e-GA inahujumiwa

e-GA inahujumiwa

Hiyo 60% ni ya nani?
Inakua upigaji kama kazi haiendani na bei mnayopewa ila eti kulipa kampuni ikuundie mfumo inageukaje ufisadi?

Kuna mentality za ujamaa zinatutesa sana kwamba kuiba kampuni binafsi kazi ni ufisadi? Hamhoji ufanisi, ubora n.k as if kazi wakipewa taasisi ya serikali basi hawatoiba? e-Ga huko mbona ufanisi upo chini sana hata CAG alisema.

Tuache mawazo ya kizamani uchumi wa sasa ni private sector driven.
 
Bora utengeneze mifumo ya kuunga unga kupitia watu wako ambao watakua kidogo kidogo,kuliko kutumia mifumo ya nje, kwani hujui usalama wa data zako.Makampuni mengi makubwa serikali zao zina backdoor kwenye hizo taasisi,so wakitaka kutindua wana tindua. Dunia hii ya sada information/data ni power,so huwezi kumpa mtu data zako akuhifazie ambaye,humjui,haujamfanyia vetting, wala ambaye hajala kiapo.
Wewe utakuwa hata haulewi kitu unajaribu kujipambanua
Mifumo ya financial system iwe ya kuungaunga eehhh?
Hii hapa mifumo ya kuungaunga!

Wewe unafikiri hayo makampuni makubwa yalianza na kukimbia ghafla?Si walianza kwa kukaa,then wakasimama,wakatembea then wakakimbia. Wewe jiulize kwa nini Kompyuta ya kwanza ilikuwa kama kabati,je walishwa kutengeneza kama hizi tulizo nazo sasa?
Motiveshono spika au vipi?

Hivi unazania huko Kenya kwenye hayo makampuni makubwa ya IT,ambao wamefungua ofisi, unazani serikali imehost au kuiweka hiyo mifumo yao kwenye platforms zao? Ukiiona serikali imehost service kwenye hizo platforms, jua huo mfumo sio critical. Huwezi kuweka mfumo ambao ni critical kwenye clouds na hamna serikalini yoyote duniani inayofanya hivyo. Kenya wana taasisi yao kama eGa kwa ajili ya mifumo yao critical na watu wanayo itengeneza wamewafanyia vetting, wamewaapisha na still wanawafuatilia.
Unatokea pori gani?
 
NMB ni taasisi ya kifedha, inawezekana vipi wapewe kazi ya mifumo ya kielectronic wakati business line yao ni kudeal na fedha na sio technology.
Acha uongo kampuni za siku hizi zipo versatile hiyo hiyo NMB ndio benki pekee Tanzania yenye DATA CENTER unajua kazi yake? Ina host mpaka data za makampuni mengine, inafanya huduma za cybersecurity, cloud computing, Data Analytics etc.
Kumbuka mwenye hisa kubwa ndiye muamuzi mkuu, sasa serikali itaweza kusema nini kuhusu mambo yakienda tofauti?
Msajili wa hazina, PPF, NICOL zinaleta 40% ya hisa zote huku mzungu ana 34% so serikali iko at par na watu binafsi kwenye kumiliki hisa sasa kivipi haina sauti? Yaani 34 amzidi mwenye 40 kwa sauti? Are you serious?
Moja, tunaitaka NMB na SERIKALI watuwekee business license kwamba NMB pia wana deal na kuendesha biashara au huduma za kiteknilojia
Mbona inafanya kitambo tu wewe ndio hujui lolote. Na sio NMB tu hata hao DSTV tu hao wanafanya huduma za cloud computing, cyber security etc sema nyie laymen mnadhani wanafanya huduma za TV pekee? Jitahidi ujifunze mambo usiongee usiyoyajua.
Pili, mfumo wa ega unahusisha malipo na huduma mbalimbali kwa serikali, hivyo serikali ituhakikishie kuwa hakuna taarifa au malipo yatakayochepushwa kwenda NMB.
Ushamba unakusumbua tu, sasa kampuni ambayo serikali inaimiliki kwa 40% (hakuna mwenye hisa mwingine aliye na zaidi ya 34%) huiamini, utaiamini kampuni gani? Kwanini huwa mnadhani private sector ni wezi? Mbona CAG kila siku anasema serikalini ndio kuna majizi? Yaani unaamini watumishi wa umma ndio hawawezi vujisha taarifa? Kwamba ni malaika ila private sector ndio mashetani?

