DUWASA-Dodoma punguzeni bei ya maji

Ooh basi ukija Dar utawalalamikia Dawasa pia na kuwaona Duwasa wana afadhali maana huku unit moja ni sh. 1679.63
mngesema unit moja ni lita ngapi mngekuwa wa maana sana kwa watu hapa jf maana nyuzi zinafunguliwa dhaifu azijiyoshelezi hadi mtu atafute vyanzo vingine vya habari .
 
mngesema unit moja ni oita ngapi mngekuwa wa maana sana kwa watu hapa jf maana nyuzi zinafunguliwa dhaifu azijiyoshelezi hadi mtu atafute vyanzo vingine vya habari .
Unaonekana mdogo sana,Lita hazipimwi kwa vipimo vya dukani,acha utani kwa mambo Muhimu!
 
Sasa si mmwagilie Mashamba kama cost ni fixed @ 3500 ? Au hiyo ni service charge inakua ontop ya unit ulizotumia ?
Hujafika huko!Watumishi wakikaa huko,hawataki kuhamia!Wengi wanastaafu na kufia huko.
 
Unit moja ni litre 1000, kama sitakuwa sahihi nipo tayari kurekebishwa
Mimi najua ila mleta uzi alitakiwa kutoa ufafanuzi kabla ya lawama ...hizo ni ndoo 50 za lita 20 kila moja ni bei ndogo sana mitaani maji ya watu binafsi yanauzwa ndoo moja sh100 ukizidisha kwa 50 ni sh 5000 wakati serikali inauza maji kwa hiyo sh1600 au 1700
 
Sijatoa lawama,ni maoni yangu,namba heshimu Uhuru wa mtu kuongea,unachoona kwako Kiko sawa,mwingine haoni hivyo mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…