EA Sports vs Konami Video Games

EA Sports vs Konami Video Games

Naitaji fifa na GTA au kama unazo nyingine nzuri nijulishe...
 
mkuu ebu nipe vionjo vya hitman maana huwa naisikia tu na kuna jamaa yangu anayo yaani kama kesho niifungie safari yaan

ni action game ambayo wewe unacheza kama assasin unapewa targets kadhaa na information zao na story yote kuhusu hyo mission halaf unafanya kazi...
 
mkuu hiyo bado!mi nmecheza code name47,hitman 2:silent assassin.natafuta blood money na contract then absolution hii ndo nna hamu nayo sana!

hitman go bado hawajarelease kwa device nyingine kama pc, ps na xbox,, ipo kwenye simu na tablets...
 
kwa upande wa PS2 EA SPORT (FIFA) hamna kitu ila KONAMI (PES) bhana ndo mpango mzima. Na misheni huwa nacheza kidogo ila sijajua ile game ya MID NIGHT CAR RACING ametengeneza nani.

Inaitwa MIDNIGHT CLUB
hii game nimecheza 1 2 3 na 3dub edition

Ndio game bora ya magari kisha inafuata Most wanted need for speed
 
ni action game ambayo wewe unacheza kama assasin unapewa targets kadhaa na information zao na story yote kuhusu hyo mission halaf unafanya kazi...

mkuu kuna mission moja hivi ya tracking HAYAMOTO kwenye hitman 2 ilinitoa kijasho aisee!
 
Mkuu inaonekana mission ndo mpango mzima sema mimi huwa napata tabu kukalili cheat za hizo games za mission. Ndo maana naamua kucheza MPIRA na BASKETBALL kwa mbali huwa najaribu ile GOD OF WAR

God of war nimecheza 1 na 2 tatu sijapata muda
na zote nimemaliza
sikuwa peke yangu unatakiwa ufikirie sana ni ngumu wengi wameisusa
 
God of war nimecheza 1 na 2 tatu sijapata muda
na zote nimemaliza
sikuwa peke yangu unatakiwa ufikirie sana ni ngumu wengi wameisusa

ugumu ndo kipimo cha kujua ila kuna ile IGI nayo tamu ile mkuu ila mission zake ndo nouma kweli yani
 
God of war nimecheza 1 na 2 tatu sijapata muda
na zote nimemaliza
sikuwa peke yangu unatakiwa ufikirie sana ni ngumu wengi wameisusa

ka unanshawishi vile mkuu nitaijaribu!ila kuna hii ya assassin creeds natamani sana nije kuicheza!
 
mi naona KOnami walikuwa pioneers zaidi tangu enzi zile za Nintendo pads
ila Ea wamekuja advanced graphically.habari ya uhalisia
ni ngumuu sana wadau mkumbuke hizi game sio 3D animation movies..
But Kudos to all of them..at least walifanya maisha yawe na fun zaidi kwa watu tusiokuwa
outdoor sports oriented..
 
Back
Top Bottom