East African Federation (EAF) public Views

Chinga
unatumia nguvu nyingi mno kupotosha na kujaribu kumkatisha tamaa Mnyika.CHADEMA si chama cha Mbowe wala mtei ni taasisi ya umma. Kuna wimbi kubwa mno la vijana makini wanakwenda CHADEMA na wataendelea kwenda.

Ni vizuri ukaendelee kuanika udhaifu wa CHADEMA kama ambavyo wengine wanafanya kwa CCM,ila fanya hivyo kwa ufasaha na hoja na sio mihemko.
 
chinga ninasikitika kwamba wewe nia yako no kumkatisha tamaa huyu kijana...ninajua kuwa huyu kijana anachukua BBA kwani ina ubaya gani na ameichagua mwenyewe,...pia zaidi ya kuwa chadema ni coodinator wa NGO moja ya vijana ya kimataifa.

Lazima tuwe na watu mstari wa mbele...sana sana ukiendelea na tabia yako ya kujadili personel badala ya issue utasababisha watu ambao wangetoa changamoto kwenye bodi wakate tamaa kuja barazani.
 
Huyu chinga anaonekana ana jazba. Lakini ukisoma vizuri kuna hoja katika maandiko yake japkuwa baadhi ya hoja zake (ukweli) zinachoma na kuumiza!
 
Eric
natumia nguvu kueleza ukweli na kuwaweka sawa vijana.maana wamevamia tu mkumbo bila kujua gari walilopanda linaelekea wapi?

Mikael
wanaosoma BBA part time. ni kozi maalum kwa watu wazima tena walio makazini na walikosa fursa hiyo.wengi wa wanafunzi wana familia na majukumu mazito, jee Mnyika anaingia humu? yeye aliingia kwenye kozi hiyo baada ya kukosa ushauri kama wangu.

Tuchukulie mfano wa baba wa taifa aliingia kwanza shule na hata akina mzee sykes walikuwa wana mfuata pale pugu sekondari na kumuingiza kwenye chama na hata Dossa Azizi alikuwa akitumia gari yake kumfuata kule pugu.

Mkapa naye kamaliza shule makelele ndiyo akaingia kwenye chama na siasa, hapo alitoa mchango wake kwa nguvu zote.
Kikwete- kamaliza shule ndio akaingia full music kwenye siasa.
Kwa kuthibitisha hili tizama wanasiasa wafuatao walivyo kwama kwa kukosa elimu.

Sumaye- aliomba urais huku akiwa hana confidence ya elimu na baadae akaja kugundua hilo hatimaye ameingia darasa,Mnyika Fikiria sumaye amekwiba kila kona, amechukuwa kila wanawake,ame deport masheikh lakini nafsi yake imesuta kuwa ana kosa elimu,
Mrema naye aliingia kwenye siasa bila elimu alikuja kukiri anakosa kitu hicho na akajaribu kununua cheti.

Mwingine mwenyekiti wako(mkwe wa Mtei)
yeye amekomba benki kuu na anamiliki club bilicanas ambapo dada zetu wana ukwaa ukimwi tu pale kila siku, ana pesa ya kula hadi anakufa ila ameona kuwa elimu ina thamani kubwa,na hata akiongea na watu linapokuja suala la elimu anakuwa mnyonge sana,
akisafiri inabidi awe na mkalimani hata mikutano ya conservative anapohudhuria inabidi afanyiwe special arrangment(Mkalimani)
sasa inakuwaje wewe unaanza kwenye siasa wakati wenzako walioanza huku wame proof vice versa.

MWANASIASA
Hata wewe mwanasiasa ktk harakati zako za kisiasa, uliweka mkazo kwenye elimu kwanza, na hata siasa ni matokeo ya safari yako ya kutafuta elimu, bila elimu hii NGO isingekujua, na hata uongozi wako pale Daruso ni kutokana na elimu, na hatimaye umekula digrii 2 pale Udsm na sasa unacheza na phd, kweli wewe hujui thamani ya elimu? na unashindwa kumshauri mtoto juu jambo hilo?

Mwanasiasa tunakutegea sana, otherwise tutakuhukumu kama Malecela alivyomshauri vibaya mzee mwinyi,
Mwanasiasa elimu haina mbadala wake na haina cha kufanana nacho.Hata Mnyika angekuwa ccm bado ningeshauri aende shule. au Mwanasiasa una roho mbaya unataka uwe msomi pekee yako huko kwenye sacoss(chadema).

