4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Alafu mie sio bwashee, alafu mwenyekiti wa chama husika alishaweka msimamo wazi, niseme Mimi maridhiano nayapenda Sana ila yazingatie yafuatayoAlshaojiwa bwashee,na akasema wazi yeye hana maamuzi mpaka uongozi wa chama ukubaliane.
kama ni yale mahojiano ya jana basi muanzilishi wa thread amemlisha maneno Ismail Jussambona mnashindwa kutuwekea hayo mahojiano ??
Hapana, Mazurui ni mzee halafu mstaarabu sana ni kama Maalim Seif tu. Ila Jussa aandaliwe kuchukua dola maana yule hana mazungumzoBora wapendekeze Nassor Ahmed Mazrui ndiye awe Makamu wa kwanza.
Ndiyo ujue yote ni maigizo, yaani mtu katobolewa utumbo hapelekwi polisi wala hospital ni kuchukuwa picha tu na kurusha mitandaoni.nikiona maneno ya hivi tena kutoka kwa wanasiasa wa upinzani nachoka kabisaa, sijui kama aliziona maiti za wale vijana wa Zanzibar waliouwa kikatili kabisa tare 27, 28 na 29 Oktoba
Kurudia uchaguzi sahau kabisa.Alafu mie sio bwashee, alafu mwenyekiti wa chama husika alishaweka msimamo wazi, niseme Mimi maridhiano nayapenda Sana ila yazingatie yafuatayo
Kurudia uchaguzi
Tume huru
Katiba mpya
Hivi mkuu kwa sauti ya pole ,mtu umeshinda tena kwa kishindo, wapigakura ni wale wale na unapendwa Sana,wakati watu wanakusingizia kwamba umeiba kura why usirudie uchaguzi ili uwakomeshe ki mdomo domo Chao,tena kwa kuweka tume huru,au kuomba hata UN wasimamie ili uwaonyeshe dunia jinsi unavyokubalika, Kama hili haliwezekaniki.Kurudia uchaguzi sahau kabisa.
katiba mpya angalau inawezekana japo kutakuwa na vigingi vingi.
Uchaguzi haurudiwi, kama ni kususa msuse lakini uchaguzi kurudiwa ni haramu.Hivi mkuu kwa sauti ya pole ,mtu umeshinda tena kwa kishindo, wapigakura ni wale wale na unapendwa Sana,wakati watu wanakusingizia kwamba umeiba kura why usirudie uchaguzi ili uwakomeshe ki mdomo domo Chao,tena kwa kuweka tume huru...
Jussa unamjua lakini... huyo ni mnazi wa upinzani wewe huingii kwake hata mara milioni, ameyaishi mapambano sio wewe upo mitandaoni huku, ukiona kasema hivyo ashawaza mbali... political calculationsNjaa hizi zimezidi!
Hata Picha yako inaonesha tu, kama siyo yule raia wa Ubeligiji Mtetezi wa haki za Mashoga Duniani na Muabudu kuzimu.Mjumbe wa kamati kuu ya chama cha ACT Wazalendo Ismail Jussa Ladhu anaeuguza majeraha baada ya kupigwa walipokuwa wanafanya maandamano Visiwani Zanzibar katika Maandamano hayo ya tarehe 29 mwezi wa Oktoba yalikuwa ya amani ila maafisa wa usalama waliwavamia na kuwajeruhi baadhi ya viongozi wa upinzani...
Ni kama mbuni tu,unaficha kichwa kwenye mchanga wakati tako zipo nje. unakuwa muongo kuliko hata uongo wenyewe.Hakuna nchi Duniani Zaidi ya Tanzania inayoheshimu Sheria na taratibu walizojiwekea toka enzi za Mababu zetu.
Mjumbe wa kamati kuu ya chama cha ACT Wazalendo Ismail Jussa Ladhu anaeuguza majeraha baada ya kupigwa walipokuwa wanafanya maandamano Visiwani Zanzibar katika Maandamano hayo ya tarehe 29 mwezi wa Oktoba yalikuwa ya amani ila maafisa wa usalama waliwavamia na kuwajeruhi baadhi ya viongozi wa upinzani.
Mwandishi wa DW, Thelma Mwadzaya amezungumza Kinagaubaga na Jussa kuhusu siasa za visiwani Zanzibar na Jussa anapendekeza kuundwe serikali ya umoja wa kitaifa visiwani Zanzibar.
My Take
Kuunda serikali na CCM hii hii au?
Ni kwamba hiyo serikali ya umoja itaongozwa na ACT Wazalendo na Mwinyi kuwa makamu wa kwanza wa Rais.Mjumbe wa kamati kuu ya chama cha ACT Wazalendo Ismail Jussa Ladhu anaeuguza majeraha baada ya kupigwa walipokuwa wanafanya maandamano Visiwani Zanzibar katika Maandamano hayo ya tarehe 29 mwezi wa Oktoba yalikuwa ya amani ila maafisa wa usalama waliwavamia na kuwajeruhi baadhi ya viongozi wa upinzani.
Mwandishi wa DW, Thelma Mwadzaya amezungumza Kinagaubaga na Jussa kuhusu siasa za visiwani Zanzibar na Jussa anapendekeza kuundwe serikali ya umoja wa kitaifa visiwani Zanzibar.
My Take
Kuunda serikali na CCM hii hii au?