DUWASA-Dodoma punguzeni bei ya maji

Umeongea vyema, Sasa bila kulalamika,huu ushauri wako mzuri,ningeupata wapi?JF Safi kabisa!
 
Flat rate inakuwa ngumu kwa sababu kuna mikoa mingine vyanzo vya maji ni shida kama hapo Dodoma nk
Kuna ule mradi wa kuvuta maji toka ziwa Victoria na kuyaleta kwenye station ya kusafisha hapo Dodoma then usambazaji uendelee, magufuri alishaanzisha mchakato wake sijui iliishia wapi.
 
Kuna ule mradi wa kuvuta maji toka ziwa Victoria na kuyaleta kwenye station ya kusafisha hapo Dodoma then usambazaji uendelee, magufuri alishaanzisha mchakato wake sijui iliishia wapi.
Bado Upo Mkuu.
 
Huyu ndiyo wale wapumbavu wanao sema bora unitukanie baba yangu kuliko mama yangu 😁😁😁😁😁😁
Sawa Anduje,jifurahishe ndio maisha,uliyochagua kwa umri wako!
 
Nimeona hapa,Shida yetu Watanzania ni kiangalia upande wetu tuu!Hoja hapo juu ilikuwa umuhimu wa Maji na Bei zake,wachangiaji Wengi wanaona ni sahihi na kutoleta mifano ya watu,wanaonunua ndio Moja kwa shs500,kama vile hao watu wanafurahia Hali hiyo!Kumbuka kwamba wanaonunua hivyo kwa Sababu ilieile Maji ni Uhai Ndio maana hata Wabunge wetu huongea watakavyo bungeni na kupitisha maamuzi bila kuwashirikisha wananchi! Wananchi wakija kuyashtukia,tayari yameshakuwa Sheria!
 
Haa Sasa Hivi Ukiwa Na Kisima Hawa Hapa Wanataka Kodi
Ukumbuke Mwananchi Anajipambania Apate Japo Maji Hata Ya Kupilkia
 
Huko Kahama nilikuta wao ni sh 2089 unit Moja , eeh yote MAISHA.
Duuh maji kama maji, serikali ilitazame itoe Bure Ili nchi watu walime hata kilimo Cha umwagiliaji,Ili nchi iwe na ziada hata kuuza nje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…