DW News nao wamkalia kooni mtawala wa Tanzania!

Huyu mama anayoyapitia ni sahihi kabisa,alipoingia madarakani alitaka kujifanya yeye ni mama wa demokrasia na mwema kuliko JPM, Kila mahali yeye ilikuwa kumsimanga marehemu JPM .

Naamini magumu yanakuja na hatasahau maishani mwake
 
Marekani hana rafiki wakudumu wala adui wakudumu, elewa neno "Hana "
 
Kati ya karata ambazo sa100 alicheza vzr ni kuwachekesha waarabu.

USA haiwezi na haitoongelea chochote sababu ni rafiki wa nguvu wa mjomba mtu. Mnadhan ziara ya Trump uarabuni ilikua ni nini?
Acha kujitekenya,balaa linakuja mwambie akae mguu sawa
 
 
Huyu mama anayoyapitia ni sahihi kabisa,alipoingia madarakani alitaka kujifanya yeye ni mama wa demokrasia na mwema kuliko JPM, Kila mahali yeye ilikuwa kumsimanga marehemu JPM .

Naamini magumu yanakuja na hatasahau maishani mwake
Maono Sahihi ya Mama tuna daraja la JPM, tuna Bwawa kubwa la umeme, tuna SGR, tuna Uwanja wa Ndege Msalato Ndege za ATCL, tuna DiPiWeldi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…