DUWASA-Dodoma punguzeni bei ya maji

Tumia akili ...nilikuwa nashauri jinsi ya kuleta nyuzi za takwimu ni lazima uelezee vizuri la sivyo uzi unakosa mantiki ...
Ungenijua hata usingeniambia hayo,Huenda Mimi ndio nilimshauri mama Yako asikutoe mimba Yako,ndio haya unayonifanyia!
 
mngesema unit moja ni lita ngapi mngekuwa wa maana sana kwa watu hapa jf maana nyuzi zinafunguliwa dhaifu azijiyoshelezi hadi mtu atafute vyanzo vingine vya habari .
Lita 1000 shs 1525
 
Tumia akili ...nilikuwa nashauri jinsi ya kuleta nyuzi za takwimu ni lazima uelezee vizuri la sivyo uzi unakosa mantiki ...
Usipende sana,kujiona Bora kuliko unawafikiria,jishushe Mkuu katika maisha,mengine Wacha yapite.
 
Unazo kwa Sasa,hata jamaa Mmoja akiwa kijana akisema pension ya mwezi inatosha sana,alipostaafu, Sasa hivi analalamika ndogo! Ndivyo tulivyo Binadamu mpaka yakukute!
Tstizo lake huyo ni akili siyo udogo wa pension...wafanya kazi wengi wa serikali wana akili finyu .
 
Mimi Kwa kuwa maji ni uhai flate rate,ingependeza hata iwe elfu kumi(10'000)!
Duuh wewe ndiyo unataka kuleta malalamiko zaidi maana watu hawana matumizi sawa kuna watu per month matumizi yake hayazidi unit tano ambayo hayafiki 7,000+ sasa kumtaka alipe buku tatu ya ziada ambayo hatumii ni kumuonea au wengine matumizi yao ni zaidi ya hiyo bei ni kuipa hasara mamlaka za maji
Kulipa kulingana na matumizi ni option nzuri
 
Tumia akili ...nilikuwa nashauri jinsi ya kuleta nyuzi za takwimu ni lazima uelezee vizuri la sivyo uzi unakosa mantiki ...
Pia wengine tuko kama hatupo,
Hapana mkuu sio malalamiko zaidi,Ifikie mahali maji yatolewe Bure,si uhai?!!Kama nchi zilizoendelea ,zinawalipa wasio na ajira kwa kujikimu!Maji na sisi si yatolewe Bure,ndio wazo langu,hapo je?
 
Kila mtu ni Bora kwa upande wake Hilo lazima ulijue!
Kuna jukwaa la dharau,Huenda likaanzishwa,changamkia fursa,pia Hawa waanzilishi wa jamii Forum,Wana Akili sana! Maana tungetifuana sana kwa kuweka idd fake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…