Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Kwa kweli huyu jamaa kwa EA nimegundua ni underrated sanaaa.
Hii ni baada ya kusikia ngoma yake ambayo imeingia kwenye chati zilizotoka juzi za sound city.
Imeingia kama wimbo bora kwa muongo mmoja kwa EA sambamba na Diamond alieingiza nyimbo 2
Hii ngoma ni kama zouk moja hivi matata sana.
Otile amemshirikisha meddy kwenye wimbo huo ambapo huyu mnyarwanda ndo kaubeba wimbo sababu alianza na verse ya kwanza ngumu sana.
Otile ana kipaji