DV-2023 program ( bahati nasibu ya kuhamia U.S.A.) inaanza rasmi kuchezwa tarehe 6/10/2021

DV-2023 program ( bahati nasibu ya kuhamia U.S.A.) inaanza rasmi kuchezwa tarehe 6/10/2021

Huna hoja, ni wa kuhurumia tu. Mi nikikupa tusi moja tu, unachimba kaburi unajifukia hapo hapo. Nitukane mimi, ila usimtaje mama yangu. Sasa rudia tena.
Na hapa sijaanza kukutukana, ninajitahidi sana kutumia lugha ya kiungwana. Lakini ukihitaji matusi fresh2
 
Ntamtaja kima wewe kumbe unaleta uk*ma wako hapa badala umpelekee mamako huko, dawa imeanza kukuingia. Tukana matusi yako tuone ulivo v*zi
Kwani we choko nani hajui kama unafir@na na mama yako mzazi? Ngoja nikupige block kabisa shxga mchuruzika kinyesi wewe. Ignore is on, atleast sitasikia tena harufu ya huo mknd uliooza
 
Kwani we choko nani hajui kama unafir@na na mama yako mzazi? Ngoja nikupige block kabisa shoga mchuruzika kinyesi wewe
Sasa hilo nalo tusi, we ni kum kweli. Kamsimlie mamako sasa eti umetukana. Vuzi wewe. Kujifanya mjuaji kumbe tak0 tu
 
TAARIFA MPYA

DV-2023 PROGRAM
INAANZA RASMI KUCHEZWA TAREHE 6/10/2021,
MWISHO NI TAREHE 9/11/2021.

JIANDAE MAPEMA NA CHEZA MAPEMA.

HAISHAURIWI KUSUBIRIA TAREHE ZA MWISHONI.

KWA MASWALI AU MSAADA/ USHAURI BURE NIPIGIE SIMU WAKATI WOWOTE.

ANGALIZO:
IWAPO UTANIHITAJI KWA MAJADILIANO/KUKUTANA ANA KWA ANA NAMI AU KUCHEZEWA/KUJAZIWA FOMU KWENYE MTANDAO,
ITAKUGHARIMU WEWE KUFIDIA MUDA WANGU,- KIUNGWANA.

SIMU/WHATSAPP: +255 714 59 15 48.
Mkuu picha bora za green card nitazipata sehem gan
 
Habari zenu wana Jukwaa?

Naombeni ushauri, ni wapi ntaweza kupiga picha ya passport kwaajili ya DV program? Nipo Mwanza
 
Habari zenu wana Jukwaa?

Naombeni ushauri, ni wapi ntaweza kupiga picha ya passport kwaajili ya DV program? Nipo Mwanza
Usiumize kichwa picha piga popote kinachotakiwa mjue masharti ya picha inayohitajika.
Hata kwa simu unaweza kupiga ingawa haishauriwi sana.
 
Hamna dili huko Marekani. Mnaenda kuwa vibarua McDonald's. So-called "American Dream" is non-existent. Chance of establishing generational wealth is next to zero.
 
hivi kumbe wabongo wakiamua kutoa povu la omo inakuwa hatari namna hii.... haya endeleeni kutoa mapovu sisi yetu kusoma nakucheka tuu full stop.
 
Nimefanikiwa kuapply na nimepata confirmation number yangu, ntaanza fatilia ombi langu kuanzia May 7 2022
Tafadhali naomba kujua mda wa kuanza kuicheza hii hapa bongo....maada tatizo saa ngapi?
 
Tafadhali naomba kujua mda wa kuanza kuicheza hii hapa bongo....maada tatizo saa ngapi?
Acha uvivu mwishowe utatapeliwa DV LOTTERY ni program ya muda mrefu sana so ukiingia online kutafuta taarifa zake unapata fasta na za uhakika ila ukumbuke kuna madalali wengi sana wa DV so kuwa makin ila program ni FREE FREE FREEE.

