Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Hahaha!!! Wakenya bwana. Tumeiona pro. Lakini hazifanyiki hivyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kweli huyu jamaa kwa EA nimegundua ni underrated sanaaa.
Hii ni baada ya kusikia ngoma yake ambayo imeingia kwenye chati zilizotoka juzi za sound city..
Imeingia kama wimbo bora kwa muongo mmoja kwa EA sambamba na Diamond alieingiza nyimbo 2
Hii ngoma ni kama zouk moja hivi matata sana .
Otile amemshirikisha meddy kwenye wimbo huo ambapo huyu mnyarwanda ndo kaubeba wimbo sababu alianza na verse ya kwanza ngumu sana ..
Otile ana kipaji
Vera sidika sioYupo vizuri alizingua alipoleta FUTUHI zake na lile demu lidangaji.
Kweli kabisa aseehOtile n jembe Sana jaman jamaa hakosei
Kwenye nyimbo zake ameua Sana
Hasa "Aiyana, na baby love"
Nyimbo tamu Sana hiz
Mafisi mnajulikana tuKwenye nyimbo zake zote Otile,
Napenda Sana video ya Hi.
Hasa hasa Yule binti anavyocheza[emoji39]
Hakika unamjua vizuriOtile anajua kichizi..nyimbo zake zimetulia sana za taratibu flani hivi,
1:Aiyana ft Sanaipei Tande
2:Hi
3:Mapenzi hisia
4:Tamu sana ft Shetta
5:Mungu wetu sote
6:Baby love
7😀usuma
8:Regina
9:Kistaarabu
10:Samantha,,sema hii Samantha inafanana na African Beauty ya Chibu kila kitu ispokua video
Mbuzi nan mkenya?Hahaha!!! Wakenya bwana. Tumeiona pro. Lakini hazifanyiki hivyo.
Huwa siongei na mbwa huwa naongea na mwenye mbwa.Mbuzi nan mkenya?
Hakufikii wewe kwa kuimbaLabda
Hapo sawaHakufikii wewe kwa kuimba
Jamaaa ni fundi aisee , talented Sana huyo mwambaVery true... Sema ni vile wakenya sio watu wanaopenda nyimbo za kubembeleza sana. Otile ni fundi sana aiseee... Ila mimi katika nyimbo zake zote naipenda sana ile ya "Mapenzi hisia"
Kwenye code kwa kweli ana style ya kipekee sana kabisa ...sio ya kihuni kama unavyosema mkuu.Otile is the best of the best kwa upande wangu,sina nyimbo yake mbaya masikioni mwangu....
hiyo haitoshi otile ana code flani za mavazi,bwana weee mimi ni nani nisimuige ana pigo flani....
ukivaa sio za kihuni wala sio za kibaba paroko yani code universal,90% ya code zangu nmem copy jamaa asee.....
huyu kiumbe anajua sana kwangu mimi ni maana halisi ya mwanamuziki wangu pendwa,kizuri kisemwe aseee.....
Very true... Sema ni vile wakenya sio watu wanaopenda nyimbo za kubembeleza sana. Otile ni fundi sana aiseee... Ila mimi katika nyimbo zake zote naipenda sana ile ya "Mapenzi hisia"
Hii ngoma ni kama zouk moja hivi matata sana .
Otile amemshirikisha meddy kwenye wimbo huo ambapo huyu mnyarwanda ndo kaubeba wimbo sababu alianza na verse ya kwanza ngumu sana ..
Otile ana kipaji