Mnyika
OBASANJO naye anarudi shule mwakani. zingatia wenzako waliona siasa mali kuliko elimu, imekuwa tofauti na wanajuta,
kasome shule ua maana na mambo ya katibu wa NGO ya kimataifa waachie akina mama Mkapa, tena wameingia huko baada ya shule.
Mnyika huu ushauri wangu utaukumbuka sana.achana na hawa akina Mwanasiasa wanataka kukutumia kama daraja kwenye Saccoss yao.wao wanakula book sasa hivi.

pls give a second thought my advice.
 
Eric
natumia nguvu kueleza ukweli na kuwaweka sawa vijana.maana wamevamia tu mkumbo bila kujua gari walilopanda linaelekea wapi?

Mikael
wanaosoma BBA part time. ni kozi maalum kwa watu wazima tena walio makazini na walikosa fursa hiyo.wengi wa wanafunzi wana familia na majukumu mazito, jee Mnyika anaingia humu? yeye aliingia kwenye kozi hiyo baada ya kukosa ushauri kama wangu.

Tuchukulie mfano wa baba wa taifa aliingia kwanza shule na hata akina mzee sykes walikuwa wana mfuata pale pugu sekondari na kumuingiza kwenye chama na hata Dossa Azizi alikuwa akitumia gari yake kumfuata kule pugu.

Mkapa naye kamaliza shule makelele ndiyo akaingia kwenye chama na siasa, hapo alitoa mchango wake kwa nguvu zote.
Kikwete- kamaliza shule ndio akaingia full music kwenye siasa.
Kwa kuthibitisha hili tizama wanasiasa wafuatao walivyo kwama kwa kukosa elimu.

Sumaye- aliomba urais huku akiwa hana confidence ya elimu na baadae akaja kugundua hilo hatimaye ameingia darasa,Mnyika Fikiria sumaye amekwiba kila kona, amechukuwa kila wanawake,ame deport masheikh lakini nafsi yake imesuta kuwa ana kosa elimu,
Mrema naye aliingia kwenye siasa bila elimu alikuja kukiri anakosa kitu hicho na akajaribu kununua cheti,

Mwingine mwenyekiti wako(mkwe wa Mtei)
yeye amekomba benki kuu na anamiliki club bilicanas ambapo dada zetu wana ukwaa ukimwi tu pale kila siku, ana pesa ya kula hadi anakufa ila ameona kuwa elimu ina thamani kubwa,na hata akiongea na watu linapokuja suala la elimu anakuwa mnyonge sana,
akisafiri inabidi awe na mkalimani hata mikutano ya conservative anapohudhuria inabidi afanyiwe special arrangment(Mkalimani)
sasa inakuwaje wewe unaanza kwenye siasa wakati wenzako walioanza huku wame proof vice versa.

MWANASIASA
Hata wewe mwanasiasa ktk harakati zako za kisiasa, uliweka mkazo kwenye elimu kwanza, na hata siasa ni matokeo ya safari yako ya kutafuta elimu, bila elimu hii NGO isingekujua, na hata uongozi wako pale Daruso ni kutokana na elimu,

na hatimaye umekula digrii 2 pale Udsm na sasa unacheza na phd, kweli wewe hujui thamani ya elimu? na unashindwa kumshauri mtoto juu jambo hilo?
Mwanasiasa tunakutegea sana, otherwise tutakuhukumu kama Malecela alivyomshauri vibaya mzee mwinyi,
Mwanasiasa elimu haina mbadala wake na haina cha kufanana nacho.Hata Mnyika angekuwa ccm bado ningeshauri aende shule. au Mwanasiasa una roho mbaya unataka uwe msomi pekee yako huko kwenye sacoss(chadema).
Mnyika
OBASANJO naye anarudi shule mwakani. zingatia wenzako waliona siasa mali kuliko elimu, imekuwa tofauti na wanajuta,
kasome shule ua maana na mambo ya katibu wa NGO ya kimataifa waachie akina mama Mkapa, tena wameingia huko baada ya shule.
Mnyika huu ushauri wangu utaukumbuka sana.achana na hawa akina Mwanasiasa wanataka kukutumia kama daraja kwenye Saccoss yao.wao wanakula book sasa hivi.

pls give a second thought my advice.
 
nimesoma post nyingi za chinga sijaelewa huwa anataka kueleza nini maana anazuka na hoja hata mahala ambapo haitakiwi . Sasa Uchaguzi na Elimu ya Mnyika wapi na wapi ?

