DV-2023 program ( bahati nasibu ya kuhamia U.S.A.) inaanza rasmi kuchezwa tarehe 6/10/2021

DV-2023 program ( bahati nasibu ya kuhamia U.S.A.) inaanza rasmi kuchezwa tarehe 6/10/2021

Ninapokuuzia shamba kwenu Ntyuka Ina maana lazima niwe naishi Dodoma?

You should know better
Hahaa Ntyuka Boy, kwahiyo unatuuzia kuhamia USA? Kama ni fursa why don't you be the first one to benefit from it? Ndiyo maana nilikuuliza wewe umeshahamia huko au umeshawahamishia ndugu zako huko au wenyewe hawataki? Kuwa makini kuuza uza vitu utauza na visivyouzika bruh😀
 
Masuala ya George Floyd nani anayataka, yale manguruwe ya USA ni mabaguzi by nature, hata wakisema vinginevyo usiwaamini, polisi wa kule watakuua hata kwa kuoverspeed barabarani tu, kisa ni mweusi..

Kwahiyo wanaweka shillingi ngapi kwenye hiyo Visa card? Na what if mimi natumia Mastercard? Na kuna ulazima gani kwenda kuchukulia zawadi USA? Naomba ufafanuzi?
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
So mfano naweza pewa walau viekari 30 na kijiji chochote cha huko, nikafanya shughuli za kiuchumi kama ilivyo huku Tz? Na unaonaje waChina wanaokuja huku nao tukawachezesha lottery?
Ni janjajanja ya wazungu kuwapa shauku wa-Afrika ya kutaka kwenda kua manual labour kazi ambazo wao zinawashinda
 
Ni janjajanja ya wazungu kuwapa shauku wa-Afrika ya kutaka kwenda kua manual labour kazi ambazo wao zinawashinda
Na ni moja ya sababu black americans wakionyeshwa taarifa za Africa ni magonjwa, vita, njaa, umasikini kupindukia ndio vinaonyeshwa BBC na CNN ili waogope kuja kwenye chimbuko lao, wabaki utumwani daima, nawahurumia
 
Mkuu hizo kazi zinazowashinda sisi tunazitaka
Hata hapa bongo zipo, haziwezi kukushinda, labda uchague kazi. Jiungeni vikundi, mpewe ardhi mjinasue! Mambo ya kwenda kuolewa huko halafu mnarudi hamna mbele wala nyuma hatutaki
 
Back
Top Bottom