East African Federation (EAF) public Views

East African Federation (EAF) public Views

Tangu lini Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi wakajua umoja? Watanzania tuache upuuzi jamani, hakuna tutakachofaidika nacho, ni ujinga mtupu. Wenzetu wana matatizo na sasa wanataka kupunguzia kwetu, tuamke jamani.

Hawa watu hawana amani, wana ukabila, hawana ardhi, hawana mali asili kama sisi, tunaumwa nini jamani? Misifa ya viongozi wetu isituumize, upumbavu huu uishilie mbali. Kenya ni majambazi wote, kuanzia juu mpaka chini, hatuwataki. Hii inatia kichaa.
 
mlenge said:
Barua ya Wazi kwa Rais Jakaya Kikwete
BURIANI TANZANIA ... AU KILA LA HERI AFRIKA MASHARIKI?
Na Mlenge Fanuel

"Mtu akikushauri jambo la kijinga, huku anajua jambo hilo analokushauri ni la kijinga, na wewe ukakubali, basi atakuona, wewe zuzu!"
-- Mwalimu Julius K. Nyerere, 1994/5

Mheshimiwa Rais Jakaya Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tafadhali isome barua hii ya wazi ya kukufikishia ujumbe kwamba Tanzania haiko tayari kujiunga na Shirikisho la Afrika Mashariki (East African Federation, EAF) wala “Soko la Pamoja” la Afrika Mashariki, na kwamba Watanzania hatutaki Tanzania ijiunge na Shirikisho hilo.. Yatakuwa ni maafa makubwa kwa Tanzania na Watanzania iwapo Tanzania itajiunga na EAF hasa kwa mpangilio ulioko wa “fast track”. Ndiyo maana nimeanza na nukuu ya Mwalimu Nyerere, ambaye tayari baadhi ya watu, hasa wa nchi MIMI NAONA HUU NI UOGA WA KUTOINGIA HII JUMUIA YA AFRIKA MASHARIKI HAWA JAMAA WAKENYA WAGANDA NA WARUNDI WATATUCHEKA TUNAWAOGOPA KWANI SISI NI MBUMBUMBU KIASI GANI TUNYANG`ANYWE ARDHI? HUU NI UOGA WA KUSHINDANA TU NA HAWA JAMAA KINGEREZA KINATUPIGA CHENGA NA HAYA MAJAMAA MAKENYA MAGANDA NA MATUSI YAMESOMA SANA KULIKO MAMBUMBUMBU MENGI YA KITANZANIA. SASA UOGA UMEZIDI INATUBIDI TUJIFUE NA SISI TUHIMIZE WATOTO WETU WENGI WAINGIE SHULE, HUU MUUNGANO NI BORA UFANYIKE MAPEMA ILI KUTUWEZESHA SISI WATANZANIA KUWA NA USHINDANI KIBIASHARA NA KIELIMU PIA. KUJI ISOLATE HAKUTO TUSAIDIA KITU KWANZA TUNA EXPERIANCE KUBWA YA MUUNGANO HIVYO HAWA JAMAA WATATUTEGEMEA SANA KATIKA MAMBO MUHIMU. KIKWETE HALAKISHA HUU MUUNGANO IKIBIDI KABLA YA MWAKA UJAO TUWE NCHI MOJA...KWANZA WATU WENGI WATAFANIKIWA KUSOMA UGANDA AMA KENYA KWENYE ELIMU POA NA WENGINE KUJIFUNZA KIFARANSA NA KUWA MAKINI KATIKA BIASHARA KAMA HAYA MATUSI THEN KESHO TUNAWEZA KUICHUKUA NA SISI NCHI YA MALAWI ILIYO DOLORA KAMA SISIjirani za Kenya, Uganda na Rwanda, wameanza kumsingizia kwamba kwa kujiunga na EAF tutakuwa "tunamuenzi" Mwalimu Nyerere, huku wakijua fika ushauri wanaotupa wa kujiunga na Shirikisho na Soko la Pamoja la Afrika Mashariki hauna manufaa yoyote kwa Tanzania, wakidhania sisi Watanzania ni mazuzu tunaoendekeza wema wa mshumaa kuwaangazia wengine huku wenyewe unateketea, kwa minajil ya kupata misifa isiyo na tija.

Ni kweli Mheshimiwa Rais umeunda Tume ya Kupokea Maoni kuhusu Shirikisho la Afrika Mashariki, lakini inatia mashaka iwapo huo siyo tu ni utaratibu uliouweka kuhalalisha maamuzi yaliyokwishafikiwa ya kuidumbukiza Tanzania kwenye EAF. Hii inatokana na muonekano kwamba Tanzania kujiunga na EAF kumeshaamuliwa tayari -- kutaka watu tujadili siyo kiinimacho tu? Mheshimiwa Rais, palikuwa na muswada uliopelekwa Bungeni wa Tanzania kujiunga na EAF, ambao Waheshimiwa Wabunge waliukataa, na serikali ikabidi iuondoe. Lakini mchakato wa Tanzania kujiunga na EAF ukaendelea tu, na kupuuza maoni ya Wabunge wetu tuliowachagua watuwakilishe. Ikiwa sikusikiliza vibaya, katika Bunge la Bajeti 2006/2007, Mheshimiwa Waziri wa Afrika Mashariki aliliambia Bunge kwamba patakuwa na KURA YA MAONI kuhusu Afrika Mashariki. Matokeo yake tumeletewa Tume badala ya kura ya maoni! Kana kwamba hiyo haitoshi, iliripotiwa kwenye vyombo vya habari kuwa wewe Mheshimiwa Rais wetu, ulimhakikishia Rais Yoweri Museveni wa Uganda kwamba utafanya kila unaloweza kuhakikisha kufanikiwa kwa Shirikisho la Afrika Mashariki, kwenye mkutano wenu uliofanyika Mwanza. Je, maoni tunayotoa Watanzania kukataa kujiunga na shirikisho si "kilio cha samaki -- machozi yanakwenda na maji?" Wenyewe "wenye nchi" mshaamua mloamua?

