nokwenumuya
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 820
- 2,896
- Thread starter
-
- #81
Uelewa wako ni mdogo.Wakisha kuambia office zao zilipo unatakiwa uende kuwatembelea kabla ya kununua.
Kwakifu hii habari imejaa uzushi mtupu
hii habari ni nyeusi aituhusu tafutaneni kimya kimya Kama mnadaina mkamalizane.
Hapana, mfuatiliaje wetu alikwenda Dubai kwa nia ya kuthibitisha uwepo wa hiyo kampuni, katika address anayoonyesha kampuni yake ipo akakuta ni kampuni inayosaidia kusajiri makampuni. Aliposema yuko Tanzania ikabidi kutaka kukutaba nae Azam Media, kumbuka ni mtanzania aliyejifanya ni Mganda ili apate taarifa.
Na ujue pale Azam kuna watu wanaomfahamu, angeenda na wakamwambia sio Mganda ni mtanzania tayari inakuwa tatizo katika kazi aliyokuwa anafanya.
Ingekuwa nje ya Azam angeenda kukutana nae.
Ili nikuthibitishie alienda Dubai na hakuwa Tandale naweka hapa picha ya business card ya kampuni ya ABC aliyosema ndio office zake zilipo, na mtu wetu alipofika aliambiwa ni kweli huyo Gael akiwa na watu anaomba kuonana nao kutumia ofisi zao.
Sasa kwa kuwa hakuwepo Dubai ilikuwa ngumu kusema nenda ofisini maana kampuni yake haina staff, angekuwa na office asingesema let me organise. How do you organise an office for someone to see it kama ipo?
Ndio maana ilibidi kutwa nzima akae kimya hadi jioni akaomba msamaha kwa kushindwa organise office visits.
NB: naweka hapa picha za hiyo office na business card yao ujue sio suala la porojo.
View attachment 2036105
View attachment 2036108
View attachment 2036109
Uelewa wako ndio ndogo Rechmond ni pesa ya umma niambie kwaulewa wako mkubwa mleta Mada ametapeliwa nini hadi uje na mifano ya Rechmond ?Uelewa wako ni mdogo.
Kamati ya kuchunguza Richmond ilienda kufuata nini USA kujiridhisha kama Richmond inaexist kule?
Si ni baada ya kuwa na wasiwasi na uwepo wa hiyo kampuni na jinsi ilivyopata zabuni?
Ukisoma kwenye details za business licence, Aliance business council wako specified kama Business Manager, na hata office set up yao inaonekana ni virtual office na kwa maelezo yao ni kwamba anatumia hapo office akihitaji hujamaliz8a kuwa ni bure, kuna contracts analipia service n.k, kitu ambacho ni cha kawaida kabisa katika ku run biashara na kupunguza gharama hasa ukiwa una operate kwenye nchi nyingi huwezi kuweka wafanyakazi kila mahaliHapana, mfuatiliaje wetu alikwenda Dubai kwa nia ya kuthibitisha uwepo wa hiyo kampuni, katika address anayoonyesha kampuni yake ipo akakuta ni kampuni inayosaidia kusajiri makampuni. Aliposema yuko Tanzania ikabidi kutaka kukutaba nae Azam Media, kumbuka ni mtanzania aliyejifanya ni Mganda ili apate taarifa.
Na ujue pale Azam kuna watu wanaomfahamu, angeenda na wakamwambia sio Mganda ni mtanzania tayari inakuwa tatizo katika kazi aliyokuwa anafanya.
Ingekuwa nje ya Azam angeenda kukutana nae.
Ili nikuthibitishie alienda Dubai na hakuwa Tandale naweka hapa picha ya business card ya kampuni ya ABC aliyosema ndio office zake zilipo, na mtu wetu alipofika aliambiwa ni kweli huyo Gael akiwa na watu anaomba kuonana nao kutumia ofisi zao.
Sasa kwa kuwa hakuwepo Dubai ilikuwa ngumu kusema nenda ofisini maana kampuni yake haina staff, angekuwa na office asingesema let me organise. How do you organise an office for someone to see it kama ipo?
Ndio maana ilibidi kutwa nzima akae kimya hadi jioni akaomba msamaha kwa kushindwa organise office visits.
NB: naweka hapa picha za hiyo office na business card yao ujue sio suala la porojo.
View attachment 2036105
View attachment 2036108
View attachment 2036109
Na ZBC inatumia pesa za babu yako?Uelewa wako ndio ndogo Rechmond ni pesa ya umma niambie kwaulewa wako mkubwa mleta Mada ametapeliwa nini hadi uje na mifano ya Rechmond ?
Sababu una nia ya kufahamu wacha nikusaidie.Ukisoma kwenye details za business licence, Aliance business council wako specified kama Business Manager, na hata office set up yao inaonekana ni virtual office na kwa maelezo yao ni kwamba anatumia hapo office akihitaji hujamaliz8a kuwa ni bure, kuna contracts analipia service n.k, kitu ambacho ni cha kawaida kabisa katika ku run biashara na kupunguza gharama hasa ukiwa una operate kwenye nchi nyingi huwezi kuweka wafanyakazi kila mahali
Mimi ningependa kufahamu ni vipi haswa kawapiga ZBC ama anaitumia Azam kuipiga ZBC, Suala la yeye kutumia ofisi za Azam kuna shida gani?kama ni consultant wao wameamua kumpa ofisi afanye kazi
ZBC umeambiwa iko kwenye muungano unajua sheria gani zinatumika kuendesha shuguli zake hujui Kama Zanzibar kuna bunge lao na mahama zaoNa ZBC inatumia pesa za babu yako?
