Mlatino Zeshalo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2014
- 2,130
- 3,599
Kwani mleta mada amesema anahitaji mijadala? We kima nini?Jadili kwa hoja, hiwa inapendeza zaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani mleta mada amesema anahitaji mijadala? We kima nini?Jadili kwa hoja, hiwa inapendeza zaidi
Alicholeta jukwaani kinaitwa ‘mada’, na unapoichangia ‘mada’ kama unavyofanya wewe tunaita ni ‘mjadala’ unafanya. Kima ndio nini?Kwani mleta mada amesema anahitaji mijadala? We kima nini?
Kima ni weweAlicholeta jukwaani kinaitwa ‘mada’, na unapoichangia ‘mada’ kama unavyofanya wewe tunaita ni ‘mjadala’ unafanya. Kima ndio nini?
Jikite kwenye madaKima ni wewe
Acha kunipangia cha kufanya na unitolee ukima wako. Nenda kanunue akaunti ya instagram huko patakufaa maana unawashwa mat*koniJikite kwenye mada
Mkuu nimepitia kidogo pdf ya maelekezo. Huwezi kwenda kama kutaweza kujigharamia nauli plus mahitaji mengine. Ndio maana kuna interviewSwali langu nauli najilipia halafu naenda kufikia kwa nan sina ndugu wala rafiki?na huo muda ambao sijapata kazi nitapataje mahitaji yangu ya msingi?means ili niende lazima niwe na mpunga wa kueleweka.
Kama ni hivyo bhas bora hiyo nauli niwekeze hapa hapa bongo land.
Na nikishinda nakaa mda gani bila kwenda ndio expire?
Harika mbwange!!!Mkuu nimepitia kidogo pdf ya maelekezo. Huwezi kwenda kama kutaweza kujigharamia nauli plus mahitaji mengine. Ndio maana kuna interview
Jikite kwenye mada, unajidhalilisha mno.Acha kunipangia cha kufanya na unitolee ukima wako. Nenda kanunue akaunti ya instagram huko patakufaa maana unawashwa mat*koni
Kwani mleta mada amesema anahitaji mijadala? We kima nini?
Hawa ni wahuni.Process ni ndefu anzeni kupambana mapema mjue changamoto ziko wapi
View attachment 1965328
Si walisema ni free? Au umetumia link tofautiHapa ndio patam sasa...
mchujo wa kenge unaanzia hapa😅😅😂😂
tuwaache mamba waendelee na safari🙏🙏
View attachment 1965344
Wahuni hao,Hapa ndio patam sasa...
mchujo wa kenge unaanzia hapa😅😅😂😂
tuwaache mamba waendelee na safari🙏🙏
View attachment 1965344
ukipata uraia chukua fursa rudi bongo lima kauze marekaniSi ndio tukauliza, kwanini tuache akari 100 za bongo tukabahatishe 100 za USA?
Kwa hio wanafungua saa sita usiku ama? maana tarh 6 ndio hiiWahuni hao,
Taarifa sahihi zipo:
dvprogram.state.gov
Ukikwama njoo kwangu,
Ushauri bure kwa simu,
Ukitaka kuonana ana kwa ana ama msaada wa kujaziwa form,
Utafidia muda wangu kiungwana.
Piga :+255714591548.
Sasa hapa sijui upuuzwe au ujibiwe nini?Swali langu nauli najilipia halafu naenda kufikia kwa nan sina ndugu wala rafiki?na huo muda ambao sijapata kazi nitapataje mahitaji yangu ya msingi?means ili niende lazima niwe na mpunga wa kueleweka.
Kama ni hivyo bhas bora hiyo nauli niwekeze hapa hapa bongo land.
Na nikishinda nakaa mda gani bila kwenda ndio expire?