e-GA inahujumiwa

e-GA inahujumiwa

Serikali na Bank nani anafanya vetting ya kutisha?

Umewahi fanya kazi Bank?

Unazijua Internal control za mabenki?

Mkuu tumia akili ,Hivi hayo mabilioni ya fedha za serikali si yanakaa NMB na CRDB unadhani wana mifumo dhaifu?

Taasisi yoyote nyeti huwezi kuingia bila TISS kujilizisha na kukufanyia vetting, vp kuna Bank binafsi ambayo inafanyiwa vetting na TISS,kama ipo nitajie.
 
Tanzania kwanza hakuna ma-IT hiyo kazi angepewa mhindi
 
Kama mnawaamini hao TISS mbona kuna wanyarwanda wamepewa teuzi tena nzito nzito? Kama hao TISS wako vzr si wangezuia
So tuwaamini wanao wafanyia vetting watu wa mabank?

Halafu hamna taasisi ambaye inoperate 100% kwa usahihi, kama ingekuwa hivyo US pamoja ya kuwa na CIA, FBI,NSA,Homeland nk ila bado ikapigwa na Osama.

Hapo US kwenye kuna masleeper agent wa Kirusi kibao kwenye taasisi zao za uslama,ukienda Urusi napo hivyo hivyo.

Hivi unazani hizi taarifa hasa za Tech Mchina anaziiba vipi US?
 
Wewe unahisi vetting za benk ni mchezo? Hasa mabenk makubwa kama NMB na CRDB? Wao wako more serious than government institutions elewa hivyo.Na moja ya sifa ya kufanya kazi benk ni kuwa na uwezo wa kutunza siri
 
Hawa mabank ambao kila siku wanapigwa na watu wao na hackers,hawawezi kukwambia sababu wanalinda reputation yao. Huwezi fananisha maslahi ya taifa na taasisi binafsi.Ndio maana mataifa mengine ukirelease taarifa nyeti wapo tayari mpaka kuua, ila taasisi binafsi hawafanyi hivyo.
 
Bora utengeneze mifumo ya kuunga unga kupitia watu wako ambao watakua kidogo kidogo,kuliko kutumia mifumo ya nje, kwani hujui usalama wa data zako.Makampuni mengi makubwa serikali zao zina backdoor kwenye hizo taasisi,so wakitaka kutindua wana tindua. Dunia hii ya sada information/data ni power,so huwezi kumpa mtu data zako akuhifazie ambaye,humjui,haujamfanyia vetting, wala ambaye hajala kiapo.

Wewe unafikiri hayo makampuni makubwa yalianza na kukimbia ghafla?Si walianza kwa kukaa,then wakasimama,wakatembea then wakakimbia. Wewe jiulize kwa nini Kompyuta ya kwanza ilikuwa kama kabati,je walishwa kutengeneza kama hizi tulizo nazo sasa?

Hivi unazania huko Kenya kwenye hayo makampuni makubwa ya IT,ambao wamefungua ofisi, unazani serikali imehost au kuiweka hiyo mifumo yao kwenye platforms zao? Ukiiona serikali imehost service kwenye hizo platforms, jua huo mfumo sio critical. Huwezi kuweka mfumo ambao ni critical kwenye clouds na hamna serikalini yoyote duniani inayofanya hivyo. Kenya wana taasisi yao kama eGa kwa ajili ya mifumo yao critical na watu wanayo itengeneza wamewafanyia vetting, wamewaapisha na still wanawafuatilia.

Msifanye masihala na taarifa nyeti za serikali.
umesema ukweli mtupu ,tusipowaamini vijana wetu tukawa tunaendekeza 10% tunaua innovation ya vijana wetu,leo hii mtu anadiriki kubeza mifumo kama ya GEPG kweli?
 
