Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
- Thread starter
- #41
Mmmh mkuu kwamba otile.nyimbo yake nzuri ni hiyo tu?Umemaliza vema kwa kukiri kuwa ngoma imebebwa na Meddy, huo ndo ukweli japo sijasikiliza huo wimbo.
Otile nilipenda wimbo wake mmoja tu, Chaguo la Moyo... ambao pia ungeweza kusema ulibebwa na Sanaipei!
Mbona lakini chaguo la moyo aliimba vizuri mwanzo?