Pana maswali mengi mheshimiwa Rais ambayo ukitupatia majibu utakuwa umetuwezesha Watanzania tulio wengi kuelewa kuhusu mustakabala wa maisha yetu na Tanzania yetu:

* Je, Ni sera ya CCM Tanzania kujiunga na EAF au Soko la Pamoja la Afrika Mashariki?

* Je, Ilikuwa kwenye ilani ya Uchaguzi 2005 ya Chama Tawala CCM Tanzania kujiunga na EAF?

* Je, Nani aliyependekeza Tanzania ijiunge na EAF? (Inabidi tumfahamu ili tuweze kumpamba maua iwapo Tanzania itafanya tunalodhani ni kosa la maisha la kujiunga EAF kumbe ikathibitika EAF ni manufaa tele kwa Tanzania ; vinginevyo inabidi tumfahamu ili tuweze kumzomea na kumuimbia nyimbo za kumsimanga pindi machungu ya EAF yatakapoanza kudhihirika muda si muda iwapo Tanzania itafanya kosa la maisha kujitumbukiza kwenye EAF. Vinginevyo itakuwa kama mikataba ya madini -- hatuelezwi nani aliwaalika na kuingia mikataba na 'wawekezaji' kwenye migodi.)

* Rais Yoweri Museveni wa Uganda ameshajitangaza kuwa Rais wa Kwanza wa Shirikisho la Afrika Mashariki -- ikiwa na maana yote mengine yanayojitokeza sasa ni kuhalalisha na kusafisha njia ya Museveni kuwa Rais wa Kwanza wa Shirikisho la Afrika Mashariki, hasa ukitilia maanani Rais wa Kenya na wewe Rais wetu mko kimya, ikielekea mmekubaliana na matamshi ya Museveni. Si hivyo?

* Kutokana na maneno yanayosemwa na Wakenya na Waganda, Wanyarwanda na Warundi, inaonekana kama vile serikali ya Tanzania HAINA UBAVU wa kusema HAPANA kwa EAF -- kila mara Tanzania inazomewa inapohoji maslahi yake kwenye EAF -- au inapotaka kutumia uhuru wake ISIJIUNGE na EAF. Hivi karibuni Waziri wa Afrika Mashariki wa Tanzania alisemwa kwenye vyombo vya habari kwamba hahudhurii vikao vya Afrika Mashariki -- na kumfanya Mheshimiwa Waziri Mkuu ajitokeze kumtetea -- na baadaye Waziri yule akaondoshwa toka Wizara ya Afrika Mashariki kwenye mabadiliko ya Baraza la Mawaziri uliyoyafanya hivi karibuni Mheshimiwa Rais. Ina maana Tanzania ni kama mbwa anayeelekea kwenye mdomo wa chatu EAF -- amefyata mkia, anatoa kilio cha mwisho, na hana la kufanya zaidi ya kufanywa asusa na kumezwa -- au si hivyo?

* Ni kwa nini Kiswahili SIYO lugha rasmi EAC, na badala yake ni kiingereza?

* Kama shida ni ushirikiano, kwa nini Tanzania isijiunge na Msumbiji na Zambia , na kutengeneza shirikisho?

* Kwa nini EAF inaharakishwa namna hii?

* Ni nini Tanzania inahitaji kwenye EAF ambacho haiwezi kukipata bila kuwemo kwenye shirikisho hilo ? (Mbali na ngonjera za kisiasa, pengine na watu fulani kupata posho za vikao vya EAC na baadhi kuandikwa kwenye vitabu vya historia, vitu ambavyo havimsaidii Mtanzania mpiga kura wako anayesubiri neema tele na maisha bora...)

* Pana bidhaa zipi za Tanzania hazifiki kwenye soko Kenya au Uganda , ambazo EAF itazifanya zifike sokoni?

* Nani atakuwa Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Afrika Mashariki, na ni upi mchango wa EAF kwenye uvamizi dhidi ya DRC?

* Mheshimiwa Rais, hivi "Usalama wa Taifa" wa Tanzania una majukumu gani makubwa zaidi ya kulinda (uhuru) "Sovereignty" ya nchi yetu? Kwa nini "Usalama wa Taifa" haukupi picha kamili ambayo itakufanya usijisumbue hata kuja kutuuliza iwapo tunataka uhuru wa nchi yetu uondoke kupitia "soko la pamoja" na "Shirikisho la Afrika Mashariki", badala yake tukaendelea kulijenga taifa "letu changa" na kuulizana maswala ya maendeleo kama vile tutanufaikaje na maliasili tulizojaaliwa nchini m
 
MIMI NAONA HUU NI UOGA WA KUTOINGIA HII JUMUIA YA AFRIKA MASHARIKI HAWA JAMAA WAKENYA WAGANDA NA WARUNDI WATATUCHEKA TUNAWAOGOPA KWANI SISI NI MBUMBUMBU KIASI GANI TUNYANG`ANYWE ARDHI? HUU NI UOGA WA KUSHINDANA TU NA HAWA JAMAA KINGEREZA KINATUPIGA CHENGA NA HAYA MAJAMAA MAKENYA MAGANDA NA MATUSI YAMESOMA SANA KULIKO MAMBUMBUMBU MENGI YA KITANZANIA. SASA UOGA UMEZIDI INATUBIDI TUJIFUE NA SISI TUHIMIZE WATOTO WETU WENGI WAINGIE SHULE, HUU MUUNGANO NI BORA UFANYIKE MAPEMA ILI KUTUWEZESHA SISI WATANZANIA KUWA NA USHINDANI KIBIASHARA NA KIELIMU PIA. KUJI ISOLATE HAKUTO TUSAIDIA KITU KWANZA TUNA EXPERIANCE KUBWA YA MUUNGANO HIVYO HAWA JAMAA WATATUTEGEMEA SANA KATIKA MAMBO MUHIMU. KIKWETE HALAKISHA HUU MUUNGANO IKIBIDI KABLA YA MWAKA UJAO TUWE NCHI MOJA...KWANZA WATU WENGI WATAFANIKIWA KUSOMA UGANDA AMA KENYA KWENYE ELIMU POA NA WENGINE KUJIFUNZA KIFARANSA NA KUWA MAKINI KATIKA BIASHARA KAMA HAYA MATUSI THEN KESHO TUNAWEZA KUICHUKUA NA SISI NCHI YA MALAWI ILIYO DOLORA KAMA SISI
 
