DV-2023 program ( bahati nasibu ya kuhamia U.S.A.) inaanza rasmi kuchezwa tarehe 6/10/2021

Si walisema ni free? Au umetumia link tofauti
Taarifa sahihi zinapatikana dvprogram.state.gov

Kokote kwingine unaingizwa chaka.

Ukikwama popote nitafute,
Ushauri ni bure ila ukihitaji kuonana ana kwa ana ama msaada wa kujaziwa form,
Utafidia muda wangu.

+255714591548
 
Katika vipengele vyote kipengele cha picha (passport size) ndio kigumu. Vingine vyote ni vya kawaida. Kwa jinsi nilivyoelewa kwenye maelekezo yao.

Wakuu fursa hii, andaa passport (hati ya kusafiria) picha za passport soft copy.

Andaa kila kitu ndo uanze mchakato maana hakuna option ya kusave, na ukianza ni dakika 60 tu inatimeout. So kama huna maandalizi utarudia sana
 
Mimi ni Francis, hili swali lina uhusiano gani na mjadala huu? Au unacomment uzi mwingine huku kimakosa?
We jamaa tangu jana nimekwambia, acha kuharibu thread za watu. Hii thread imewekwa kama taarifa. Hakuna mahali mleta uzi kauliza swali au kuomba ushauri.

Nakusihi anzisha thread yako, kama ile uliyoanzisha kuulizia kuhusu wauzaji wa akaunti za instagram.

Tafadhali sana, acha kuwakwaza watu. Kama wewe ulifanikiwa kwa kilimo ni wewe na siyo kila mtu anaweza kufanikiwa kwenye unachokiamini.
 
TAARIFA MPYA

DV-2023 PROGRAM
INAANZA RASMI KUCHEZWA TAREHE 6/10/2021,
MWISHO NI TAREHE 9/11/2021.

JIANDAE MAPEMA NA CHEZA MAPEMA.

HAISHAURIWI KUSUBIRIA TAREHE ZA MWISHONI.

KWA MASWALI AU MSAADA/ USHAURI BURE NIPIGIE SIMU WAKATI WOWOTE.

ANGALIZO:
IWAPO UTANIHITAJI KWA MAJADILIANO/KUKUTANA ANA KWA ANA NAMI AU KUCHEZEWA/KUJAZIWA FOMU KWENYE MTANDAO,
ITAKUGHARIMU WEWE KUFIDIA MUDA WANGU,- KIUNGWANA.

SIMU/WHATSAPP: +255 714 59 15 48.
mkuu wewe ulicheza ukapata? au kuna uliowachezea wakapata?
 
Mimi ni Francis, hili swali lina uhusiano gani na mjadala huu? Au unacomment uzi mwingine huku kimakosa?
UZI ni huu huu,namaanisha nchi haina uchumi kama wa hiyo nchi inayotoa bahati nasibu.
pia kutunia mbinu zao kama taifa hatuwezi sisi wategemea misaada.
 
Alicholeta jukwaani kinaitwa ‘mada’, na unapoichangia ‘mada’ kama unavyofanya wewe tunaita ni ‘mjadala’ unafanya. Kima ndio nini?
Lengo la Uzi wangu huu ilikuwa kutoa taarifa na kila anaejua itamhusu apambane kivyake kudodosa taarifa zaidi ili ajiandae kikamilifu na mapema iwapo alikuwa analo lengo la kushiriki.

Hakipo cha kujadili.

Na ndio maana nikasema ukihitaji nakutumia pdf ukiongezee ufahamu wewe mwenyewe.

Hiyo pdf sijaiandaa mimi na wala Mimi si mjuzi kupita waandaaji wake:

Iqrah (Soma):
dvprogram.state.gov

Sijui naeleweka?
 
Mkuu achana na huyo punguani, vipi hii form ni vizuri kuijaza kwa Capital letters au small letters.
 
UZI ni huu huu,namaanisha nchi haina uchumi kama wa hiyo nchi inayotoa bahati nasibu.
pia kutunia mbinu zao kama taifa hatuwezi sisi wategemea misaada.
Wewe ukisema hatuwezi, na mimi nikisema tunaweza, tutafika mwisho kweli?, toa contendable arguements kubeba hicho unachokisema, na sio mitazamo inayoelewa hewani. Mfano naamini Tanzania tunaweza sababu ya rasilimali zilizopo zinazosubiri kuanza kuvunwa, moja wapo ni Bwawa la Nyerere nk.
 
Lengo la Uzi wangu huu ilikuwa kutoa taarifa na kila anaejua itamhusu apambane kivyake kudodosa taarifa zaidi ili ajiandae kikamilifu na mapema iwapo alikuwa analo lengo la kushiriki.

Hakipo cha kujadili.

Na ndio maana nikasema ukihitaji nakutumia pdf ukiongezee ufahamu wewe mwenyewe.

Hiyo pdf sijaiandaa mimi na wala Mimi si mjuzi kupita waandaaji wake:

Iqrah (Soma):
dvprogram.state.gov

Sijui naeleweka?
Hiki ulichopost ndio mjadala ndani ya mada, ukitaka usiwe mjadala itabidi ufute comment zote, ubakize mada uliyoleta tu. Tuendelee kujadili au unafunga mjadala? Its up to you.
 
Mkuu achana na huyo punguani, vipi hii form ni vizuri kuijaza kwa Capital letters au small letters.
Haijalishi kubwa au ndogo na hata ukichanganya kubwa na ndogo itakubali tu.
Na wala hawajatoa angalizo utumie herufi zipi.
 
Wewe ukisema hatuwezi, na mimi nikisema tunaweza, tutafika mwisho kweli?, toa contendable arguements kubeba hicho unachokisema, na sio mitazamo inayoelewa hewani. Mfano naamini Tanzania tunaweza sababu ya rasilimali zilizopo zinazosubiri kuanza kuvunwa, moja wapo ni Bwawa la Nyerere nk.

Nisivyokuwa muelewa , ulichokiandika hapa ningekianzishia Uzi wake mahsusi.

Lakini kwakuwa una akili nyingi kupitiliza unakileta kwenye Uzi usiohusiana nacho na unaonekana wa ajabu🤔
 
Hiki ulichopost ndio mjadala ndani ya mada, ukitaka usiwe mjadala itabidi ufute comment zote, ubakize mada uliyoleta tu. Tuendelee kujadili au unafunga mjadala? Its up to you.
Mijadala unaitengeneza wewe ndani ya taarifa.

Lakini kwakuwa inaelekea unajua sana, Mimi kama mleta Uzi, naufunga mjadala nawe.

Hapo palipokolezwa panaonyesha wewe ni msomi wa kuhali ya juu,
Sio 'level' zetu🤣
 
Nisivyokuwa muelewa , ulichokiandika hapa ningekianzishia Uzi wake mahsusi.

Lakini kwakuwa una akili nyingi kupitiliza unakileta kwenye Uzi usiohusiana nacho na unaonekana wa ajabu🤔
Mchangia mada alisema hatuwezi kwakuwa hatuna uchumi kubwa kama wao, nami nikamjibu tunaweza na nikatoa huo mfano. Kama uelewa wako ni mdogo sina msaada juu ya hilo.
 
Back
Top Bottom