Nitafutie audited financia report yoyote ya NMB yenye discrepancy as compared to the unaudited report ili tuamini hawaaminiki? Na mimi ntakuletea hapa report ya performance audit ya CAG kuonyesha madudu ya e-Ga.
Tatu, sasa ni wakati wa ofisi ya CAG watumishi wake wachaguliwe hasa Chief officer asiteuliwe na rais ili awe huru kupitia na kukagua taasisi mbalimbali.
Once again you prove hujui lolote, katika taasisi ambazo zipo independent Tanzania ni NAO hasa ofisi ya CAG kwanza ndio taasisi pekee ambaye bajeti yake haipangwi na serikali inapangwa na kamati ya bunge. Pia CAG ana security of tenure walau ya miaka 5 so hawezi tumbuliwa before. Hakuna ofisi huru kuliko ya CAG. Kinachomzuia ni serikali kukataza baadhi ya votes kuwa audited kwa misingi ya "usiri" ila otherwise hana limitations na ofisi haijawahi kuogopa mtu.
Kuna mfumo wa malipo serikalini GePG hasa upande wa manunuzi ya umeme kuna wizi wa uchepushaji fedha za manunuzi ya umeme unafanyika huko, yaan ni kufuru huko hatari
Hehehhehe mimi nilidhani unapinga NMB kupewa tender kisa wataiba kumbe unakiri hata huko GePG kuna ufisadi? So ina maana hao watu wa e-Ga wamesindwa fanya encryption ya miamala?

Sasa nimeelewa, kelele zote ni sababu ulaji utaenda kwa wengine ila issue sio ufanisi wa e-Ga maana umeprove hata huko bado kuna ufisadi.
 
Wanaohujumu serikali ni wale wanaomiliki 60% ya hisa.
Hao 60% kuna makampuni na watu zaidi ya buku huko sasa watahujumu vipi wakati ni scattered? Ingekua 60% ni mwekezaji mmoja kweli kungekua na shida ila ni scattered mnoo to have a common goal na sio kila shareholder ana access na taarifa za benki wale wana hisa tu majority ni serikali so haiwezi ruhusu minor investors wajue chochote.
 
Bora utengeneze mifumo ya kuunga unga kupitia watu wako ambao watakua kidogo kidogo,kuliko kutumia mifumo ya nje, kwani hujui usalama wa data zako.Makampuni mengi makubwa serikali zao zina backdoor kwenye hizo taasisi,so wakitaka kutindua wana tindua. Dunia hii ya sada information/data ni power,so huwezi kumpa mtu data zako akuhifazie ambaye,humjui,haujamfanyia vetting, wala ambaye hajala kiapo.

Wewe unafikiri hayo makampuni makubwa yalianza na kukimbia ghafla?Si walianza kwa kukaa,then wakasimama,wakatembea then wakakimbia. Wewe jiulize kwa nini Kompyuta ya kwanza ilikuwa kama kabati,je walishwa kutengeneza kama hizi tulizo nazo sasa?

Hivi unazania huko Kenya kwenye hayo makampuni makubwa ya IT,ambao wamefungua ofisi, unazani serikali imehost au kuiweka hiyo mifumo yao kwenye platforms zao? Ukiiona serikali imehost service kwenye hizo platforms, jua huo mfumo sio critical. Huwezi kuweka mfumo ambao ni critical kwenye clouds na hamna serikalini yoyote duniani inayofanya hivyo. Kenya wana taasisi yao kama eGa kwa ajili ya mifumo yao critical na watu wanayo itengeneza wamewafanyia vetting, wamewaapisha na still wanawafuatilia.

