Serikali na Bank nani anafanya vetting ya kutisha?
Umewahi fanya kazi Bank?
Unazijua Internal control za mabenki?
Mkuu tumia akili ,Hivi hayo mabilioni ya fedha za serikali si yanakaa NMB na CRDB unadhani wana mifumo dhaifu?
Taasisi yoyote nyeti huwezi kuingia bila TISS kujilizisha na kukufanyia vetting, vp kuna Bank binafsi ambayo inafanyiwa vetting na TISS,kama ipo nitajie.
So tuwaamini wanao wafanyia vetting watu wa mabank?Kama mnawaamini hao TISS mbona kuna wanyarwanda wamepewa teuzi tena nzito nzito? Kama hao TISS wako vzr si wangezuia
Ingekuwa ni 'issue' kama wangechukua kampuni ya nje.Wabongo tupunguze ujuaji, kwamba NMB ihujumu serikali!! wakati serikali inamiliki 40% ya benki hiyo?
So tuwaamini wanao wafanyia vetting watu wa mabank?
Halafu hamna taasisi ambaye inoperate 100% kwa usahihi, kama ingekuwa hivyo US pamoja ya kuwa na CIA, FBI,NSA,Homeland nk ila bado ikapigwa na Osama.
Hapo US kwenye kuna masleeper agent wa Kirusi kibao kwenye taasisi zao za uslama,ukienda Urusi napo hivyo hivyo.
Hivi unazani hizi taarifa hasa za Tech Mchina anaziiba vipi US?
Hawa mabank ambao kila siku wanapigwa na watu wao na hackers,hawawezi kukwambia sababu wanalinda reputation yao. Huwezi fananisha maslahi ya taifa na taasisi binafsi.Ndio maana mataifa mengine ukirelease taarifa nyeti wapo tayari mpaka kuua, ila taasisi binafsi hawafanyi hivyo.Wewe unahisi vetting za benk ni mchezo? Hasa mabenk makubwa kama NMB na CRDB? Wao wako more serious than government institutions elewa hivyo.Na moja ya sifa ya kufanya kazi benk ni kuwa na uwezo wa kutunza siri
umesema ukweli mtupu ,tusipowaamini vijana wetu tukawa tunaendekeza 10% tunaua innovation ya vijana wetu,leo hii mtu anadiriki kubeza mifumo kama ya GEPG kweli?Bora utengeneze mifumo ya kuunga unga kupitia watu wako ambao watakua kidogo kidogo,kuliko kutumia mifumo ya nje, kwani hujui usalama wa data zako.Makampuni mengi makubwa serikali zao zina backdoor kwenye hizo taasisi,so wakitaka kutindua wana tindua. Dunia hii ya sada information/data ni power,so huwezi kumpa mtu data zako akuhifazie ambaye,humjui,haujamfanyia vetting, wala ambaye hajala kiapo.
Wewe unafikiri hayo makampuni makubwa yalianza na kukimbia ghafla?Si walianza kwa kukaa,then wakasimama,wakatembea then wakakimbia. Wewe jiulize kwa nini Kompyuta ya kwanza ilikuwa kama kabati,je walishwa kutengeneza kama hizi tulizo nazo sasa?
Hivi unazania huko Kenya kwenye hayo makampuni makubwa ya IT,ambao wamefungua ofisi, unazani serikali imehost au kuiweka hiyo mifumo yao kwenye platforms zao? Ukiiona serikali imehost service kwenye hizo platforms, jua huo mfumo sio critical. Huwezi kuweka mfumo ambao ni critical kwenye clouds na hamna serikalini yoyote duniani inayofanya hivyo. Kenya wana taasisi yao kama eGa kwa ajili ya mifumo yao critical na watu wanayo itengeneza wamewafanyia vetting, wamewaapisha na still wanawafuatilia.
Msifanye masihala na taarifa nyeti za serikali.
Vetting za bank zinafanywa kwa kuangalia criteria zao, serikalini vetting zake zinafanyika kwa kuangalia usalama wa nchi kwa ujumla ,ukisema hata bank wana vetting mtu mwingine atasema hata waoaji hua wanafanya vetting.Wewe unahisi vetting za benk ni mchezo? Hasa mabenk makubwa kama NMB na CRDB? Wao wako more serious than government institutions elewa hivyo.Na moja ya sifa ya kufanya kazi benk ni kuwa na uwezo wa kutunza siri
Tena banks ndio zinapigwa sana na hawasemi ili wasikimbiwe na wana hisa wao, inasikitisha sana wanasiasa wanapoingilia masuala ya taaluma , Waziri wa TEHAMA ameamua makusudi kuua innovation serikaliniHawa mabank ambao kila siku wanapigwa na watu wao na hackers,hawawezi kukwambia sababu wanalinda reputation yao. Huwezi fananisha maslahi ya taifa na taasisi binafsi.Ndio maana mataifa mengine ukirelease taarifa nyeti wapo tayari mpaka kuua, ila taasisi binafsi hawafanyi hivyo.
uhakika nilio nao jukumu la NMB sio kutengeneza mifumo ya taasisi za serikali nchini, achilia mbali e-GA ana majukumu gani jambo ambalo liko wazi na linajulikana.Yawezekana kuna gap la uelewa
Jukumu kuu la eGA ni nini?
Bank hizi zinaajiri wanyarwanda,wakenya etc yaani waziri NAPE ameharibu sana na amefungua back door ya espionage kwenye mifumo ya nchi yetuTaasisi yoyote nyeti huwezi kuingia bila TISS kujilizisha na kukufanyia vetting, vp kuna Bank binafsi ambayo inafanyiwa vetting na TISS,kama ipo nitajie.
Unajua unacho kiongea Bro? Sometimes bora kukaa,kimya mfumo unaopitisha matilion ya shillingi ufananishe na mfumo wa final Yr project ya mwanafunzi wa chuo......?
Halafu sio GEPS ni GEPG.
hoja ni eGA kuhujumiwa…. Inahujumiwaje?uhakika nilio nao jukumu la NMB sio kutengeneza mifumo ya taasisi za serikali nchini, achilia mbali e-GA ana majukumu gani jambo ambalo liko wazi na linajulikana.
Yaani kama nchi tunaamua kukabidhi mifumo ya serikali kwa bank binafsi NMB ambayo inaweza kua na waajiriwa toka Rwanda ,kenya ,malawi ,marekani etc
haya mataifa yakitaka kufanya espionage kwenye taarifa za wananchi wetu ni suala la kuingiza mtu wao NMB basi work done .
Tuwaze kwa mafikirio zaidi mambo haya ,beyond web interafaces
Sikia huyu kichaa kwani hujui huko USA kuna watu mpaka ikulu yao kuna watu wa mataifa mbalimbali?Kama mnawaamini hao TISS mbona kuna wanyarwanda wamepewa teuzi tena nzito nzito? Kama hao TISS wako vzr si wangezuia
Unalinganisha US na TZSikia huyu kichaa kwani hujui huko USA kuna watu mpaka ikulu yao kuna watu wa mataifa mbalimbali?
Hela inapigwaje? Maana mkataba ukitolewa si pesa inaingia NMB ambapo 40% ni hisa za serikali, bado 30% ni kodi ya Corporate sasa serikali inahujumiwaje au pesa zinapigwa vipi hapo?Hujui unachokiongea?
yaani kisa ni NMB msign kuipa billions of money kutengeneza mifumo ambayo tayari ipo serikalini?
ESB ipo up and running pale e-GA ,unataka kutengeneza nyingine ili ugundue nini?
watu wanapiga hela mnaendekeza unazi