Katibu wa TFF ajiuzuluHayo matako yenyewe ndo yapi?
Mimi Yanga lkn hii haitekelezeki
Simba Hana kosa ....aliwauzia bomu TPLBHii kitu lazima mmoja hapo akubali kuumia, kama sio yanga Bali hao tff, maana naona wameamua kuonyeshana ubabe.....
Cha ajabu Simba ndo alianzisha huu upuuzi yeye sa hivi yupo kando kama hamna kitu vile
Kibongo bongo ni ngumu mtu kuwajibikaMimi Yanga lkn hii haitekelezeki
Yanga wahamie zenji mwakani
Waziri wa michezo alipiga simu uwanja usifunguliwe,meneja wa uwanja ni muajiriwa wa wizara ya michezo, maana yake mpango wa simba kugomea mechi ulihusisha wengi
Kumbe kuna mkubwa serikalini alipiga simu kuchangia yaliyotokea na zigo kaangushiwa bodi ya ligi, na walioipigia simu wame mute🙌🙌🙌🤣Napenda kuwajuza waandishi wa Habari, yasipofanyiwa kazi matakwa yetu matatu kwa uharaka, Young Africans SC hatutakuwa tayari kucheza mchezo namba 184, mechi zote mbili za Ligi zilizobaki na hatutashiri Ligi Kuu Msimu ujao.
Huu ndio msimamo wetu na hatutayumba kwa lolote lile”. Ally Kamwe - Meneja Habari na Mawasiliano Yanga SC.
#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko
NB Yanga Kwa hili ni too much .hata kama ungekua wewe baba uambiwe na mtoto wako uondoke ( ustaafu) utakubali ??
TFF wameshajifunza walikosea ....tufunike kombe .... tuendeleeee mbeleView attachment 3362388
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Nahisi atakua naibu waziri wa michezo huyo maana ni simba yuleWaziri wa michezo alipiga simu uwanja usifunguliwe,meneja wa uwanja ni muajiriwa wa wizara ya michezo, maana yake mpango wa simba kugomea mechi ulihusisha wengi
Mrembo unawewesekaHaoo haooo haooo haooo....mnajitekenya na kujicheka...
Msyuuu hatuchedhiii mpk mitisheti
Natafuta kicheko cha DarbyMrembo unaweweseka