DV-2023 program ( bahati nasibu ya kuhamia U.S.A.) inaanza rasmi kuchezwa tarehe 6/10/2021

DV-2023 program ( bahati nasibu ya kuhamia U.S.A.) inaanza rasmi kuchezwa tarehe 6/10/2021

Cheza mwenyewe na ukishinda tusijuane nenda mwenyewe[emoji23][emoji23] hivi mambo mazuri ya buza kama dagaa na mihogo ya kwetu unataka kuhama kweli?
[emoji18] Babe sasa haya mambo gani. Kule US kuna chimbo zuri la dagaa kama za Buza.

Walahi hutojutia.
 
Hahaa Ntyuka Boy, kwahiyo unatuuzia kuhamia USA? Kama ni fursa why don't you be the first one to benefit from it? Ndiyo maana nilikuuliza wewe umeshahamia huko au umeshawahamishia ndugu zako huko au wenyewe hawataki? Kuwa makini kuuza uza vitu utauza na visivyouzika bruh😀
Kuna kitu unanitafuta wewe.
 
Wale wanaopenda kujielimisha zaidi kuhusu hii program,

Nitumie ujumbe WhatsApp nikutumie pdf file ya maelekezo ya kina katika Lugha ya Kiingereza.
 
Back
Top Bottom