stupid
Umeandika pumba tupu pia usitufokee. Kwanini usemayo yasingetokea tsrehe 8? Kwanini unakwepa kuongelea chanzo cha tatizo?

Sawa unasemaje kuhusu tarehe 8 bosi?
 
Dogo Kamwe amekuwa mjinga sana ila aliyo ongea kwa hio press yatakuwa na baraka na Uongozi wa yanga sema tu watu kama Hersi wanaogopa kuja front kuyasema kwa sababu ya kulinda political interest zao mana lipakuja swala la simba na yanga ni zaidi ya michezo kitaifa kuna unit inatokea pia watani hao wakutanapo

Wewe acha wacheze tu sarakasi zao za Kijinga
The Gov is watching them very closely
Kamwe ni afisa wa habari kazi yake ni kuwasilisha habari za Yanga,yy amepewa kwenda kuambia umma wa Yanga? Hersi yy yupo Havard short Training, hii nafasi kapewa na FIFA na baada ya hapo unaunganisha mualiko mwengine wa FIFA wa kushiriki kwenye uzinduzi wa michuano ya Club za FIFA,anacho kiongea Kamwe ndicho kilicho jadiliwa na bodi ya ligi kikiongozwa na Hersi.

Afisa wa habari akiongea ni msimamo wa club. Hata yule aliye piga mkwala kule Zanzibar kwamba hasiye husika asisogelee watamfanya kitu kibaya ,ile ni msimamo wa club sio wa msemaji na ndio maana hata bbadhi ya mashabiki wa Yanga walipigwa. Hata aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa club nae akaja kurudia yale yale aliye sema Ahmed Abdallah,ila hamna aliye mchukulia hatua, sababu kauli ile sio ya kiuwana michezo na ina hamasisha vurugu.
 
Nasema hv kama bodi ya ligi Kwa linaloendelea kama wanampango wa kujiuzulu hawana haja hiyo wawakazie Hawa mwiko Nyuma mpaka mwisho tuone kiburi wanakipata wapi
Huo mwiko lazima tuuvunje
Police watembeze kipigo cha mbwa koko
 
Bodi ya ligi isijichanganye, maana ikijichanganya tu ndio Simba watawatoa pangoni, na uzuri wake simba ina watu wenye elimu nina hakika watateseka, wapambane na hao utopolo wao
 
Hii kitu lazima mmoja hapo akubali kuumia, kama sio yanga Bali hao tff, maana naona wameamua kuonyeshana ubabe.....


Cha ajabu Simba ndo alianzisha huu upuuzi yeye sa hivi yupo kando kama hamna kitu vile
Viongozi wa yanga Wana utoto mwingi sana
 
Hii kitu lazima mmoja hapo akubali kuumia, kama sio yanga Bali hao tff, maana naona wameamua kuonyeshana ubabe.....


Cha ajabu Simba ndo alianzisha huu upuuzi yeye sa hivi yupo kando kama hamna kitu vile
Ukiwa umenyooka huna presha..
 
Sasa kufanya izo accusations public huoni ina damage reputation ya bank? au Yanga amekuwa paid kufanya ivo?
Kama ameshandika Barua kwa Wahusika kwanini akimbilie public kuja kueleza ilo swala hajui crdb ni nfanya Biashara na hulinda image yake na reputation yake Sokoni?

Tukisema yanga anatumika
Alipe PESA ndio mwisho wa hilo, vinginevyo Yanga wako sahihi 100%
 
Back
Top Bottom