Kokuikana said:
Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mimi ni Mtanzania ila ninasikitika sana unapotaka kuingiza Tanzania kwenye huo muungano. Sisi hatutaki kwanza Wakenya wabinafsi ile mbaya, HATUTAKI MUUNGANO WA EAST AFRICA WALA RWANDA WALA BURUNDI HATUTAKI.

Naungana na WATANZANIA wenzangu kupinga kwa dhati jitihada za kufua/kuunda jumuiya ya Africa Mashariki, kwanza hatuwahitaji wakenya\waganda warundi na kadhalika,wametubebesha mizigo ya kutosha, ni wakati sasa kuangalia kwa makini sana maslahi ya TAIFA LETU TANZANIA.

Tanzania imeongoza jitihada za ukombozi chini ya Hayati Mwal. Nyerere isitoshe tumejitolea kusuluhisha migogoro na kulea wakimbizi kutoka nchi ambazo wanauana wenyewe kwa wenyewe bila sababu za msingi SASA IMETOSHA naungana na mchangiaji mmoja aliyesema KENYA na UGANDA waungane na SOMALIA, ETHIOPIA, SUDAN RWANDA BURUNDI na wengine kama hao maana tabia zao zinaendana.

Naunga pia kauli ya Mh. Naibu Waziri wa ULINZI wa JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA alipo sema wananchi walio katika vyombo vya ulinzi na usalama TANZANIA waache maingiliano na wakimbizi hii yote ni katika kulinda MASLAHI na USALAMA WA TAIFA LETU. Kwanza nchi hizo ni wakabila na wabaguzi wa kutupwa ni Rahisi kwa Mkenya Mganda etc kuja Tanzania na kupokelewa kidugu na kazi kupata lakini si hivyo kwa watanzania waendapo huko WE DONT NEED THEM NOR THE EAC/FEDERATION let the EAC rote in HELL
MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATU WAKE!
 
jameni wtz mbona kuwadharau wakenya hivi? mimi simkenya lakini nimeishi kenya kwa muda mrefu sana, wakenya kwa kweli hawana ubaya na wtz ,wakenya wengi mara mingi nikiwauliza wanipe maoni kuhusu watanzania huwa wanasema wtz wana heshima sana na pia wananidhamu na ni watu wenye kuangalia maslahi ya wenzao.

Wakenya wao hujishughulisha na kujitafutia riziki yao kwa kila namna na ni watu wenye bidii sana ingawaje wakati mwingine sio kwa njia ya kihalali.Sioni kosa lolote kwa mtu yeyote kwenda mahala popote kujifanyia biashara yake kwa njia ya halali halafu akafaulu.

Nyinyi mnao sema wakenya wanaibia wtz njooni tuwaalike nairobi mombasa,nakuru mmekaribishwa kwa roho safi.Lakini nyinyi wtz hamtaki kuwapa wakenya nafasi,kazi yenyu nikuchochea chuki dhidi ya wakenya na waganda ili kujaribu kuonyesha kuwa bidii yao ni tamaa na ni mpango wa wakenya kula rasilmali ya wtz.

Nyinyi enedeleeni na kampeni zenyu za chuki, kwani nyinyi mkizidi mazungumzo yenyu ya fitina ,chuki na kadhalika wakenya wanajikaza kujitafutia,endeleeni na uzembe wenyu, wakenya watendelea na kazi yao.
 
Mimi ni Mkenya na sioni haja ya kujiunga na watanzania. Watanzania wengi ni WAZEMBE na kwa hivyo hawana MALI yoyote ya kununua bidhaa zetu- "Buying power". Haina maana kuwa na soko kubwa la watu wamasikini na hawaoni hoja ya kujitoa katika umaskini.

Leave them to wallow in poverty. They have NOTHING to offer us but sit down and spread hatred. Umasikini kweli uleta WIVU na Chuki. Uchumi wa Tanzania bado upo nyuma sana na watanzania hawana haraka ya kuutoa pale ulipo. Kuungana na Tanzania ni Kujirudisha nyuma. Mbona Romania bado yakatazwa kujiunga na EEC? Mbona USA yafunga mipaka ya Mexico lakini inawafungulia Canada?

Our economies are worlds apart and we HONESTLY DO NOT NEED this union.
 
Kwanza ningependa kuyakaripia magazeti baadhi ya nchi jirani (hasa the East African) yanayosema kwamba vyombo vya habari Tanzania haviungi mkono kuanzishwa kwa ushikiriano huu, na hata wengine kufikia hatua ya kuisema tovuti hii kuwa iko mstari wa mbele kupinga muungano huo. Mimi swali langu kubwa kwao, kama wao ni wanahabari na wahamisishaji wakubwa wa uhuru wa vyombo vya habari, kwanini hawaoni kamba hii tovuti inatoa uhuru kwa raia wa nchi husika kutoa maoni yao kama wayaonavyo wao?