Msifanye masihala na taarifa nyeti za serikali.
Uko very shallow
 
ili bidi iwe international competitive tender na iwe hadi 5 stage tender. Hapo wana deal na taarifa nyeti.
Hao wana joint venture na serikali tokea mwaka jana so it's not about competition ila ni collaboration.
e-GA | Habari

Kingine kama hauiamini kampuni ambayo serikali ni majority shareholder utaiamini kampuni ambayo ni 100% owned by foreigners?

Acha akili za ujamaa dunia imeshahama huko, kwanza hata JF tu haiwezi soma private texts sababu ya encryption ndio sembuse kampuni kubwa kama NMB iwe vulnerable kiasi hiko?

Kiufupi it's easier to breach data za TTCL kuliko Vodacom as it's easier to hack e-Ga than NMB!! competence private sector ni ten fold ya serikali
 
Inakua upigaji kama kazi haiendani na bei mnayopewa ila eti kulipa kampuni ikuundie mfumo inageukaje ufisadi?

Kuna mentality za ujamaa zinatutesa sana kwamba kuiba kampuni binafsi kazi ni ufisadi? Hamhoji ufanisi, ubora n.k as if kazi wakipewa taasisi ya serikali basi hawatoiba? e-Ga huko mbona ufanisi upo chini sana hata CAG alisema.

Tuache mawazo ya kizamani uchumi wa sasa ni private sector driven.
Sio kila kitu ushirikishe sekta binafsi, duniani kote wanapigana kupata taarifa za mataifa mengine. Sasa pata picha NMB kuna watu wa mataifa ya nje (Wazungu,Wakenya nk) then unawapa access ya mifumo yenye critical data ....... unazani watakuacha wewe au unazani wanakupenda na kumbuka NMB anafanya nao kazi kwa mkataba.Sasa mtu kama huyu baada ya mkataba wake kuisha ni rahisi kukuattack kwani anajua kila kitu kwenye mfumo wako ni kazi ya kuandika script/code na kuautomate na kuattack system yako.

Acheni siasa mpaka huku kuna siku mtajikuta taarifa zenu zote za ndani zipo nje.........

CAG kasema sababu ndio wajibu wake kutoa ripoti kwa raia, hivi ushasikia attack yoyote NMB? Unazani NMB hawawi attacked?Hawawezi kukuambia kama wamekuwa attacked sababu wana haribu reputation ya kampuni yao na kupoteza trust kwa wateja wao.Ila hizi bank zinapigwa sana kuliko taasisi yoyote ya serikali, sisi tulio kwenye hii industry tunaona na tunajua.

Husione taasisi kukomaa na kung'ang'ania watu wake wa ndani aliowaamini na kuwafanyia vetting sababu,anapunguza chance ya kuwa attacked.

Brother kwenye maswala ya Cybersecurity,mtu akijua configuration zako,Script/code, design ya network yako na kuona configuration zako umekwisha.
 
Sio kila kitu ushirikishe sekta binafsi, duniani kote wanapigana kupata taarifa za mataifa mengine. Sasa pata picha NMB kuna watu wa mataifa ya nje (Wazungu,Wakenya nk) then unawapa access ya mifumo yenye critical data ....... unazani watakuacha wewe au unazani wanakupenda na kumbuka NMB anafanya nao kazi kwa mkataba.Sasa mtu kama huyu baada ya mkataba wake kuisha ni rahisi kukuattack kwani anajua kila kitu kwenye mfumo wako ni kazi ya kuandika script/code na kuautomate na kuattack system yako.
Unaongea nini mkuu? Serikali ni among the two major shareholders in fact hisa za Serikali ni nyingi sasa kivipi unasema atazungukwa? Au nani kakudanganya wanahisa wanaruhusiwa kupatiwa taarifa za kampuni? Ownership and management is separated so hamna namna shareholder anaweza access private data za benki unless awe major shareholder kama serikali?
mkataba.Sasa mtu kama huyu baada ya mkataba wake kuisha ni rahisi kukuattack kwani anajua kila kitu kwenye mfumo wako ni kazi ya kuandika script/code na kuautomate na kuattack system yako.
Hiyo ni zamani, siku hizi mechanisms za data control ni nyingi mnoo kiasi kwamba hata mfanyakazi hana access na taarifa kadhaa za benki unless awe senior position tena kuwepo na two step verification ambazo serikali naye ni beneficiary sababu ana majority shares.
CAG kasema sababu ndio wajibu wake kutoa ripoti kwa raia
Sasa kama e-Ga wako vulnerable kinachofanya mlazimishe wafanye hiyo kazi ni nini? Yaani mnakiri Gepg iko vulnerable to cyber attacks and breach ila bado mnapinga NMB wasipewe kazi? Sasa mnachotaka ni tuendelee kupigwa kupitia GepG au mnataka ufanisi? Maana sijaelewa hoja yenu ni nini?

