East Africa hapa hakuna wa kumfikia Otile kwenye muziki wa RnB

East Africa hapa hakuna wa kumfikia Otile kwenye muziki wa RnB

Kiukweli nikitaka kusikiliza muziki wa ladha ya kisasa otile ananimalizia mb zangu Sana siku hizi,,jamaa anajua Safi sana
 
Kwa kweli huyu jamaa kwa EA nimegundua ni underrated sanaaa.

Hii ni baada ya kusikia ngoma yake ambayo imeingia kwenye chati zilizotoka juzi za sound city..

Imeingia kama wimbo bora kwa muongo mmoja kwa EA sambamba na Diamond alieingiza nyimbo 2

Hii ngoma ni kama zouk moja hivi matata sana .
Otile amemshirikisha meddy kwenye wimbo huo ambapo huyu mnyarwanda ndo kaubeba wimbo sababu alianza na verse ya kwanza ngumu sana ..

Otile ana kipaji
Anajua sn,ila tu hapewi sifa zake. Km wimbo wake wa woman alonshirika harmonize nao ni mzuri saaaana
 
Back
Top Bottom