Kwanini wao kama vyombo vya habari wasitumie hoja za maana kuishawishi jamii ya Tanzania na vyombo vya habari vya Tanzania vikaelewa kwamba kuna umuhimu wa kuwepo kwa muungano huu? kwanini wao wanaona kwamba waonavyo wao kuhusu huu muungano ndio sawa na sio watanzania wanaovyopima maslahi yao katika muungano mzima? Nilifurahishwa sana na uchambuzi uliofanywa na muandishi wa makala kwenye ippmedia, bwana Makwaiya wa Kuhenga iliyokuwa na kichwa cha habari "Nani alisema ana moto na shirikisho ya afrika Mashariki". Nafikiri jamaa alitoa ufafanuzi ambao unasaidia kufumbua macho ya watanzania walio wengi.

Ukiangalia kichwa cha habari hapo juu, ni moja ya misemo maarufu sana kwenye safu mbalimbali za biashara ambazo huongelea ushikiriano wa kibiashara (business partnerships and mergers) na hata yale ya kiuchumi kama kiuchumi (kama EEC nk.), kwamba lazima pande zote mbili zinufaike na ushirikiano huo, na kama hilo (manufaa kwa wote) halitakuwepo basi ni vigumu sana kwa ushirikiano huo kudumu. Hivyo basi, sijaona hoja za maana kutoka kwa hao wanaodai kwamba Tanzania pia itanufaika kama nchi nyingine, na gazeti moja likadiriki hata kusema kwamba Tanzania ndio itakayonufaika zaidi, bila kuainisha bayana kivipi! Matatizo yetu makubwa katika ushirikiano huu ni ajira na umiliki wa ardhi.

Napenda kutumia mfano wa michezo kuainisha kile alichoongelea bwana Makwaiya kwenye makala yake, ukiangalia mfumo wa uchumi wa uchumi wa Tanzania, sisi bado tuko nyuma sana ukilinganisha na Kenya na Uganda (ubepari) na mambo ya soko huria ndiyo kwanza watoto tunatambaa, sasa tokea lini mabondia wawili waliopishana sana uzito wakawekwa kwenye uringo mmoja kushindana? tokea lini Manchester united ikalinganishwa na Macclesfield wakati wako kwenye madaraja tofauti kabisa?

Kwa mfano wa bondia na Manchester united, ili hawa wote wawe kwenye kiwango (Level) kimoja "kiushindani", basi hapo wakiungana mwingine hatalalamika kuzidiwa au kufunikwa na mwenzake (naomba muelewe mantiki ya uyakinishi wangu na msije mkaanza kuuliza nina maana gani kusema kwamba Tanzania haiko kiwango kimoja na Kenya na Uganda, ni katika vipengele nilivyoongelea, ofcourse Tanzania inaizidi Kenya kwa amani na utulivu, lakini haina nafasi katika mjadala huu). Hivyo basi, mpaka hapo Tanzania itakapo weka sera nzuri za elimu ambazo zitawafanya raia wake wawe washindani kama jirani zetu kitaaluma, ndio itakuwa muda muafaka wa muungano, sawa na bondia mwenye uzito mdogo kupewa vyakula ili kuongeza mjengo na uzito wa mwili wake kufikia divisio na mshindani wake, basi ndio waweza wekwa kwenye uringo mmoja kupambana (hiyo ni kwa juu juu tu kwani kuna mambo kama ya mazoezi n.k).

Sijaona viongozi wakiziandaa sera hizo, zaidi ya kusema kwamba mazingira yaliyosababisha kuvunjika kwa muungano huo hapo awali hayafanani na ya sasa, labda ni kweli, lakini mpaka utakapo nianishia mazingira gani yanayofanya muungano huu ufae sasa, ndio nitaelewa na kushauwishika kuukubali. Watanzania kwa ujumla watapoteza (loose) kabisa kwenye maswala ya ajira, ardhi, hata biashara. sio kwamba nakuwa linda changu na muepuka ushindani (protective), la, ninachotaka kwanza ni kitu kinachoitwa manufaa kwa wadau wote (mutual benefit or at least a level playing field) ambayo vinahitaji maandalizi zaidi ya vingozi kusimama kwenye majukwaa na kutoa vishawishi vizivyokuwa na fikra thabiti ndani yake, kwa kuwa wao hawana cha kupoteza (nothing to loose) kwani ajira zao ki-ukweli zitaongezeka na marupurupu pia.

Kwa ushauri wangu, serikali hii iliyoanzisha hiyo tume ya kukusanya maoni ya watanzania ingeidhamini tume nyingine ambayo inapinga muungano huo, ili kukawa na mjadala wa kweli kuhusu swala lote hili, na kwenye mjadala ndio ukweli wote ungeeleweka kwa wananchi, kabla ya kutoa maoni yao.

Mpaka hapo sera zetu zitalenga kukuza kiwango cha elimu katika nyanja za lugha, biashara na ajira, ndio twaweza kusema kwamba Tanzania iko tayari kwa muungano wa afrika mashariki.
 
Unregistered said:
Kwanza mimi niseme wazi kuwa ni Mbunge. Msimamo wangu nilikuweka wazi katika hotuba yangu Bungeni kuhusu na suala hili.

Burundi na Rwanda ziingie JAM mapema iwezekanavyo. Nchi hizi kuwa katika familia ya Afrika Mashariki itasaidia sana ku'stabilize' amani. Hii ndio nia kubwa. Amani katika nchi hizi itadumu iwapo nchi hizi zipo ndani ya Jumuiya. Itakuwa ni rahisi kwa Kenya, Uganda na Tanzania kufuatilia kwa karibu masuala ya Demokrasia na haki za binaadamu katika nchi hizi kama sehemu ya peer review.

Pili, kuna suala la kiuchumi. Nchi hizi zina watu. Watu wanatumia bidhaa mbalimbali. Bidhaa nyingi zinatoka Tanzania, Kenya na Uganda. Hivyo nchi ni soko la bidhaa zetu. Tukiingiza Rwanda na burundi katika JAM tunakuwa tumeongeza wateja milioni kumi na tano katika soko.

Kuna watu wanasema eti, kujiunga kwa nchi hizi kutaleta vita. Huu ni upuuzi. Hebu tuangalie, Uganda kuna vita ya LRA, je katika miaka hii ya JAM vita hii ya Kony imeingia Tanzania?