Mnyika you are doing better man .Chinga ana lake jambo kwa hili .Kashupaa na Elimu nakutuondoa kwenye mada lakini bado hasemik lolote.CCM imejaa wafoji vyeti kuanzia katibu kata hadi Mawaziri .Wanataa Elimu kubwa n a hata wengine wana elimu kubwa kubwa ujanja wao ni rushwa na kutaka kuandikwa kwenye magazeti.Unasema JK kasoma mbona anafanya ambayo hayana maamuzi na akipewa Mnyika ama mimi naweza kuamua better than him.Lowasa wenu ndiyo hivyo kutishia na ku edit maandishi kwenye magazeti na kutoa rushwa ili mambo yatulie serikali isifiwe .Hata kusema mambo ya ajabu kwamba mvua inakuja toja Thailand .Aibu hii kama Elimu yenyee ndiyo hiyo basi nasema Mnyika kazana na Siasa Elimu haina maana .

Umesema Macelela alimshauri vibaya Mwinyi ? Mbona hujasema alimshauri kivipi ? Mwinyi alikosa hata utashi wake wa kuamua ? Malecela si wale wale tu na CCM yenu ? Jamani mbona Chifupa hatajwi hapa mtu wa Div O na wenye PhD za kuchonga nk lakini Mnyika anakuwa issue hapa na Elimu yake ?

Elimu kubwa inasaidia nini kama mifano iko ndani ya CCM kwamba hata ma Prof hawana maamuzi ila kulea matumbo yao ?
 
Well said Chinga - huyu kijana wampe fedha aende akasome.

Wacha
 
Wacha
Nakubali inaonekana wanataka kumfungulia mradi wa kupaka rangi viatu au awe DJ bilicanas club.

Mnyika
nimengoja sana maoni yangu leo humu kama ahadi yako ilivyokuwa kwa muungwana ahadi ni deni.

kingine wewe Mwenyezi mungu anakupenda sana, kwani ungepata ubunge usingekuwa na nafasi ya kusoma, sasa tumia nafasi hii pamoja na matokeo kutokuwa mazuri unaweza kufanya pre-university kwanza, au ukitumia vyuo vya kanisa obvious mbeleko ya kanisa itafanya kazi yake.

Soma ikifika 2010 utakuwa na degre yako ukigombea kwa Chadema huko huko sisi tutakupa kura.

Fikiria mnyika unataka kuongoza Ubungo pale pana university ni vyema uwe na uoni kama wa mlimani. vingenevyo mwanangu utapwaya.
hawa jamaa wanaokudangaya wamekula ubunge vijijini ambako shule si muhimu.

kule bush umuhimu ni bei ya kahawa tu. hata Mrema alikuwa anakula kiti cha ubunge kwa gea ya kahawa.
kwa Ubungo hakuna kahawa vijana watataka uwaeleze mambo ya Udsm, mikopo n.k ingawa kutakuwa na na issue za ugomvi wa mabaa ya kina Tesha, mushi,Tarimo,Temba,Maro n.k ili kukata kiu ya Udsm unahitajika uwe na Book la uhakika mwanangu, pale hawatauliza tamko la chadema, ni issue zilizokwenda shule.
 
 
Ukweli jamani tuseme, sasa kwa wale mnaompinga Chinga kwenye hii mada, mnaonekana kupwaya katika hoja, kama the issue ni ELIMU ya JJJ, Chinga's man is hitting hard, I mean jamaa is going NUCLEAR, au kisiasa siku hizi anayoyafanya yanaitwa Shock and Awe!

Ningewashauri mumuachie JJ mwenyewe ayajibu mapigo, au akubali yaishe aende apate elimu kwanza halafu aje hapa. Chinga anawapiga knockout punch pale anaposema kuwa nyinyi wote mnaomtetea mna elimu, tena kubwa sana, sasa iweje mumwambie mwenzenu kuwa kutokuwa na elimu sio tatizo hata CCM hawana elimu? Wakati Keeenja wa CCM moja ya sababu ya kumshinda ubunge JJ, ilikuwa ni pamoja na elimu kubwa aliyonayo?

