Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Wao wanapenda zile za Fukuza mapepo na dawa ya moto.Very true... Sema ni vile wakenya sio watu wanaopenda nyimbo za kubembeleza sana. Otile ni fundi sana aiseee... Ila mimi katika nyimbo zake zote naipenda sana ile ya "Mapenzi hisia"
Duh umetisha kiongozi lakini jamaa kama vile anachukuliwa poa sanaNamsikiliza sana Otile..jamaa anajua
Baby Love
Yule Mbaya
Kistaarabu
Vera
Crush
Aje anione
Samantha
Niacheni
Yaani yote ni mawe..
SanaaSanaaaa mkuu ila tuseme ukweli pale meddy ndo kaua sana kutokana na verse ya kwanza ilivyokuwa ngumu kuanza nayo.Dusuma X Meddy ni bonge la pini..
Otile anaimba Rnb kubwa sana.
Ntaitafuta hiyooo yaani jamaa hakoseagi huyuAchana na hyo ana ngoma yake ya kitambo inaitwa "kistaarab" ni balaa yule jamaa ila haimbwiimbwi sana sijui kwa kua si mtu wa matukiotukio
Kweli ndugu yangu wao wanapenda zile za utawezana na fukuza mapepo.Mimi ungeniuliza mwanamuziki wa Kenya namu admire zaidi obviously ningemtaja Otile Brown,
Mshkaji hanaga nyimbo inayoitwa mbaya, ila ndugu zetu siwaelewi sijui wanapenda nini, nahisi hapati support anayo deserve..!!
Hiyo dusuma nimeikariri namuimbia mama peter hapa anasema tufunge ndoa Mara ya pili mpkaMimi ungeniuliza mwanamuziki wa Kenya namu admire zaidi obviously ningemtaja Otile Brown,
Mshkaji hanaga nyimbo inayoitwa mbaya, ila ndugu zetu siwaelewi sijui wanapenda nini, nahisi hapati support anayo deserve..!!
Ni sawa ni diamond waoWakenya wanamwita Otile Brown ni Diamond wanna be, kwahiyo mkae mkijua hizi mambo ziko nchi zote sio Bongo tu.
Ni sawa ni diamond wao
Kweli kila mtu na taste yake.Kwa kweli huyu jamaa kwa EA nimegundua ni underrated sanaaa.
Hii ni baada ya kusikia ngoma yake ambayo imeingia kwenye chati zilizotoka juzi za sound city..
Imeingia kama wimbo bora kwa muongo mmoja kwa EA sambamba na Diamond alieingiza nyimbo 2
Hii ngoma ni kama zouk moja hivi matata sana .
Otile amemshirikisha meddy kwenye wimbo huo ambapo huyu mnyarwanda ndo kaubeba wimbo sababu alianza na verse ya kwanza ngumu sana ..
Otile ana kipaji
Muziki wa sasa siyo kipaji mkuu, ni connection.Huyu unayemzungumzia ngoma zake zinapenya bongo wakati hao kina nuhu wapo dsm na wanashindwa fanya maajabu.
Tafuta wimbo wake unaitwa chaguo la moyo .[emoji1666]
Sk hizi mwimbo ku "hit" si lazima sana uwe na ubora. Kuna vigezo vitatu.Kwa kweli huyu jamaa kwa EA nimegundua ni underrated sanaaa.