DRC ni mwananchama wa SADC, Tanzania ni mwanachama wa SADC, DRC walikuwa wakipigana na mpaka sasa kuna mapigano. Je, vita hii imeingia Tanzania au Afrika Kusini?

Burundi na Rwanda, kijiografia ni sehemu ya JAM. Kama tunakumbuka Historia, nchi hizi zilikuwa ni sehemu ya Wilaya 14 za Tanganyika (DeutchOstafrika). Hawa ni wenzetu, na waje!

Zitto Kabwe

Sina uhakika kama haya ni maoni ya Zitto Kabwe kweli. Vyovyote iwavyo, hilo soko unaloongelea ni lipi hilo. Watu millioni themanini lakini maskini wa kutupwa soko litakuwaje? Hata hiyo kusema tutauza Uganda Rwanda na Burundi tuna nini cha kuuza huko? Midoli kutoka China na miswaki feki?
 
Hey,...put this in your long term memory...Kenyans are proud of themselves,whether they speak fluent swahili or not..
wOrM said:
And now you're double posting Mr. Unregistered. It's not like we do not know you Kenyans.

We do know you for sure! You're proud always. You can even check what you've done above. If you speak Swahili like Tanzanians let's exchange our views in this lingo. Otherwise you're judging Ugandans wrongly.

I appreciate Kenya's efforts but we have a problem with YOU Kenyans. You may ask why but before doing so, ask yourself WHY not Ugandans being discussed that much. Therefore you can come out with something.

We have all rights to raise our doubts before we UNITE again. Tunataka kujua nini faida ya kuungana na watu kama ninyi ambao mwatuona hatuna maana na kujiona mko wa thamani zaidi.

These are just OPINIONS and not from the Govt of Tanzania! Just few online Citizens and almost JUST views. Someone who's doubting need explanations on wht he/she's doubting. Muhimu ni you come with your comments and if you're a ndugu then jibu as a ndugu not as a stranger mate! Hope umenielewa kwa hii SIMPO kiingereza niliyotumia ili ieleweke bayana kwako.

Thanks and YOU'RE WELCOME TO THIS BOARD. These are just views from us who are online and using this board and not the Administrators or Moderators as you said who are deleting your postings. If such a thing happened probably you might have used a bad lingo.
 
Nice article Mr Maganga.You put it out simple and clear.All countries need time to think things through.
MacDonald Masatu Maganga said:
The Editor,
To be precise and logical, this article is more than impressive! Former East African Unity died but in reality many do not know the cause of the death! I have been tipped that the flourishing Kenya Airways was formed with a strong capital from the dead East African Airways; Uganda took all the finances because the East African Development bank was situated in Kampala! Anyway, I support the whole idea of re-uniting but wanachi need to be well informed about it, we need a referendum! We dont want to regret in future. Idea of chopping in Rwanda and Burundi is generally disastrous because those countries have never enjoyed political stability and they have the cause of illegal fiream spread!We dont mind the timing , whether it takes years to come to consensus, we will rather wait ! We are not ready to witness our country losing all it has simply because we like unity. Let's all wake up guys ...our counterparts Kenya and Uganda please give us some times to think and think it over! We need a clean unity ..not a dirty one!!
 
Unregistered said:
Mimi ni Mkenya na sioni haja ya kujiunga na watanzania. Watanzania wengi ni WAZEMBE na kwa hivyo hawana MALI yoyote ya kununua bidhaa zetu- "Buying power". Haina maana kuwa na soko kubwa la watu wamasikini na hawaoni hoja ya kujitoa katika umaskini. Leave them to wallow in poverty. They have NOTHING to offer us but sit down and spread hatred. Umasikini kweli uleta WIVU na Chuki. Uchumi wa Tanzania bado upo nyuma sana na watanzania hawana haraka ya kuutoa pale ulipo. Kuungana na Tanzania ni Kujirudisha nyuma. Mbona Romania bado yakatazwa kujiunga na EEC? Mbona USA yafunga mipaka ya Mexico lakini inawafungulia Canada?
Our economies are worlds apart and we HONESTLY DO NOT NEED this union.

I am suprised but if you can follow, it is not the Tanzanians who are spreading hatred, at least they did not start it! But if we could just put down the vitriol and come back to issues ...

Kenyans need the Union, much more than any other country, unless you do not know what you need. As it is now, you could say TZ has nothing to loose, almost. So go ahead and keep away. And somebody who has nothing to lose can be difficult. Compensatory measures need to be put on the table for TZ not to be disadvantaged in entering the region. Come federation, it has to be WIN for all members, not only some.
 
Kelele ya chura haimzuii ng'ombe kunywa maji.........mimi ni MTz na naelewa maana na faida ya muungano huu; wale wanaoupinga pia naelewa wanajua manufaa ya Muungano...lakini unajua kuna watu kila kitu wenyewe wanaona Negative; au saa nyingine wanataka tu discussion iendeleee...Hivi sasa na huu Utandawazi, yaani wewe MTZ unaona hao waKenya au Waganda na Wanyarwanda ni hatari zaidi kuliko wahindi, Makaburu, Wazungu, etc...ambao ndio leo hii wameatamia sehemu kubwa ya unchumi wetu?

Yaani eti kushirikiana kati ya wamasai wa Kenya na wale wa TZ, au Watusi wa Kihangaza TZ na wale wa Kirundi au Kinyarwanda, au kati ya Wakurya wa Musoma na wale wa Kenya ni hatari zaidi kiusalama na kimaslahi kuliko sisi kuhsirikiana na wahindi ambao hata maji ya kunywa nyumbani kwake huwezi pata?