On this kwakweli, kubalini yaishe maana sisi forum hatuwezi kutetea viongozi wasiokuwa na elimu eti kwa sababu taifa tuna viongozi wenye elimu lakini wanaonekana kama hawana kutokana na maamuzi yao, nafikir ni the lowest excuse kifikira iliyowahi kutamkwa na mwana forum hii toka ianzishwe, na we katika hii forum we are not about kuikubali kama authority against moja ya maadui wakubwa wa taifa letu yaani, ujinga.

Matajiri kina Mike Tyson, kutojua namna ya kuutumia utajiri wao haiwezi kuwa kinga kwa wengine kutotafuta utajiri, NONESENSE! Bahkressa ana hela kuliko Mengi, lakini siku zote Mengi anaonekana kuwa na hela zaidi kuliko Bakhress, WHY? Elimu!

Kuna issues nyingi ambazo zitajadiliwa katika kipindi cha hawa viongozi wa Chadema kuwepo hapa, mojawapo ni elimu yao ndogo kulinganisha na dunia tuliyonayo sasa hivi, asiyekubali kushindwa sio mpinzani. Kwenye mchezo wa ngumi kuna raundi 12, kwa kawaida mabondia hugawana raundi ingawa hatimaye mmojawapo hushinda, sasa ndugu zangu maapologists wa Chadema kubalini tu kuwa raundi ya elimu kwa viongozi wenu wa juu, siyo yenu na mmeshindwa ili tuangalie raundi zingine tusije tukakwama kwenye raundi ya kwanza, ni lazima tu-move on na raundi nyingine, ila kwa elimu ya viongozi wenu wa juu ni lazima mkubali kuwa ni ndogo mno, katika ulimwengu huu wa teknologia, ni the right thing to do!

Na Chinga boy, bravo kwa kusimamia hoja yako ki-forum hiii style, yaani MAWE tu, yaani wewe ndiye kumkoma nyani giladi mwenyewe bro, ninakuvulia kofia,

ahsante ndugu zangu na tuvuke kwenye mjadala mwingine sasa! kama watu wazima!
 
Mzee ES,
Si kweli kwamba Keenja alimshinda Mnyika kwa sababu ya Elimu,Keenja alitangazwa mshindi kwa mizengwe.Pale ubungo yalifanya mapinduzi, chaguo la watu lilipinduliwa na dola. Hapa una potosha.

Kampeni za Mnyika zilikuwa za kisayansi na kisomi zaidi ya Keenja.Ndio maana Mnyika alimuacha mbali mno keenja kwenye vituo vya chuo.Sasa hoja kwamba moja ya sababu ya Keenja kushinda ilikuwa ni elimu inakuja wapi? Mzee hapa unapotosha.

Chinga,
Hakuna mtu mwenye akili timamu atakae pinga mtu asisome. Mnyika ana akili timamu anafahamu umuhimu wa elimu.Yungali ni mwanafunizi wa UD.

BBA, si programu ya wazee peke yake, vijana wengi tu wanasoma hii programu,wapo vijana ambao wanakosa mikopo ya serekali hivyo wanalazimika kufanya kazi kughramia masomo yao,wapo vijana ambao wana majukumu mazito ya kifamilia hivyo wanalazimika kusoma na kufanya kazi. Mnyika ni mmoja wao, na amiengia BBA kabla ya kujuinga na CHADEMA.Alifanya hivyo akiwa anafanya kazi za kiharakati kulitumikia taifa.

Kuna umuhimu wa kuwa na wakina mnyika wengi kwenye siasa zetu. Chama tawala kilihofia ushindi wa Mnyika ungekuwa na ushawishi mkubwa sana kwa vijana wengi zaidi makini kujitokeza katika uchaguzi ujao na pia kuvutiwa upande wa upinzani. Ukweli ni kwamba Mnyika amewahamasisha wengi,2010 tarajia wengi zaidi kujitokeza.

Na pengine ungependa kufahamu mwanafunzi bora wa UD mwaka huu ametoka BBA(Overall best finalist student) anaitwa Azmina.

