DV-2023 program ( bahati nasibu ya kuhamia U.S.A.) inaanza rasmi kuchezwa tarehe 6/10/2021

Swali langu nauli najilipia halafu naenda kufikia kwa nan sina ndugu wala rafiki?na huo muda ambao sijapata kazi nitapataje mahitaji yangu ya msingi?means ili niende lazima niwe na mpunga wa kueleweka.
Kama ni hivyo bhas bora hiyo nauli niwekeze hapa hapa bongo land.
Na nikishinda nakaa mda gani bila kwenda ndio expire?
 
Mkuu nimepitia kidogo pdf ya maelekezo. Huwezi kwenda kama kutaweza kujigharamia nauli plus mahitaji mengine. Ndio maana kuna interview
 
Kwani mleta mada amesema anahitaji mijadala? We kima nini?

kima ndio huyu mkuu

Screenshot_20211006-122519.png
 
Process ni ndefu anzeni kupambana mapema mjue changamoto ziko wapi
View attachment 1965328
Hawa ni wahuni.

Taarifa yoyote inayotoka nje ya mtandao: dvprogram.state.gov
Sio taarifa yakuaminika wala ya kuifuata.

Ukikwama njoo: +255714591548.

Ushauri kupitia simu mi bure,
Ukitaka kuonana nami au msaada wa kujaziwa form utafidia muda wangu kiungwana.
 
Hapa ndio patam sasa...

mchujo wa kenge unaanzia hapa😅😅😂😂

tuwaache mamba waendelee na safari🙏🙏

View attachment 1965344
Wahuni hao,
Taarifa sahihi zipo:

dvprogram.state.gov

Ukikwama njoo kwangu,
Ushauri bure kwa simu,
Ukitaka kuonana ana kwa ana ama msaada wa kujaziwa form,
Utafidia muda wangu kiungwana.

Piga :+255714591548.
 
Kwa hio wanafungua saa sita usiku ama? maana tarh 6 ndio hii
 
Swali langu nauli najilipia halafu naenda kufikia kwa nan sina ndugu wala rafiki?na huo muda ambao sijapata kazi nitapataje mahitaji yangu ya msingi?means ili niende lazima niwe na mpunga wa kueleweka.
Kama ni hivyo bhas bora hiyo nauli niwekeze hapa hapa bongo land.
Na nikishinda nakaa mda gani bila kwenda ndio expire?
Sasa hapa sijui upuuzwe au ujibiwe nini?
Maana ushaponda,ushaamua Cha kufanya kisha unauliza,
Sijui unajielewa?
 
Back
Top Bottom