Tuache jamani kelele zisizo na maana...lets think seriously about huu Muungano; kuna hoja zinazoeleweka ambazo ni kama disavantage kama tukiungana...lakini overall, muungano ni faidi tupu...hata ndoa pia zina sura mbili...sasa tusiongelee tu fear of the marriage an dforget that there is that other side which is even sweeter and more beneficial...lets talk sense wandugu!

Mimi nataka ambukizwa hii spirit ya kupigania haki ya wakenya na waganda
 
Hatuzungumzii Mambo Ya Ujasiri Wala Umbumbu Tunachosema Hapa Ni Kwamba Mnapofanya Uhusiano Wowote Na Mtu Yeyote Mnataka Kunufaika Kila Mmoja.je Uganda,rwanda,kenya Burundi Tunataka Kupata Nini? Ni Nini Tunataka Kushirikiana Nao Sisi Tutoe Kidogo Na Wao Kidogo Ili Kiwe Kingi Kitufahe? Je Ni Ukabili,uasi Wa Serikali,vita,au Machafuko,je Nchi Hizo Kama Burundi Na Rwanda Je Ni Utalii,ni Kilimo Ni Madini.au Ni Uzoefu Wa Vita Vya Wenyewe Kwa Wenyewe Ambavyo Hata Vikiisha Kwenye Mikataba Babo Rohoni Mwao Vipo,

Je Shujaaa Ni Yule Anayejiingia Kwenye Matatizo Akijua Fika Ni Matatizo Au Ni Yule Anayeweza Kusoma Alama Za Nyakakiti Na Kuepuka Na Matatizo.

Tukiwa Fedration Na Museveni Akawa Raisi,je Ataweza Wakati Lra Ameshindwa.

Tuwe Waangalifu.
 
Hatuzungumzii Mambo Ya Ujasiri Wala Umbumbu Tunachosema Hapa Ni Kwamba Mnapofanya Uhusiano Wowote Na Mtu Yeyote Mnataka Kunufaika Kila Mmoja.je Uganda,rwanda,kenya Burundi Tunataka Kupata Nini? Ni Nini Tunataka Kushirikiana Nao Sisi Tutoe Kidogo Na Wao Kidogo Ili Kiwe Kingi Kitufahe? Je Ni Ukabila,uasi Wa Serikali,vita,au Machafuko,je Nchi Hizo Kama Burundi Na Rwanda Je Ni Utalii,ni Kilimo Ni Madini.au Ni Uzoefu Wa Vita Vya Wenyewe Kwa Wenyewe Ambavyo Hata Vikiisha Kwenye Mikataba Babo Rohoni Mwao Vipo,

Je Shujaaa Ni Yule Anayejiingiza Kwenye Matatizo Akijua Fika Ni Matatizo Au Ni Yule Anayeweza Kusoma Alama Za Nyakakiti Na Kuepuka Na Matatizo.wewe Ndugu Unayesema Elimu Nzuri Ni Kiingereza,basi Waingereza Wangekuwa Wasomi Kuliko Wachina Na Wahindi Na Wajapani,badala Ya Kusema Watu Wachape Kazi,waandae Mitaala Mizuri Unazungumzia Lugha,kama Utaki Kujitahidi Hata Ukienda Uingereza Utakuwa Mbumbumbu Tu,

Muungano Hauongeza Elimu Ya Mtu,wtanzania Wengi Wanafanya Kazi Botswana,swaziland Na Namibia,je Ni Kwa Kuwa Tumeungana Au Ni Jitihada Za Mtu.

Tukiwa Fedration Na Museveni Akawa Raisi,je Ataweza Wakati Lra Ameshindwa.

Tuwe Waangalifu Hakuna Haja Ya Kuharakisha Kama Unafaha Si Kwa Kila Mtu.
 
NATAKA JUMUIA

Mimi ni Mtanzania halisi. Naipenda nchi yangu. Nataka jumuia. Kwamba ni jumuia ya aina gani na wakati gani tuingie, hilo ndilo tatizo langu.

Ni lazima kuingia kwetu kwenye jumuia hiyo ituweke kwenye faida. Tusiwe tu ni soko la bidhaa za wenzetu. Sisi tutauza nini huko?

EAC iache mara moja ku-negotiate mikataba kwa niaba ya nchi zote. Kwa mfano niliona uongozi wa EAC ulienda Sweden ku-negotiate mikataba kwa niaba ya nchi zote. Pia wakaenda Malaysia kwa ajili ya textile industry. Kwa kuwa sisi hatujajiandaa, Wasiwasi wangu ni kwamba hawa wakenya wanaweka mazingira mazuri kwa nchi yao kwa kutumia mgongo wa EAC hali wakijua kabisa wao ndiwo watafaidika. Vivyo hivyo mikataba ya utalii. Kwa kufanya hivyo Uchumi utakaokuwa unajengeka ni wa Kenya wakati sisi tutakuwa ni feeders! Ni nia ya wakenya kuvunja uti wa mgongo wa uchumi wa tanzania!

That we should know.

Na hii tabia ya viongozi wa tanzania kwenda arusha kukaa tuuu kama zombies, bila hata kujitayarisha, bila kujua wanataka nini au nchi inataka nini iachwe mara moja. Kama hujui unachokwenda kutetea basi bora tusiende kabisa.

Kama waziri aliyepita aliona hivyo na kuamua kukacha vikao, basi namuunga mkono.

Lakini solution si kukimbia. Ni kujua unahitaji nini na kujiandaa kukitetea hicho unachokitaka.
 