Mnyika anatumikia utume wa kizazi kipya. Naungana na ushauri wako Mnyika aendelee kusaka maarifa kama ilivyo kwa kila mmoja wetu humu,pasipo kusahua ni jukumu la lazima kwa kizazi kipya kuingilia na kufanya mabadiliko.
 
Mzee Eric,

Yote ninayajua hayo na nilishamuarifu JJ, kule BCS kabla hayajatokea, lakini Keeenja aliyemshinda JJ ana elimu kuliko JJ, it is a FACT, FULL STOP!

Kupambana na hilo JJ naye lazima asome, huwezi kuendesha kampeni ya kisayansi kama huna elimu inayolingana na hiyo kampeni ya sayansi,

1+1= 2, ndio maana Dr. Slaa aliendesha kampeni ya kisayansi!

Thank You!
 
Nakubaliana na Mzee ES katika hili. Kwa kweli lazima tumshauri huyu kijana amalize hiyo shule hapo UDSM maana imekuwa ya muda mrefu. BBA ni miaka minne, sasa yeye ameshachukua muda mrefu zaidi ya hiyo miaka. Hapa kwa heshima ya forum na wengine tunaopenda na kuheshimu elimu lazima tuseme kweli tuachane na ushabiki. Ndio maana jana niliandika nikasema Chinga kuna hoja katika maandiko yake japokuwa zinauma kwa sisi wapenzi wa JJ na wanachama wa CHADEMA. Kuendelea kukataa huu ukweli ni kujitukana wenyewe na yale mawe yetu kwa akina Nchimbi na Kamala yanakuwa haya maana!

JJ lazima aelezwe kuwa kutokuwa na degree ni kikwazo na kinawapa nafasi ya bure wapinzani wake. Maadamu huyu kijana anazo ainamie shule mara moja aondoke na hiyo degree. Sisi wengine tunaamini elimu kwanza mambo mengine yanaongezewa. Kila la kheri JJ, I hope you will finish your degree programme sooner than later.
 
The government of Sudan is also seeking to join the East African Community (EAC).

This follows the recent admission of the tiny Central African states of Rwanda and Burundi into the East African Community.

In a recent exclusive interview with The Guardian, the Sudanese Ambassador, El Mughira Ali Omer, said they developed the idea of joining the EAC soon after the signing of Naivasha Comprehensive Peace Agreement (CPA).

”We nursed the idea of joining the EAC, especially after the signing of Naivasha Comprehensive Peace Agreement,” he said.

Ambassador Omer said that since Southern Sudan was a land-locked, they had thought that it was important to link it with the EAC to enjoy the gains of regional integration.

”Southern Sudan is land-locked. Through joining the EAC, people of South Sudan can trade easily and efficiently with their EAC counterparts,” he said.

He said the projects like construction of an oil pipeline from Sudan to Mombasa, Kenya could easily take off if South Sudan would be linked to EAC.

Meanwhile, Sudan is hosting the international conference on African, Caribbean and Pacific in Khartoum.

The Sudanese Ambassador to Tanzania told The Guardian that the conference was expected to end on December 9, this year with the participation of 48 African countries.
 
chinga sio fair kusema kuwa degree ya BBA ni ya wazee ,sasa ya open univ itakuwa ya nani????i kow many people who have BBA with flying colour, tena ni upuuzi na inaonyesha hoja zako ni za kufikirika pale unaposema mbowe hata akienda mikutanoni [ya conservative au republican sio china]anakuwa na wakalimani ,,.sasa that is too much...hii inaonyesha you are not serious na hoja kama hizi zisizokuwa na mantiki zitawafanya hawa mabwana wasirudi kujibu hoja barazani... approach unayotumia haipo strategic,ungetakiwa unaandika thread moja kali ,then unamvuta anajibu ndio unaleta nyingine sasa wewe unarusha makombora hata kama adui hajibu,,,kweye medani unarusha alafu unasubiri anajibu kwa kutumia nini then una move unatwanga!!! sasa unaweza kukuta makombora yako yamelipukia jangwani..
 
