DV-2023 program ( bahati nasibu ya kuhamia U.S.A.) inaanza rasmi kuchezwa tarehe 6/10/2021

DV-2023 program ( bahati nasibu ya kuhamia U.S.A.) inaanza rasmi kuchezwa tarehe 6/10/2021

Ata wachina wana cheza lottery wakaishi marekani.

Wachina wanaokuja Tz hawana nia ya kuishi huku.Ni kuja chuma tu
Hivyo hivyo, tuwachezeshe lottery, watakaoshinda ndio waje kuchuma, au huko Marekani unaenda kufanya nini kama sio kuchuma? Na pia, kuna kijiji huko kinaweza kunipa walau ekari 30 nikafanya ujasiriamali kama ilivyo huku Tz?
 
Hakuna haja.Wanaingia kama wanavyoingia chooni
 
TAARIFA MPYA

DV-2023 PROGRAM
INAANZA RASMI KUCHEZWA TAREHE 6/10/2021,
MWISHO NI TAREHE 9/11/2021.

JIANDAE MAPEMA NA CHEZA MAPEMA.

HAISHAURIWI KUSUBIRIA TAREHE ZA MWISHONI.

KWA MASWALI AU MSAADA/ USHAURI BURE NIPIGIE SIMU WAKATI WOWOTE.

ANGALIZO:
IWAPO UTANIHITAJI KWA MAJADILIANO/KUKUTANA ANA KWA ANA NAMI AU KUCHEZEWA/KUJAZIWA FOMU KWENYE MTANDAO,
ITAKUGHARIMU WEWE KUFIDIA MUDA WANGU,- KIUNGWANA.

SIMU/WHATSAPP: +255 714 59 15 48.
Ni vitu gani muhimu kuwa navyo kabla ya ku apply?
 
Hivyo hivyo, tuwachezeshe lottery, watakaoshinda ndio waje kuchuma, au huko Marekani unaenda kufanya nini kama sio kuchuma? Na pia, kuna kijiji huko kinaweza kunipa walau ekari 30 nikafanya ujasiriamali kama ilivyo huku Tz?
Usikazanie kulima ukajipa moyo kwamba hawalimi kuna watanzania wapo marekani wanalima mazao kama mahindi,maharage,nyanya,viazi ni uwezo wako wa kulipia ardhi tu...niliona jamaa flani watanzania wanalima huko marekani...sasa unakazana ekari 20...nenda US ukaombe utapewa ulime mzungu hana nongwa kwenye maendeleo.
 
Shughuli za kiuchumi kwako ni kilimo tu? Na gharama zake ni affordable kama huku unapopewa na kijiji? Sasa kwanini uache ekari 20 za Tz ukabahatishe za USA, tuelimshwe tafadhali..
 
Ni vitu gani muhimu kuwa navyo kabla ya ku apply?
1. Uwe na vigezo hitajika:
-Elimu angalau ya kidato cha Nne Au uzoefu usiopungua miaka mitano katika moja ya kazi zilizoorodheshwa na Idara ya kazi ya Marekani, kazi hiyo shurti iwe umeisomea angalau miaka miwili (Darasani) sio online.

2. Uraia wa Tanzania au uraia wa Nchi mojawapo liyoorozeshwa kushiriki.

3. Taarifa za Hati hai ya kusafiria.

4.Picha ya kidigitali kwa muombaji mkuu.

Ukicheza mwenyewe ni bure.

Iwapo ni mgeni kwenye swala hili nakushauri usome maelekezo yake mtandaoni ili uelewe kwanza kwani mambo ni mengi madogomadogo lakini wanayatilia umuhimu na ukivuruga mwanzo itakugharimu.

Ukihitaji msaada,
Nitakuchezea Mimi ila utafidia muda wangu: +255714591548
 
Tanzania ilitolewa katika hiyo bahati nasibu mkuu.Hatupo tena
Vyanzo vyako vya taarifa ni 'fyongo'.

Kwa taarifa yao;
Watu wanaondoka kila siku
(Hivi ninavyoandika)

Haijawahi kufutwa,
Iliwahi kusitishwa na ilikuwa kwa muda mfupi tu.

Fahamu;
Hii program ipo na itaendelea kuwepo kwa muda mrefu ujao.
Iliwekwa na Bunge na ili ifutwe shurti ipite hukohuko Bungeni.
 
Ndio tuiweke hiyo haja sasa, na je, huko USA kuna kijiji kinaweza kunipa walau ekari 20 tu nikajimwambafai kwa shughuli za kiuchumi kama ilivyo huku Tz?
Kama ni killimo nenda Mkuranga ukalime.
Kule watu wanafata elimu na fursa za ajira
Vyanzo vyako vya taarifa ni 'fyongo'.

Kwa taarifa yao;
Watu wanaondoka kila siku
(Hivi ninavyoandika)

Haijawahi kufutwa,
Iliwahi kusitishwa na ilikuwa kwa muda mfupi tu.

Fahamu;
Hii program ipo na itaendelea kuwepo kwa muda mrefu ujao.
Iliwekwa na Bunge na ili ifutwe shurti ipite hukohuko Bungeni.
Sasa mimi nataka kuondoka bongo.Nishachoshwa na jero za bongo.Naondokaje mkuu nikale bata ulaya ?
 
Kama ni killimo nenda Mkuranga ukalime.
Kule watu wanafata elimu na fursa za ajira

Sasa mimi nataka kuondoka bongo.Nishachoshwa na jero za bongo.Naondokaje mkuu nikale bata ulaya ?
Mimi nimeleta hoja ya DV ambayo ndio njia rahisi na isiyo na longolongo.
 
So mfano naweza pewa walau viekari 30 na kijiji chochote cha huko, nikafanya shughuli za kiuchumi kama ilivyo huku Tz? Na unaonaje waChina wanaokuja huku nao tukawachezesha lottery?
Ndiyo unaweza kupata hizo ekari ukalima mihogo yako.
 
Kwahiyo kuishi na kufanya kazi USA ni zawadi? Okay, huko naweza angalau nikapata eka 20 nilimelime hata mahindi kibiashara? Upatikanaji ardhi ya ukubwa huo ukoje huko?
Nini ekari ishirini?
Hata mia unaweza kupata.
Mi swala la uwezo wako wewe.
 
Back
Top Bottom