Nego said:
Kelele ya chura haimzuii ng'ombe kunywa maji.........mimi ni MTz na naelewa maana na faida ya muungano huu; wale wanaoupinga pia naelewa wanajua manufaa ya Muungano...lakini unajua kuna watu kila kitu wenyewe wanaona Negative; au saa nyingine wanataka tu discussion iendeleee...Hivi sasa na huu Utandawazi, yaani wewe MTZ unaona hao waKenya au Waganda na Wanyarwanda ni hatari zaidi kuliko wahindi, Makaburu, Wazungu, etc...ambao ndio leo hii wameatamia sehemu kubwa ya unchumi wetu?? yaani eti kushirikiana kati ya wamasai wa Kenya na wale wa TZ, au Watusi wa Kihangaza TZ na wale wa Kirundi au Kinyarwanda, au kati ya Wakurya wa Musoma na wale wa Kenya ni hatari zaidi kiusalama na kimaslahi kuliko sisi kuhsirikiana na wahindi ambao hata maji ya kunywa nyumbani kwake huwezi pata?
Tuache jamani kelele zisizo na maana...lets think seriously about huu Muungano; kuna hoja zinazoeleweka ambazo ni kama disavantage kama tukiungana...lakini overall, muungano ni faidi tupu...hata ndoa pia zina sura mbili...sasa tusiongelee tu fear of the marriage an dforget that there is that other side which is even sweeter and more beneficial...lets talk sense wandugu!

Mimi nataka ambukizwa hii spirit ya kupigania haki ya wakenya na waganda

"...Overall muungano ni faida tupu" .... Sijawahi kuona faida tupu katika jambo lolote. Kumbuka, bila muungano tunakuwa na option ya angalau kutoza ushuru tunaotaka kwa bidhaa zinazotoka nje ... Tukishaungana, sisi tunakuwa tu soko.

Kweli Muungano eventually utatufaa sote, lakini pa kuanzia ni muhimu pakatengezwa vyema. Ili kwa walio nyuma wasiwekewe mazingira ya kutokuwawezesha kujikwamua.
 
Kujadili ni namna gani huu Muungano wetu ufanyike...ni jambo la maana. Kitu nisichoelewa ni wale watu wanaosema simplicitly kwamba muungano hauna maana. Nilisema kila kitu kwa ujumla kina sura mbili...tukisema kila kitu tunachotaka kisiwe na upande wa kupoteza basi tutakitafuta mpaka mwisho wa dunia...huku wenzetu wakisonga mbele!

Kwa hiyo naunga mkono hoja ya kujadili namna gani muungano wetu wa Africa Mashariki uwe na napinga hoja ya kuukataa muungano kwa ujumla wake
 
Anonymous said:
Ndugu Mkenda,

I see that you want those that believe “from the heart” to convince you. I believe, but not from the heart. I am not even sure that I have one. See how you like this anyway:

We are singly too small a market to attract much attention. The community, as a single market, is more attractive to investment. A market with 100 million consumers has a lot more negotiating clout than three disjoint markets with a third of the customers each.

The East African Tourism Market is enormous. It is beneficial for us to have a common policy on such things as pricing and environmental protection, than to compete among ourselves.

Within an East African Community, you, Mr. Mkenda, will have the whole of Nairobi, Dar and above all, Kampala, as your playground. That, I submit, bits having Kariakoo only as your home ground.

I do not know what you do for a living, but whatever it is, I am sure you will agree with me that it is beneficial to you to be able to do it not only in Tanzania, but within anywhere in East Africa.

Augustine Moshi

Moshi,
Good try. That means we could sell Safari Lager in Nairobi as well, as Kenyan sell Tusker here. In theory.

Next time you go to Kenya try ask for a Safari. See if you can get one. Please dont tell me Safari is inferior, as i know it is not. Kenyans want to sell. a I admire them for there patriotism. Too much of that and you cannot blame Tanzanians for wanting to put breaks on tracks to federation!
 
Jamani, mimi huyu mwenzetu Negro simuelewi. Anazungumzia muungano upi? Pengine hapa lipo tatizo la lugha. Sisi tunazungumzia federation kwa maana ya shirikisho.

Lakini ni kweli pia kila kitu kinaweza kuwa na sura mbili yaani positives na negatives na hasa katika masuala ya integration au mtangamano. Lakini kuna wengine huwa na negatives zaidi na wengine positives zaidi. Sasa swali hapa ni je, Tanzania itakuwa na negatives nyingi au positives nyingi kwenye hii jumuiya na shirikisho lake. Sasa basi kama bwana Negro anafahamu uchumi na masuala ya kijamii na kisiasa na anazifahamu nchi hizi za afrika mashariki atufahamishe positives na negatives za kila nchi katika jumuiya na shirikisho hilo linalotarajiwa.

Bwana negro anasema kuwa wako ambao huona negatives tu. Sikubaliani naye, lakini kwanini isiwe pia kwamba wengine huona positives tu? Hoja ya wanaoonyesha shaka ya shirikisho iko wazi: Positives kwa upande wa Tanzania zitakuwa chache kuliko negatives au disadvantages. kwisha.

Na hakuna aliyesema kuwa eti wazungu, wahindi na makaburu ni wazuri kuliko wanyarwanda, wakenya na waganda. Unyonyaji ni unyonyaji tu na wala hauna rangi. Kauli ya negro ni ya ubaguzi. Anataka wanyarwanda, wakenya na waganda ndio wafaidi unyonyaji kuliko wazungu, makaburu na wahindi. Sisi tunawaona wote sawa. Yaani Wakenya wanataka wachuke nafasi ya wahindi. Yaani kama mtu una chawa eti ni afadhali unyonywe na kiroboto. mambo ya ajabu sana haya.

Mjadala huu usifikie huko. Tujadili manufaa ya Jumuiya na shirikisho lake kwa kila nchi. Tupime na tuone nani atanufaika zaidi na kupoteza zaidi. Hii itatusaidia kurekebisha mambo. Tulijadili suala hili bila jazba. We have to discuss and debate it iteligently. Nguvu za hoja ndizo zitawale na wala siyo hoja za nguvu. Sasa wakenya na wale wote wanaowaunga mkono wanaleta hoja za nguvu, eti watanzania lazima mjiunge na shirikisho kwani huko kuna manufaa. Sawa, mtueleze basi hayo manufaa, siyo kutupigia kelele tu. Mtueleze huko kwenye shirikisho kutakuwa na kitu gani na ambacho sasa tunakikosa. Ni uongo kusema kuwa "muungano" utakuwa ni faida tupu. Haiwezekani, ni lazima kuna advantages na disadvantages.