Duh,Ngoja wamalize matatizo yao ya Darfur na war in Southern Sudan.Baada ya Sudan Somalia nayo itaomba,baada ya hapo itafuata Ethiopia, then Eritrea na Djbout. Hizi nchi zote zinanuka damu za watu.Nahisi wakishajiunga patakuwa hapatoshi tena.
 
Mikael
sijasema BBA ni kozi ya wazee kwani inafundishwa vyuo vingi, tatizo program anayosoma Mnyika ni part-time, nataka asome full time.
darasani kwani amekuwa mtoro sana kila dakika kwenye makongamano ya NGO. anashindwa hata na Wambura Michael kwa mahudhurio darasani?
juzi alikuwa London na hiki ni kipindi kwa wanafunzi kuwa darasani iwe part time au full time.
ukimuuliza swali humu hawezi kujibu anasema 'nina shughuli nyingi'
ikiwa hawezi kujibu mada fupi za mpuuzi kama mimi tena mmachinga wa kongo, jee anao muda wa kuandika assignment, course work n.k?
Naamini kila dakika wanaandaa business plan kupeleka kwa wafadhili kwa ajili ya warsha, kongamano,semina za Ngo zao.
Mikael nimesikia ushauri wako nitaufanyia kazi umesema nifungue thread inayojitegemea nitatekeleza soon usiwe na shaka dozi umepata.
Eric
Acha kumuongopea mtoto Mnyika kuwa na huruma ana matatizo gani hadi asisome? unamtakia mabaya kiasi hiki? na mimi niyemuelekeza maisha naonekana mjinga?
BBA ipo Zanzibar university full time aende Mnyika akatulie kule kula kitabu. akikaa hapo UDSM mara mzee Mtei atamwita "kuna wazungu wa conservative wanakuja kesho sasa Mnyika usikose" naye anatoroka shule, hapo hatasoma.
Mwanasiasa
usishangae kuona Mnyika hamalizi kozi hata miaka kumi hata maliza kwa utaratibu huu, kila dakika anashughulishwa na hawa wazee wa NGO,mara wamtume mara kuna kongamano , mara akatoe tamko, n.k haya ndiyo yanayompotezea muda Mtoto Makini Mnyika,naye anawasikiliza wajinga kama akina Eric, Lunyungu na kundi lao.
ninachopigania wampeleke Hull nae ,au hapo kwako sitaki kupataja nisikuumbue mheshimiwa ila wewe umepata kwa scholarship mtafutie nae.
 
Mnyika anasoma . Mnyika soma , lakini elimu si kipimo cha Uongozi . Kama kweli Elimu ina faida kwa Taifa la Tanzania na hasa uongozi kwenye Serikali ya CCM basi tusingalikuwa na shida zote hizi .This is my only point hapa . Sijasema kwamba huyu kijana asisome no .Lakini Elimu kubwa walizo nazo wana CCM hadi za kuiba TZ iko wapi ?
 
Lunyngu
kwa kauli yako hapo juu, inabidi shule zifungwe na kama ukiwa mbunge, utahakikisha bajeti ya elimu unaikwamisha, kwa maoni yako elimu haina maana, kama ndiyo sera za Chadema basi tumekwisha.

Pillimon Mikael
mheshimiwa tayari nimefungua thread inayojitegemea kama ulivyonielekeza.
cha ajabu sijaona mchango wako aidha wa kuniunga mkono au kunilaani.
Mnyika
Kimya ndugu yangu? umesema tarehe 5 utakuja kujibu humu. imekuwa jiii?
nimepitia website ya westminster university nimeona kula scholarship tena ni kwa Tanzania, naomba pitia na omba undergraduate nina hakika utapata, kuna Intake ya Feb 07,
huku uliko sera zao sio za elimu wapambe wako ni kina Lunyungu ambao wanadai elimu haina maana, hawaoni India inavyowatisha waingereza ktk elimu.
Nimeona gazeti la leo linasema
Gordon Brown goes number ten. £ 200 for every pupil,
Min budget's £36bn on schools.
HE gave education a massive financial boost.

in his 10th min-budget he said an extra pound would be spent on education over the next four years, hundred colleges and 12,000 school would be rebuilt.
Chadema tizameni wenzenu wanazidi kuwekeza kwenye elimu. Lunyungu anataka pesa zitumike kukodisha helkopta kuwashukuru wananchi, while there is no impact.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…