FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Kwakuwa unafunga mjadala, so be it, ila hii ndio iwe comment ya mwisho. Akicomment mwingine baada ya hii, then mjadala unaendelea.Mijadala unaitengeneza wewe ndani ya taarifa.
Lakini kwakuwa inaelekea unajua sana, Mimi kama mleta Uzi, naufunga mjadala nawe.
Hapo palipokolezwa panaonyesha wewe ni msomi wa kuhali ya juu,
Sio 'level' zetu🤣