Wewe unahisi vetting za benk ni mchezo? Hasa mabenk makubwa kama NMB na CRDB? Wao wako more serious than government institutions elewa hivyo.Na moja ya sifa ya kufanya kazi benk ni kuwa na uwezo wa kutunza siri
Vetting za bank zinafanywa kwa kuangalia criteria zao, serikalini vetting zake zinafanyika kwa kuangalia usalama wa nchi kwa ujumla ,ukisema hata bank wana vetting mtu mwingine atasema hata waoaji hua wanafanya vetting.
Suala la msingi vetting inafanywa kwa kuangalia nini?
NMB ni kampuni binafsi inaweza kuajiri wanyarwanda ,waganda ,wakenya ,waingereza etc
huwezi kuachia kampuni yenye mlengo huu itengeneze mifumo inayohold taarifa za nchi nyeti namna hio.
majasusi wa nchi za kigeni wakitaka kuingilia mifumo yetu ya serikali wanakazi ndogo tu, wanahakikisha mtu wao ameajiriwa NMB basi , wanakua wameshatimiza lengo lao .
Watu hamna basics za kiusalama ndio maana mnajiandikia tu
 
Hawa mabank ambao kila siku wanapigwa na watu wao na hackers,hawawezi kukwambia sababu wanalinda reputation yao. Huwezi fananisha maslahi ya taifa na taasisi binafsi.Ndio maana mataifa mengine ukirelease taarifa nyeti wapo tayari mpaka kuua, ila taasisi binafsi hawafanyi hivyo.
Tena banks ndio zinapigwa sana na hawasemi ili wasikimbiwe na wana hisa wao, inasikitisha sana wanasiasa wanapoingilia masuala ya taaluma , Waziri wa TEHAMA ameamua makusudi kuua innovation serikalini
 
Yawezekana kuna gap la uelewa

Jukumu kuu la eGA ni nini?
uhakika nilio nao jukumu la NMB sio kutengeneza mifumo ya taasisi za serikali nchini, achilia mbali e-GA ana majukumu gani jambo ambalo liko wazi na linajulikana.
Yaani kama nchi tunaamua kukabidhi mifumo ya serikali kwa bank binafsi NMB ambayo inaweza kua na waajiriwa toka Rwanda ,kenya ,malawi ,marekani etc
haya mataifa yakitaka kufanya espionage kwenye taarifa za wananchi wetu ni suala la kuingiza mtu wao NMB basi work done .
Tuwaze kwa mafikirio zaidi mambo haya ,beyond web interafaces
 
Taasisi yoyote nyeti huwezi kuingia bila TISS kujilizisha na kukufanyia vetting, vp kuna Bank binafsi ambayo inafanyiwa vetting na TISS,kama ipo nitajie.
Bank hizi zinaajiri wanyarwanda,wakenya etc yaani waziri NAPE ameharibu sana na amefungua back door ya espionage kwenye mifumo ya nchi yetu
 
Unajua unacho kiongea Bro? Sometimes bora kukaa,kimya mfumo unaopitisha matilion ya shillingi ufananishe na mfumo wa final Yr project ya mwanafunzi wa chuo......?

Halafu sio GEPS ni GEPG.

uhakika nilio nao jukumu la NMB sio kutengeneza mifumo ya taasisi za serikali nchini, achilia mbali e-GA ana majukumu gani jambo ambalo liko wazi na linajulikana.
Yaani kama nchi tunaamua kukabidhi mifumo ya serikali kwa bank binafsi NMB ambayo inaweza kua na waajiriwa toka Rwanda ,kenya ,malawi ,marekani etc
haya mataifa yakitaka kufanya espionage kwenye taarifa za wananchi wetu ni suala la kuingiza mtu wao NMB basi work done .
Tuwaze kwa mafikirio zaidi mambo haya ,beyond web interafaces
hoja ni eGA kuhujumiwa…. Inahujumiwaje?

Ni kazi ya eGA kujenga mifumo?
 
Hujui unachokiongea?
yaani kisa ni NMB msign kuipa billions of money kutengeneza mifumo ambayo tayari ipo serikalini?
ESB ipo up and running pale e-GA ,unataka kutengeneza nyingine ili ugundue nini?
watu wanapiga hela mnaendekeza unazi
Hela inapigwaje? Maana mkataba ukitolewa si pesa inaingia NMB ambapo 40% ni hisa za serikali, bado 30% ni kodi ya Corporate sasa serikali inahujumiwaje au pesa zinapigwa vipi hapo?

Jenga hoja vizuri ueleweke
 
Back
Top Bottom