ZBC umeambiwa iko kwenye mungano unajua sheria gani zinatumika kuendesha shuguli zake hujui Kama Zanzibar kuna bunge lao na mahamaNa ZBC inatumia pesa za babu yako?
Sababu una nia ya kufahamu wacha nikusaidie.Ukisoma kwenye details za business licence, Aliance business council wako specified kama Business Manager, na hata office set up yao inaonekana ni virtual office na kwa maelezo yao ni kwamba anatumia hapo office akihitaji hujamaliz8a kuwa ni bure, kuna contracts analipia service n.k, kitu ambacho ni cha kawaida kabisa katika ku run biashara na kupunguza gharama hasa ukiwa una operate kwenye nchi nyingi huwezi kuweka wafanyakazi kila mahali
Mimi ningependa kufahamu ni vipi haswa kawapiga ZBC ama anaitumia Azam kuipiga ZBC, Suala la yeye kutumia ofisi za Azam kuna shida gani?kama ni consultant wao wameamua kumpa ofisi afanye kazi
Ni changamoto kubwa sanaSa hizi kila mbuzi ale urefu wa kamba Yake, Tanesco wenyewe washapiga Bil 65 kwa kukodisha software ya wahindi! Gesi ni yetu ila tunanunua kwa beberu! Yaani hii nchi shamba la bibi
Hizi ni mada za kizalendo mkuu, hizo mada ndiyo ilinifanya nijiunge 2012 nisiwe km mtembeleaji tuu humuNi kweli tunahitaji mada zilizoshiba ili kuisaidia nchi yetu
Umeambiwa ZBC iko kwenye muungano mbona Bongo Watu wanapigia pesa ndefu umekaa kimyaAmetumiaje mgongo wa Azam kupata tenda ZBC?weka wazi ueleweke
Huu unatwa umbea habari za kuokoteza mbaya zaidi za upande moja kama vipi kawaite ZBC na Azam waje hape ili tubalance tuone Kama mleta umbea ajatoka ndukiNa ZBC inatumia pesa za babu yako?
Kwani ilikuwa lazima mkubali kukutana naye Azam Media? Kama mngeshauri mkutane sehemu nyingine mbadala, sidhani kama angekataa. Kwanini hamkufanya hivyo?Hapana, mfuatiliaje wetu alikwenda Dubai kwa nia ya kuthibitisha uwepo wa hiyo kampuni, katika address anayoonyesha kampuni yake ipo akakuta ni kampuni inayosaidia kusajiri makampuni. Aliposema yuko Tanzania ikabidi kutaka kukutaba nae Azam Media, kumbuka ni mtanzania aliyejifanya ni Mganda ili apate taarifa.
Na ujue pale Azam kuna watu wanaomfahamu, angeenda na wakamwambia sio Mganda ni mtanzania tayari inakuwa tatizo katika kazi aliyokuwa anafanya.
Ingekuwa nje ya Azam angeenda kukutana nae.
Ili nikuthibitishie alienda Dubai na hakuwa Tandale naweka hapa picha ya business card ya kampuni ya ABC aliyosema ndio office zake zilipo, na mtu wetu alipofika aliambiwa ni kweli huyo Gael akiwa na watu anaomba kuonana nao kutumia ofisi zao.
Sasa kwa kuwa hakuwepo Dubai ilikuwa ngumu kusema nenda ofisini maana kampuni yake haina staff, angekuwa na office asingesema let me organise. How do you organise an office for someone to see it kama ipo?
Ndio maana ilibidi kutwa nzima akae kimya hadi jioni akaomba msamaha kwa kushindwa organise office visits.
NB: naweka hapa picha za hiyo office na business card yao ujue sio suala la porojo.
View attachment 2036105
View attachment 2036108
View attachment 2036109
Kwa hiyo jamii forums iko kwa ajili ya mambo ya Tanzania bara pekee?Mtoa mada upo na jambo lakini sasa naomba utujibu haya
*Usimamizi wa ZBC ipo kwenye Muungano..??
*Kama si muungano na ni Zanzibar, je sheria za manunuzi ya umma huko Zanzibar zinasemaje..??
*With clear evidence, tunaomba mchakato wa hao jamaa kupata tenda ZBC ambako kunaonyesha kwamba hakukuwa na mshindani mwengine..
Tuanze na haya...
BTW nakuona Ni kama mmoja wa wafanyakazi wa aidha serikali ama Azam
Ni kweli kiongozi na kuna maboya yanatetea, lakini ni kawaida hakuna jamii inayokosa mapoyoyo na wasaliti.Nakupa pongezi mleta mada unaonekana una uzalendo wa nchi yako, hz ishu za upigaji ziko nyingi sana aisee, tusiwaone wajinga Korea na China wanaamua kutiana risasi kwa rushwa na ufisadi, sisi huku tunachekeana.