Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
mngesema unit moja ni lita ngapi mngekuwa wa maana sana kwa watu hapa jf maana nyuzi zinafunguliwa dhaifu azijiyoshelezi hadi mtu atafute vyanzo vingine vya habari .Ooh basi ukija Dar utawalalamikia Dawasa pia na kuwaona Duwasa wana afadhali maana huku unit moja ni sh. 1679.63