Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
- Thread starter
-
- #61
Wanaume tuzimike na muonekano wake?Otile ni wa kawaida tu kiuimbaji labda kama mnazimika na muonekano wake, kwa upande wangu naona ana nyimbo kama tatu hivi nzuri.
Samahani...Wanaume tuzimike na muonekano wake?
Tutake radhi
Binti kiziwi nakupendag sana mpole mnooSamahani...
😀😀 hapana mi si mpole. Asante kwa kunipenda, nakupenda pia.Binti kiziwi nakupendag sana mpole mnoo
Kwa Vile ni mkenya wacha apewesifa.. Anajitahidi kuimba Kiswahili fasaha...Otile ni wa kawaida tu kiuimbaji labda kama mnazimika na muonekano wake, kwa upande wangu naona ana nyimbo kama tatu hivi nzuri.
Hatari sanaEeh bwana nimeiskia saizi aseeh ni pini
Aseeh kiba na otile ni motoo
Hahah et hapo sawa!!Daah nimecheka kinyamaHapo sawa
Dusuma ni hatari na nusuuOtile ni noumaaaà "Dusuma" Hata aloshirikishwa na Jux "Regina"
Anajua sn,ila tu hapewi sifa zake. Km wimbo wake wa woman alonshirika harmonize nao ni mzuri saaaanaKwa kweli huyu jamaa kwa EA nimegundua ni underrated sanaaa.
Hii ni baada ya kusikia ngoma yake ambayo imeingia kwenye chati zilizotoka juzi za sound city..
Imeingia kama wimbo bora kwa muongo mmoja kwa EA sambamba na Diamond alieingiza nyimbo 2
Hii ngoma ni kama zouk moja hivi matata sana .
Otile amemshirikisha meddy kwenye wimbo huo ambapo huyu mnyarwanda ndo kaubeba wimbo sababu alianza na verse ya kwanza ngumu sana ..
Otile ana kipaji