Kama issue ni wageni mnahofia, mbona hawa hawa raia wa Tanzania ndio kila siku ripoti ya CAG inasema ni majizi? Kwanini usiamini hata raia akipewa hiyo kazi bado anaweza uza hizo siri akipewa pesa? Nadhani umesikia kashfa ya TPA walipewa pesa kutoa tender ya kifisadi ili wapewe mfumo! So either way wizi wa taarifa unaweza fanyika is not like alternative ya NMB ni hap eGa ambao ni majizi zaidi according to CAG

Husione taasisi kukomaa na kung'ang'ania watu wake wa ndani aliowaamini na kuwafanyia vetting sababu,anapunguza chance ya kuwa attacked.
Vetting ipi? Kwani kila mwaka CAG anapoonesha ufisadi kwenye taasisi nyeti je hawafanyiwi vetting? Hata huko eGa CAG kaonyesha madudu ya mfumo mpaka huko GepG na mifumo mingine ya wizarani. Sasa mnaowatetea naomba msome hii ripoti kwa utulivu alafu mje kusema NMB are worse.

Screenshot_20240127_192001_Chrome.jpg

Kumbe hata control hawana hao eGa!! very incompetent ila bado watu wanakosoa NMB kupewa kazi.

Ni sawa na sasa ambapo halmashauri zimeshindwa kutoa mikopo ile ya asilimia 10 ila siku NMB wakipewa hiyo kazi kusimamia mikopo utashangaa mapovu kibao.
 
Unaongea nini mkuu? Serikali ni among the two major shareholders in fact hisa za Serikali ni nyingi sasa kivipi unasema atazungukwa? Au nani kakudanganya wanahisa wanaruhusiwa kupatiwa taarifa za kampuni? Ownership and management is separated so hamna namna shareholder anaweza access private data za benki unless awe major shareholder kama serikali?
Hiyo ni zamani, siku hizi mechanisms za data control ni nyingi mnoo kiasi kwamba hata mfanyakazi hana access na taarifa kadhaa za benki unless awe senior position tena kuwepo na two step verification ambazo serikali naye ni beneficiary sababu ana majority shares.

Sasa kama e-Ga wako vulnerable kinachofanya mlazimishe wafanye hiyo kazi ni nini? Yaani mnakiri Gepg iko vulnerable to cyber attacks and breach ila bado mnapinga NMB wasipewe kazi? Sasa mnachotaka ni tuendelee kupigwa kupitia GepG au mnataka ufanisi? Maana sijaelewa hoja yenu ni nini?

Kama issue ni wageni mnahofia, mbona hawa hawa raia wa Tanzania ndio kila siku ripoti ya CAG inasema ni majizi? Kwanini usiamini hata raia akipewa hiyo kazi bado anaweza uza hizo siri akipewa pesa? Nadhani umesikia kashfa ya TPA walipewa pesa kutoa tender ya kifisadi ili wapewe mfumo! So either way wizi wa taarifa unaweza fanyika is not like alternative ya NMB ni hap eGa ambao ni majizi zaidi according to CAG

Vetting ipi? Kwani kila mwaka CAG anapoonesha ufisadi kwenye taasisi nyeti je hawafanyiwi vetting? Hata huko eGa CAG kaonyesha madudu ya mfumo mpaka huko GepG na mifumo mingine ya wizarani. Sasa mnaowatetea naomba msome hii ripoti kwa utulivu alafu mje kusema NMB are worse.

