East Africa hapa hakuna wa kumfikia Otile kwenye muziki wa RnB

Umemaliza vema kwa kukiri kuwa ngoma imebebwa na Meddy, huo ndo ukweli japo sijasikiliza huo wimbo.

Otile nilipenda wimbo wake mmoja tu, Chaguo la Moyo... ambao pia ungeweza kusema ulibebwa na Sanaipei!
Mmmh mkuu kwamba otile.nyimbo yake nzuri ni hiyo tu?

Mbona lakini chaguo la moyo aliimba vizuri mwanzo?
 
Kati ya Meddy na Otile, we unampa nani?
Kwa hii dusuma ..
Meddy 98%
Ob 60%
Hivi meddy alijifunzia muziki wapi?
Jamaa habahatishi yaani anazijua nota vizuri sana ..

Halafu anaonekana hazijui shida wakishua
 
Kwa hii dusuma ..
Meddy 98%
Ob 60%
Hivi meddy alijifunzia muziki wapi?
Jamaa habahatishi yaani anazijua nota vizuri sana ..

Halafu anaonekana hazijui shida wakishua

[emoji3][emoji3][emoji3] Basi rudi juu uhariri uzi wako, japo hizo 'percent' zako ni utata... Meddy ni namba nyingine overall ukiacha hiyo kolabo yao.
 
Acha zako wewe , unamjua kijana toka Rwanda wewe ? , anaitwa Meddy ?
 
[emoji3][emoji3][emoji3] Basi rudi juu uhariri uzi wako, japo hizo 'percent' zako ni utata... Meddy ni namba nyingine overall ukiacha hiyo kolabo yao.
Otile ana ngoma nyingi Kali sio hiyo tu
 
Usimfananishe Meddy na Otile. Otile ni kama Brown Mauzo, hakuna wasanii pale ni wayza sura tu.

Ni kama leo kibongobongo waanze kuimba kina Kusa na Calisah
Hahhahah wewe jamaa toka mchana naona umelewa bado .

Nimecheka sanaa calisa?
 
Kesho anatoa goma lake na king kiba.
 
Kwenye code kwa kweli ana style ya kipekee sana kabisa ...sio ya kihuni kama unavyosema mkuu.

Huwa ukisema kitu ujue kweli ni kitu .
Hebu sindikiza na kapicha kaka



ongezea na hiii kidogo




gusia na hii kidogo








Unaona hizo code, anavaa mavazi flani hata ukikutana na mchungaji wako wakanisani huwezi mkimbia kwa ulivyovaaa,sio hawa wengine wanavaa manguo yamechanika chanika,suruali sio suruali taiti sio taiti halafu et ndio wasaniii..

Angalia code za huyu kijana au angalia wimbo wake wa mapenzi hisia utajua naongelea nini,fatilia tu video za nyimbo zake huwezi kukutana na nguo za ovyo ovyo kulinganisha na hawa wasaniii wengine.

Mimi sivai out of otile Code,napitaga humo humo anapopita kimavazi aseee akisifiwa tusifiwe wote atasifiwaje peke ake ariff wakat anachovaa nakimudu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…