Ata wachina wana cheza lottery wakaishi marekani.So mfano naweza pewa walau viekari 30 na kijiji chochote cha huko, nikafanya shughuli za kiuchumi kama ilivyo huku Tz? Na unaonaje waChina wanaokuja huku nao tukawachezesha lottery?
Hivyo hivyo, tuwachezeshe lottery, watakaoshinda ndio waje kuchuma, au huko Marekani unaenda kufanya nini kama sio kuchuma? Na pia, kuna kijiji huko kinaweza kunipa walau ekari 30 nikafanya ujasiriamali kama ilivyo huku Tz?Ata wachina wana cheza lottery wakaishi marekani.
Wachina wanaokuja Tz hawana nia ya kuishi huku.Ni kuja chuma tu
Hakuna haja.Wanaingia kama wanavyoingia chooniHivyo hivyo, tuwachezeshe lottery, watakaoshinda ndio waje kuchuma, au huko Marekani unaenda kufanya nini kama sio kuchuma? Na pia, kuna kijiji huko kinaweza kunipa walau ekari 30 nikafanya ujasiriamali kama ilivyo huku Tz?
Ndio tuiweke hiyo haja sasa, na je, huko USA kuna kijiji kinaweza kunipa walau ekari 20 tu nikajimwambafy kwa shughuli za kiuchumi kama ilivyo huku Tz?Hakuna haja.Wanaingia kama wanavyoingia chooni
Ni vitu gani muhimu kuwa navyo kabla ya ku apply?TAARIFA MPYA
DV-2023 PROGRAM INAANZA RASMI KUCHEZWA TAREHE 6/10/2021,
MWISHO NI TAREHE 9/11/2021.
JIANDAE MAPEMA NA CHEZA MAPEMA.
HAISHAURIWI KUSUBIRIA TAREHE ZA MWISHONI.
KWA MASWALI AU MSAADA/ USHAURI BURE NIPIGIE SIMU WAKATI WOWOTE.
ANGALIZO:
IWAPO UTANIHITAJI KWA MAJADILIANO/KUKUTANA ANA KWA ANA NAMI AU KUCHEZEWA/KUJAZIWA FOMU KWENYE MTANDAO,
ITAKUGHARIMU WEWE KUFIDIA MUDA WANGU,- KIUNGWANA.
SIMU/WHATSAPP: +255 714 59 15 48.
Mpango mkakati wa jinsi utakavyotumia ekari zako 20 utakazopewa na kijiji cha huko USA, kama vijiji vya huku vinavyotoa ardhiNi vitu gani muhimu kuwa navyo kabla ya ku apply?
Usikazanie kulima ukajipa moyo kwamba hawalimi kuna watanzania wapo marekani wanalima mazao kama mahindi,maharage,nyanya,viazi ni uwezo wako wa kulipia ardhi tu...niliona jamaa flani watanzania wanalima huko marekani...sasa unakazana ekari 20...nenda US ukaombe utapewa ulime mzungu hana nongwa kwenye maendeleo.Hivyo hivyo, tuwachezeshe lottery, watakaoshinda ndio waje kuchuma, au huko Marekani unaenda kufanya nini kama sio kuchuma? Na pia, kuna kijiji huko kinaweza kunipa walau ekari 30 nikafanya ujasiriamali kama ilivyo huku Tz?
Shughuli za kiuchumi kwako ni kilimo tu? Na gharama zake ni affordable kama huku unapopewa na kijiji? Sasa kwanini uache ekari 20 za Tz ukabahatishe za USA, tuelimshwe tafadhali..Usikazanie kulima ukajipa moyo kwamba hawalimi kuna watanzania wapo marekani wanalima mazao kama mahindi,maharage,nyanya,viazi ni uwezo wako wa kulipia ardhi tu...niliona jamaa flani watanzania wanalima huko marekani...sasa unakazana ekari 20...nenda US ukaombe utapewa ulime mzungu hana nongwa kwenye maendeleo.
1. Uwe na vigezo hitajika:Ni vitu gani muhimu kuwa navyo kabla ya ku apply?
Vyanzo vyako vya taarifa ni 'fyongo'.Tanzania ilitolewa katika hiyo bahati nasibu mkuu.Hatupo tena
Kama ni killimo nenda Mkuranga ukalime.Ndio tuiweke hiyo haja sasa, na je, huko USA kuna kijiji kinaweza kunipa walau ekari 20 tu nikajimwambafai kwa shughuli za kiuchumi kama ilivyo huku Tz?
Sasa mimi nataka kuondoka bongo.Nishachoshwa na jero za bongo.Naondokaje mkuu nikale bata ulaya ?Vyanzo vyako vya taarifa ni 'fyongo'.
Kwa taarifa yao;
Watu wanaondoka kila siku
(Hivi ninavyoandika)
Haijawahi kufutwa,
Iliwahi kusitishwa na ilikuwa kwa muda mfupi tu.
Fahamu;
Hii program ipo na itaendelea kuwepo kwa muda mrefu ujao.
Iliwekwa na Bunge na ili ifutwe shurti ipite hukohuko Bungeni.
Mimi nimeleta hoja ya DV ambayo ndio njia rahisi na isiyo na longolongo.Kama ni killimo nenda Mkuranga ukalime.
Kule watu wanafata elimu na fursa za ajira
Sasa mimi nataka kuondoka bongo.Nishachoshwa na jero za bongo.Naondokaje mkuu nikale bata ulaya ?
Ndiyo unaweza kupata hizo ekari ukalima mihogo yako.So mfano naweza pewa walau viekari 30 na kijiji chochote cha huko, nikafanya shughuli za kiuchumi kama ilivyo huku Tz? Na unaonaje waChina wanaokuja huku nao tukawachezesha lottery?
Nini ekari ishirini?Kwahiyo kuishi na kufanya kazi USA ni zawadi? Okay, huko naweza angalau nikapata eka 20 nilimelime hata mahindi kibiashara? Upatikanaji ardhi ya ukubwa huo ukoje huko?
Unauliza maswali ya kipumbavu muda wote.Hivyo hivyo, tuwachezeshe lottery, watakaoshinda ndio waje kuchuma, au huko Marekani unaenda kufanya nini kama sio kuchuma? Na pia, kuna kijiji huko kinaweza kunipa walau ekari 30 nikafanya ujasiriamali kama ilivyo huku Tz?
We jamaa unaharibu uzi kwa mambo ya kipuuziMpango mkakati wa jinsi utakavyotumia ekari zako 20 utakazopewa na kijiji cha huko USA, kama vijiji vya huku vinavyotoa ardhi