Na kuna mdau alisema eti TZ imefutwa muongo na hajui nchi zilizopigwagwa marufuku ilikuwa ni china na Nigeria coz zilipeleka watu wengi sana so wakasimamisha ili na nchi zingine zipate chance kwa ukanda wetu huu KENYA ndio wanaongoza kwenda.

Taarifa huwa wanatoa kila mwaka za waliofanikiwa ila ukikubaliwa ukumbuke gharama ya Nauli na makazi ni juu yako wao wanakupa GREEN CARD ambayo inakuruhusu kuishi, kufanya kazi na shughuli zote za uchumi bila kusumbuliwa yaan unakuwa kama RAIA tu isipokuwa kupiga kura tu kama sijakosea.
Na ukiwa na GREEN CARD kupata uraia ni chap sana unakuwa kama wale wanaofanya kazi ubalozi wa marekan kwa miaka 15 bila kuwa na skendo chafu unapewa chance ya kwenda kuishi state.
 
Hamna dili huko Marekani. Mnaenda kuwa vibarua McDonald's. So-called "American Dream" is non-existent. Chance of establishing generational wealth is next to zero.
Unaakili wewe,
Lakini ni wazi hazikusaidii🤪

Tanzania hakuna Vibarua?
Unajua huyo kibarua wa Mc D analipwa kiasi gani kwa Saa?

Kuhusu hiyo ndoto ya Kiamerika,
Pasi na shaka hujui na kibaya zaidi; HUJUI KUWA HUJUI.

Hayo mengine hata sitapoteza muda kubishana nawe kwa kuwa ni wazi huna ujualo kuhusu Amerika, huna umjuae na unajua huna sifa, uwezo wala nafasi ya hata kujaribu na Sasa umechagua uwe mpondaji.

Hate your ability, your tactics and your capability not the 'Game'😢

Yu-no-wara-am-sai-ng?🤣
 
Usiumize kichwa picha piga popote kinachotakiwa mjue masharti ya picha inayohitajika.
Hata kwa simu unaweza kupiga ingawa haishauriwi sana.
Wee jamaa unataka kuwaingiza wenzako kingi?
kuhusu picha kama upo dar nenda posta kuna photo shop benjamin mkapa tower au nenda mlimani city kwa photo shop waambie unataka passport size za USA wanazijua ila sio hawa wa mtaani.
 
Unakariri.
Huu ni ugonjwa unaoambatana na uzembe katika kufikiri.

Hivi, wanaoshiriki miaka yote Tanzania nzima lazima wawe Dar na waende huko unakosema wewe?

Mimi naongea ninachokifanya sio kubahatisha au kujaribu.

Kinachotakiwa ni kufuata maelekezo ya kinachotakiwa sio nani akakufanyie, tuelewe sio kukariri na Waswahili tuna kaugonjwa ka kukuza mambo pasi na lazima.

Narudia tena, hata kwa Simu unaweza kupiga.

Kinachotakiwa ujue nini kinatakiwa, na maelekezo mbona yako wazi jamani🤔
 
Nimekwambia kwa waliopo Dar kama upo mwanza zipo photo point za kueleweka same na arusha ila mikoa mingine kama mbeya cjaona, ruvuma, rukwa, cjaona weng ni wapiga picha wahuni tu nakwambia kwa experience nilizunguka sana mkoa wa ruvuma kuanzia tunduru, songea, mbinga ckupata photo studio ya maana.
Mbeya kuna majamaa wapo kabwe stand wanaitwa mashada kdgo wanajitahid labda na uhindn kama wapo ila sina uhakika.
Alaf shida sio kupiga picha shida ni dimensions wanazotaka kama unaongea kama motivational speaker pole hii kitu nilishaapply mara 2 mwaka 2013 nikaja kuapply tena 2015 ila sikufanikiwa so najua nachokwambia.
 
Back
Top Bottom