Sasa mwanahisa tokea lini akapewa code,configuration mimi na zungumzia wafanyakazi wa nje wanaofanya kazi NMB, wenye access na mifumo na network ya NMB ambao wanafanya kazi kwa mikataba (Technical Part)...... hivi unajua ramsomware attack? Halafu akuache baada ya mkataba wake kuisha wakati chocho zote anazijua.......

Niletee audit report ya NMB upande wa IT....... kama haipo ushajiuliza why hawaiweki hadharani?Wewe najua hutaki na siasa umezijaza kichwani,ila bank zote zinapigwa kila siku na wewe huwezi jua na hautokuja kujua, sababu taarifa zake haziendi public. Kuna taasisi naijua nishafanya nayo kazi 2019,network/mifumo yao ipo chini ya wahindi ila walipigwa na Ramsomware attack wakalipa hela ndefu.

Hivi source kuu ya Cybersecurity attack unazijua ?

Unaijua Ramsomware Attack,White and black hat wanavyo fanya kazi ........?

Hivi ushawahi kuingia kwenye device yoyote ile server,storage au any network device.....au hata kudisplay "hello world... " kwa kitumia programing language yoyote ?

Naona kama naongea na wanasiasa,kwani nazani hutonielewa.

Vitu vingine ukikaa kimya hupungukiwi kitu, ila duniani halipo taifa linalo wapa watu wasio waamini mifumo yao na network yao halipo taifa hilo na hamna tasisi yyt ambayo haijawa attacked kama sio leo basi kesho.

CIA,FBI, MOSSAD nk washapigwa, pamoja wamewaajili watu wanao wajua na walio wafanyia vetting.
 
Inasikitisha sana, hapo utakuta rais mwenye keshapewa 10% yake wala hana habari!

NB: Unashangaa hilo? Kuna kipindi TANESCO walinunua mfumo india kwa mabilioni wakati eGA wangeweza fanya hiyo kazi.

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
EGA kwani kuna watu wanaweza andika ERP? Acheni masiala kwenye mambo serious. Ile Control number ya malipo msijifanye ya kwenu kama mluvyotudanganya wakati wa Magufuli!! Ile control number ni kazi ya Max Malipo, mlitumia ubabe tu kuwanyang'anya.

Hata hiyo hiyo procurement mnayoianzisha mumekopi tu kwa ile ya Korea
 
hoja ni eGA kuhujumiwa…. Inahujumiwaje?

Ni kazi ya eGA kujenga mifumo?
Rushwa hupofusha ,unaanza kuuliza kazi za e-GA leo?
unaona ni sawa namna mifumo ya serikali yenye siri za nchi kuanza kugawiwa kwa sekta binafsi tena bank ,bora ingekua kampuni ambayo kazi yake ni kutengeneza mifumo na sio bank ambao kazi yao ya msingi sio utengenezaji wa mifumo.
Ujue ninaposoma namna unavyo justfy NMB kupewa tender napata hasira sana,rushwa hupofusha
Leo NMB kesho CRDB akipewa reliability ya usiri inaishia wapi?
watu mna comment kama mmekatwa vichwa
 
EGA kwani kuna watu wanaweza andika ERP? Acheni masiala kwenye mambo serious. Ile Control number ya malipo msijifanye ya kwenu kama mluvyotudanganya wakati wa Magufuli!! Ile control number ni kazi ya Max Malipo, mlitumia ubabe tu kuwanyang'anya.

Hata hiyo hiyo procurement mnayoianzisha mumekopi tu kwa ile ya Korea
unaijua ERMS?
huenda unasema hayo kwa kua huna uzoefu wa mifumo ya serikalini
mfumo wa ERMS umetengenezwa na e-GA 100% ambao ni ERP pure.
Procurement system imetengenezwa na e-GA , single window ya bandari imetengenezwa na e-GA etc na etc.
Leo kuna watu huko TRA wamefanya kama hawa wizara ya TEHAMA.
TRA wameleta wakorea kufanya mfumo ambao upo tayari ,yaani nchi hii watu wanagawana keki bila aibu .
wakishagawana wanawatuma ninyi kuja kujamba huku
 
Back
Top Bottom