Tripple Jay
JF-Expert Member
- Jul 9, 2017
- 1,012
- 1,939
Itakua wanaijua ila hawamjui muimbaji, otile anajua bwana"Such kind of Love" hivi hii ngoma hamuijui au??
Jamaa mpambanajiKwa kweli huyu jamaa kwa EA nimegundua ni underrated sanaaa.
Hii ni baada ya kusikia ngoma yake ambayo imeingia kwenye chati zilizotoka juzi za sound city..
Imeingia kama wimbo bora kwa muongo mmoja kwa EA sambamba na Diamond alieingiza nyimbo 2
Hii ngoma ni kama zouk moja hivi matata sana .
Otile amemshirikisha meddy kwenye wimbo huo ambapo huyu mnyarwanda ndo kaubeba wimbo sababu alianza na verse ya kwanza ngumu sana ..
Otile ana kipaji
King kaka au sio.πΎππππ πππ’πππ πππ π’πππ πππππ,
ππ πΊπππ π’πππ πππππ ππππ πππππ.