Naliona jambo la hatari sana litatupata hapo baadaye sisi wananchi wa afrika mashariki. Watu wanaweka ubinafsi zaidi kuliko maslahi ya wengi. Wanakazania tu tujumuike bila kwanza kuweka misingi ya kuungana. Ipo mifano mingi ya nchi zilizoungana kwa nguvu na baadaye zikavunjika vipande vipande. Iangalie ilivyokuwa Soviet Union. Hata ndani ya Russian Federation kuna matatizo kibao. Mnaifahamu Chechnya? Ipo ndani ya Russian Federation. Angalieni uadui mkubwa uliopo sasa kati ya Russia na Georgia au Russia na Ukraine. Zote zilikuwa katika muungano wa Soviet Union na zikavunjika kiulaini na uhasama huo unaendelea mpaka leo. Mnamkumbuka George Shervadnaze alikuwa wa kutoka Georgia na alikuwa Waziri wa mambo ya nje wa Soviet Union. Baada ya kusambaratika kwa Soviet Union akawa Rais wa Georgia. Joseph Stalin wa Soviet Union alikuwa wa Georgia.

Bila shaka mnaelewa kilichotokea huko kwenye iliyokuwa Yugoslavia. Sehemu moja baada ya nyingie zilijitenga, Croatia na kadhalika zikabaki Serbia na Montenegro ambapo Montenegro nayo imejitokea.

Kwa hiyo kuungana siyo mchezo ni jambo zito na nyeti. Siyo suala la kuamka na kupiga kelele kwamba jamani shirikisho! Hapana, there has to be a firm groundwork. Tujenge misingi kwanza. na misingi yote huanzia kwenye uchumi. Tukiwa na uchumi imara katika eneo lote mambo mengine yote yatafuatia. Ndiyo maana United States of America (USA) inaonekana kutoteteleka ingawa ni muungano wa States 52. Uchumi wao ni imara. Uchumi wa Soviet union haukuwa imara . Na huko Yugoslavia uchumi haukuwa imara.

Katika eneo hili la Afrika mashariki uchumi wetu siyo imara na ndio maana tunapiga kelele. Watanzania tunapiga kelele kwamba tutapoteza, huku wakenya nao ambao uchumi wao siyo imara wanapiga kelele ya kutaka tuungane ili bidhaa zao ziweze kupata soko. Uchumi wa Kenya siyo self-sustained economy pamoja na mbwembwe zao nyingi. Watanzania nao chumi wao ni hovyo, ingawa wanakuja juu kwa kasi. Hivyo Hivyo na Uganda. Rwanda na Burundi hawana kitu. Watu wengi vi-nchi vidogo. Kwa kiwango hicho cha kuzaliana itafika wakati kila mnyarwanda na mrundi anaweza akawa na eneo la ardhi mita za mraba mbili katika miaka mia ijayo. Wanahitaji shirikisho haraka.

Katika nchi zote za afrika mashariki tanzania pamoja na kuwa nyuma kiuchumi kwa sasa ndiyo afadhali kwa baadaye. It has plenty of land and somehow there is political stability. Lakini sisi watanzania hatuwezi kushiba political stability. Ni lazima tuchangamke na tufanye kazi kwa bidii. Hiyo political stability iliyopo inaweza ikatoweka haraka ikiwa uchumi utakuwa mbaya.

Kwa hiyo watu wote wa Afrika mashariki tuna matatizo kila mmoja kwa kiwago chake. Matatizo yenyewe yako kwenye uchumi. Kwa hiyo tuimarishe uchumi wetu.Tufanye mikakati ya kuimarisha uchumi wa nchi zetu pole pole tena basi kwa tahadhari kubwa. Tuunganishe uchumi wa nchi zetu hatua kwa hatua.

Kuanza kufikiria sasa suala la shirikisho la kisiasa ni ujinga kwani shirikisho hilo halitadumu ikiwa uchumi katika nchi zote utaendelea kuwa backward. Shirikisho hilo litavunjiaka tu tena basi kwa kasi kubwa, ari kubwa na nguvu kubwa. Tukija ona wakenya wananufaika tutawafukuza kwa mashoka, mikuki na mapanga. Wakenya nao wakija ona sisi hatutaki kuwapa ardhi huku kwetu tukienda kwao kutafuta kazi watatufukuza kwa mishale. Itakuwa ni kazi kubwa. Ni lazima tujenge misingi imara ya uchumi; ya kuaminiana; na kuheshimiana. Ni rahisi mno kwa sasa wanasiasa kuanza kupigania shirikisho kwani wananufaika. Wewe unafikiri mbunge kwenye bunge la afrika mashariki atachukia shirikisho! Never on earth. Wanasiasa wanachojali ni maslahi na hawafanyi tathimini ya kina kuhusu hali ya baadaye ya nchi hizi.

Inasikitisha mno.
 
Trade will be the conerstone of the federation. As this good debate rages on, the people from Tanzania should know that we, the people of Kenya and Uganda trade alot. From uganda, we buy maize, bananas, beans, and everything organic. Ugandas' agricultural produce has managed to cut a niche on the Kenyan market as being of superior quality as they do not use fertilizers.

The people of Tanzania have NOTHING to offer on the table. How can we trade with someone who has NOTHING to offer. It is common sense in business that there has to be a bid and an OFFER for a business transaction to take place. No wonder our brothers south of the boarder feel threatened by our very presence. For now, all we can do is strengthen our business ties with the HARD WORKING Ugandans. One day Kenya and Uganda will be so tied economically that a federation will be inevitable.

As for my brothers South of The Boarder, we shall keep waiting. You will always learn from our mistakes. Yes always learn.
 
Back
Top Bottom