Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa anaye uza cd za ps3 nicheki 0655250080
Naitaji fifa na GTA au kama unazo nyingine nzuri nijulishe...
Nicheki 0655250080
mkuu niko vizuri sana EA
mkuu ebu nipe vionjo vya hitman maana huwa naisikia tu na kuna jamaa yangu anayo yaani kama kesho niifungie safari yaan
mkuu hiyo bado!mi nmecheza code name47,hitman 2:silent assassin.natafuta blood money na contract then absolution hii ndo nna hamu nayo sana!
ni action game ambayo wewe unacheza kama assasin unapewa targets kadhaa na information zao na story yote kuhusu hyo mission halaf unafanya kazi...
nimekusoma mkuu
Ni challenging game
kwa upande wa PS2 EA SPORT (FIFA) hamna kitu ila KONAMI (PES) bhana ndo mpango mzima. Na misheni huwa nacheza kidogo ila sijajua ile game ya MID NIGHT CAR RACING ametengeneza nani.
ni action game ambayo wewe unacheza kama assasin unapewa targets kadhaa na information zao na story yote kuhusu hyo mission halaf unafanya kazi...
Mkuu inaonekana mission ndo mpango mzima sema mimi huwa napata tabu kukalili cheat za hizo games za mission. Ndo maana naamua kucheza MPIRA na BASKETBALL kwa mbali huwa najaribu ile GOD OF WAR
God of war nimecheza 1 na 2 tatu sijapata muda
na zote nimemaliza
sikuwa peke yangu unatakiwa ufikirie sana ni ngumu wengi wameisusa
mkuu kuna mission moja hivi ya tracking HAYAMOTO kwenye hitman 2 ilinitoa kijasho aisee!
God of war nimecheza 1 na 2 tatu sijapata muda
na zote nimemaliza
sikuwa peke yangu unatakiwa ufikirie sana ni ngumu wengi wameisusa