DV-2023 program ( bahati nasibu ya kuhamia U.S.A.) inaanza rasmi kuchezwa tarehe 6/10/2021

Sasa si ndio nataka nione ubahati wake, je , huko naweza pata eka walau 20 au 30 hivi nikafanya shughuli mbali mbali za kiuchumi kama ilivyo kwa Tanzania? Maana waChina wanakimbilia huku Tz pia, tuwachezeshe nao bahati nasibu?
Kule eneo la kilimo size ya chumba tu unavuna mazao zaidi ya kwenye hizo heka 30 zako unazolima huko mbingu!!!
 
Hoja ni 'Bahati nasibu' kama somo linavyosema.
Kama unayo hoja yako nyingine anzisha uzi wako sio ustaarabu kuvumia vamia yasiyokuhusu.

Naongea kama mpeta hoja/uzi.
Ndio tukauliza sasa, ni kwanini tuache ekari 20 za Tz ili tukabahatishe 20 za USA?

Naongea kama mchangia mada
 
Shughuli za kiuchumi kwako ni kilimo tu? Na gharama zake ni affordable kama huku unapopewa na kijiji? Sasa kwanini uache ekari 20 za Tz ukabahatishe za USA, tuelimshwe tafadhali..
Kwa hiyo hapa bongo kila mtu kapewa hekari 20 na kijiji ?
Kila mmoja ana uamuzi wa maisha yake kama wewe uamuzi ni kulima baki ulime usitake kila mtu aishi maisha yako.
 
Nimetolea mfano wa moja ya fursa kubwa zilizopo hapa, na nikauliza kama na huko zipo. Na kama zipo ni kwanini mtu aache fursa za huku akabahatishe za huko? Its just a logical arguement..
 
Si ndio tukauliza, kwanini tuache akari 100 za bongo tukabahatishe 100 za

Nimetolea mfano wa moja ya fursa kubwa zilizopo hapa, na nikauliza kama na huko zipo. Na kama zipo ni kwanini mtu aache fursa za huku akabahatishe za huko? Its just a logical arguement..
Fursa zipo nyingi sana hapa bongo...lakini zinaweza zisiwanufaishi wanaozizunguka lakini wakija wageni wakazitumia wakatoboa...kwa hiyo mbongo ana nafasi kubwa sana kubadilisha maisha yake kama akituliza akili akiwa nje ya nyumbani mfano marekani na kwingineko duniani.
 
Sasa unaonaje tukatumia mbinu zao kujinufaisha na fursa zilipo Tz badala ya kwenda kubahatisha USA?

Na pia unaonaje na sisi tukaanza kuwachezesha bahati nasibu ili atakaeshinda ndio aje kufaidi fursa za Tz?
 
Wewe ni mtegemea misaada huwezi kumlipa mmarekani Tsh 10,000 kwa saa kusuuza sahani kwenye mgahawa wako au hata pale mlimani city.
 
Acha kujifanya mjuaji, watu watacheza na wataenda kama wakibahatika.
 
Wale wanaopenda kujielimisha zaidi kuhusu hii program,

Nitumie ujumbe WhatsApp nikutumie pdf file ya maelekezo ya kina katika Lugha ya Kiingereza.
Poa mkuu dalalitz . Ila me naomba kufahamu page yao ya kufanya application hiyo kesho wakifungua
 
Wewe ni mtegemea misaada huwezi kumlipa mmarekani Tsh 10,000 kwa saa kusuuza sahani kwenye mgahawa wako au hata pale mlimani city.
Nani alisema naweza? Na hii statement imetokea wapi? Au ulikuwa unachangia uzi mwingine ukapost huku bahati mbaya?
 
Back
Top Bottom